mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa

    Nimejaribu kuwaza watu wanaochepuka na wake au waume za watu wanajitambua kweli? Hivi wanajua chemistry iliyojengeka kati ya mtu na mwenza wake? Hata kama wenyewe kwa wenyewe watagombana waache lakini usimvue nguo mke au mme wa mtu. Labda mwenyewe ajifunge kwa maneno yake na kujihakikishia kuwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Usitegemee kipato cha mwanamke

    Kama unatarajia kuoa kijana,na mke anakuzid kipato; (I) Hiyo ndoa haiwezi kudumu sana kama utamtegemea mwanamke Ii) Hata kama mwanamke anayo kazi kubwa,make sure matumizi yake unagharamia wewe,nauli na Kila kitu iii) Usiruhusu mwanamke alipie Kodi ya nyumba Wala ada,pambana wewe mwanamume...
  3. JamiiForums Tanzania Mara ya mwisho kukutana na huyu Mwanamke ilikuwa mwaka 2022 mwezi wa saba leo hii ananiambia ana mimba yangu ya miezi mitano

    Wataalamu wa afya ya uzazi mliopo humu hii inawezekanaje yaani huyu mtu kanitia stress binafsi nimekataa.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Utamshauri nini mwanamke huyu?

    Ni mwanamke wa 28 yrs anapendwa sana asipopapenda na maisha ya huku asipopapenda mwanaume ni jobless msomi aliekosa ajira tangu ahitimu 2018 maisha ni ya vibarua lakini kaka anamsihi dada waoane watafute pamoja Mali hutafutwa lakini tatizo sio ujobless yeye hampendi tu. 2. lakini anapopapenda...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanaume umri 30+ kama hajaoa ni Poyoyo na Mwanamke ambae hajaolewa 27+ ni Malaya

    Shalom, Ukweli ni dawa na acha tuwape dose, mwanaume akiwa akiwa na kazi rasmi na umri 30+ years kama hajaoa huyo ni Poyoyo na Mwanamke ambae hajaolewa umri wa 27+ years huyo ni Malaya. Sina Cha kuongeza ukibisha aidha ni Poyoyo au Malaya. Ni hayo tu Shukrani Wadiz
  6. JamiiForums Tanzania Usimpe nafasi ya pili mwanamke aliyekusaliti: Soma yaliyonikuta, unaweza jifunza kitu

    Habari ya mchana wana jf Mimi ni miongoni mwa member wachache ambao hatupendi kutoa mikasa yetu humu jf lakini kwa hili lililonipata nimeona tushare tunaweza jifunza vitu flani. Mimi nina miaka 27, nilikua na mpnzi wangu ambaye tulianza uhusiano 2022 yeye sasa ana miaka 21, na pia yeye...
  7. JamiiForums Tanzania Usimpigie magoti mwanamke unapomvalisha pete

    Ni upumbavu kwa mwanaume kumpigia goti mwanamke kwa sababu yoyote ile ikiwemo kumvalisha pete ya uchumba. Ukishajiwekea akili kwamba mwanamke anakufanyia favour kukubali kuolewa na wewe basi wewe ni mjinga. Ndoa inamgharimu mwanaume kuliko mwanamke, ndoa ni mafanikio kwa mwanamke kuliko...
  8. JamiiForums Tanzania Ulitumia mbinu gani kumuondoa mwanamke aliyeng'ang"ania gheto?

    Makubaliano ilikuwa aje for weekend, ile weekend uliyopita, jumatatu nikamuachia posho ya uchafuzi na nauli nikamuonyesha sehemu ya kuweka funguo nikaenda kibaruani. La haulaaa jioni kurudi nakuta ile hela kanunua masufuria, msosi wa nguvu nguo zetu zimefuliwa yupo kwenye khanga moko. Sasa ni...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi nyie kataa ndoa huwa mnamaanisha kutokuishi kabisa na mwanamke au mnamaanisha kutofunga ndoa kisheria (harusi )

    Aisee unajua tunaweza kuwa tunabishana kuhusu kataa ndoa sijui kubali ndoa lakini hatujui maana yake vizuri. Ndo maana Nina swali je mnachomaanisha ni hamtaki kabisa kuishi na mwanamke pika pakua au hamtaki tu kufunga ndoa kisheria. Kama ni kutoingia kisheria hata mimi nitawaunga mkono ila je...
  10. JamiiForums Tanzania Sababu zinazoweza kumfanya mwanamke asikuache kirahisi

    Mambo vip, Nataka niende straight kwa point, Iko hivi nimekua na changamoto ya kutokuachwa kirahisi na mademu zangu kiasi ambacho washkaji wananiulizaga ni mbinu gani natumia mpaka huaga siachiki kirahisi na wanaokua wapenzi wangu hata kama wakijua natoka na wnawake wengine?? Kwanza nataka...
  11. JamiiForums Tanzania Unamchukuliaje mwanamke ambaye akitongozwa lazima akwambie?

    Kuna mademu ambao wao ni kukutafutia vita na watu. Mwanamke mzuri lazima atongozwe kwanini akitongozwa na marafiki tunaojuana ndo huja kutufitinisha nao lakini wakitongozwa na watu wa mbali huliwa mzigo na Huwa ni Siri zao. Mwanamke akitongozwa ni wajibu wake kukataa bila kumjulisha mmewe au...
  12. JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako: Ukikuta Mwanamke hana Bikira huyo sio mke wako

    Hii imekaaje wakuu, mbona km tumeoa wake za watu?
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke

    Mimi nikijana wa 33yrs natafuta mwanamke wa kumuowa
  14. JamiiForums Tanzania Video: Huyu kama ni mkeo utamfanyaje?

    Hata sijui kama ni mkeo utamfanyaje?
  15. JamiiForums Tanzania Arusha: Mwanamke auawa na mwanamke mwenzanke kwa kipigo

    Tukio hilo limetokea katika kijiji cha Ambureni kata ya Ambureni wilayani Arumeru baada ya Mwanamke mmoja ajulikanae Kwa jina la Manka kumshambulia kwa kipigo mwanamke ajulikanae Kwa jina la Rogata Nkya ambae Kwa sasa ni marehemu kisa kuokota kuni shambani kwake Mtuhumiwa. Mdogo wa marehemu...
  16. JamiiForums Tanzania Haraka sana nahitaji Mwanamke wa kwenda nae Kufunga Ndoa ya 'Kibwerere' Mkoani Arusha

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema Serikali itagharamia shughuli zote za harusi, ikiwemo kulipia ukumbi mkoani hapo lengo likiwa ni kuvutia zaidi wageni na watalii kufika Arusha na kuwa chachu ya kukuza uchumi. Makonda amesema masharti ya ndoa hizo ni pamoja na kati ya wawili hao...
  17. X

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mzuri ni mzuri tu haitahitaji makorokoro meengi ili aonekane ana mvuto

    Makucha ya bandia, mawig na makorokoro mengine mnajipamba na kujiremba ni takataka tu.
  18. JamiiForums Tanzania Huyu Mwanamke ni mfano wa kuigwa na wadangaji

    Habari zenu!!!! Na habari ya siku nyingi!!! Nianze kwa kuwapa salamu kutoka kwa Mercy na Mage wote ni wazima. Twende...... Jana tarehe 08/07/2024 nilienda kumtembelea mshikaji wangu, idol wangu katika harakati, nilienda dukani kwake. Anaduka kubwa tu la electronics na vitu vingine. Huyu...
  19. JamiiForums Tanzania Trump anaendelea kupinga na Mapenzi ya Jinsi Moja

    Rais wa zamani wa Marekani Bado anaendelea kukerwa na Mapenzi ya Jinsi Moja.
  20. JamiiForums Tanzania Usitafute mwanamke mzuri kuwa katika hali hii. Jinsi ya kutambua Mwanamke aliyembele yako ni mzuri

    USITAFUTE MWANAMKE MZURI UKIWA KATIKA HALI HII. JINSI YA KUTAMBUA MWANAMKE ALIYEMBELE YAKO NI MZURI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Usibabaishwe na mawigi, usichanganywe na makeup, usivurugwe na powder sijui manjano masikala. Usije ukalaghaiwa na mavazi na miondoko na mikogo. Usijichanganye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…