mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Salamu kwa wanawake: mwanaume kumuhudumia mwanamke ni mfumo dume.

    Kuhudumiwa na mwanaume ni suala ambalo wanawake wanakubaliana nalo, lakini ni mfumo dume, ambao wanawake wanaupiga vita. Mwanaume kumuhudumia mwanamke ni suala la kupigwa vita, sio kupongezwa. Miaka ya zamani ambayo mfumo dume ulikua umeshika hatamu wanawake hawakua na fursa za kiuchumi na...
  2. JamiiForums Tanzania Bro. Ogopa matapeli, mwanamke akitaka kukupa penzi anakuja mwenyewe na nauli yake

    Wadau, kuna vidume mandezi yanapigwa kifala sana na mademu. Demu ukimuonyesha unamuhitaji sana kingono kuliko yeye atakupiga tu na mbunye hupati. Vilio vimekuwa vingi sana mtaani, vidume kuzidiwa ujanja na watoto wa kike, unatuma nauli demu anaifinya na kuja haji. Sasa Kuna mwamba nipo nae...
  3. JamiiForums Tanzania Kudumisha mahusiano na mwanamke asie na hela ni gharama zaidi ya kununua

    It will cost you more to be in relationship with a broke woman than to pay for sex. Wadogo zangu na vijana wenzangu leo sina mengi ya kuandika.
  4. JamiiForums Tanzania Swali: Dunia bila Mwanaume je nani angemlinda Mwanamke?

    Hili swali nimelikuta sehemu nikavutiwa na mjadala wake, Hivi kabisa mwanaume amlinde mwanamke dhidi ya nani? Mjusi? Mende? Panya? Buibui? au Mdoli? Lol, Ni lini Mwanamke akahitaji ulinzi wa mwanaume? Mwanamke siku zote hujilinda dhidi ya mwanaume na sio otherwise, Hivi mnajua dunia ingekua...
  5. JamiiForums Tanzania Kijana ana lalamika kila mwanamke mzuri kaguswa au kazalishwa.

    Vijana wa nia nzuri wana lalamika kwa idadi ya masingle maza na ambao washamiliki usajili wa timu tofauti. Kwa wimbi ambalo napata malalamiko ni wale wenye nia ya kuoa ila kinacho waumiza wanawake wazuri walishakuwa toleo la iphone lilopita japo umri wao ni sahihi. Wafanye nini ?.Mimi...
  6. JamiiForums Tanzania Nimeacha kabisa kumwamini Mwanamke hata kidogo

    Uyu dada namfaham sabab alisoma nami shule Level nlimwacha kidogo madrasa. Akaja olewa na mshkaji ambaye tulikuwa naye ofisi moja. Kwenye harakati za mtu mweusi. Wamefanikiwa kupata watoto watatu saSA. Katika watoto watatu hao mmoja tu ndo wa jamaa wawili wa mtu mwingine. Jamaa kagundua kube...
  7. JamiiForums Tanzania Lipi ni tatizo hadi wanaume kunyanyapaa wanawake waliowahi kuwa na wapenzi wengi awali?

    Kwa wanaume wanatafuta wake au wenza wa kudumu tatizo huwa ni mwanamke kuwa na wanaume wapenzi wengi kabla ya ndoa au aina ya wanaume aliokuwa nao kama wapenzi wake? Mimi naona kama mwanamke alikuwa na wapenzi wengi wakiwa maarufu au watu wa hadi hata akazaa nao sidhani kama hunyanyapaliwa kama...
  8. JamiiForums Tanzania Kwahiyo bro umekaa ukatafakari kabisa na kuona uko sahihi kumuoa huyo mwanamke mwenye Tattoo kiunoni na sehemu nyeti?

    Umeangalia vigezo vyako kwamba ni kweli Hana mtoto ila kwenye kipengele Cha Tattoo akakuambia ujana , ulimbukeni na kuiga nawe ukakubali? NI SAWA BRO. Kitu muhimu uelewe visivyokuwa na shaka kwake huyo. 1: Hana bikira 2:Katoa mimba shazi 3:Amelombwa na wengi mno akiwemo na mchora Tattoo. 4...
  9. JamiiForums Tanzania Nani anamvumilia mwingine kwenye ndoa kati ya mwanaume na mwanamke?

    Kumekuwa na hii tabia ya wanawake wakiulizwa swala la kudumu kwenye ndoa wanasema siri ni kuwa wavumilivu. Hili sijalisikia sana kwa jinsia ya kiume. inamaanisha huko kwenye ndoa wanawake ni wakamilifu ila wanaume ndiyo wakosefu sana. Na kazi ya wanawake ni kuwavumilia waume zao. Wakati huohuo...
  10. JamiiForums Tanzania Jamaa amwaga chozi kisa kukuta SMS zangu kwenye simu ya mwanamke wake

    Shimboni, 2016- nimetulia zangu mtaani ghafla sister binamu ananiletea kischana kizuri , ananitania kaka nimekuletea mchumba naona umekaa kizembe sana, nikatabasamu, ilikuwa jioni ya saa mbili Tukapiga story tukiwa wote watatu, then nikawasindikiza mtaani kwao, mara mazoea na kile kischana...
  11. JamiiForums Tanzania Huwa nashangaa Sana Mtu Umeolewa na huna Kazi ya Kukuingizia Kipato, Unaazima Laki 1 na Unasema Hutaki Mmeo ajue utailipaje sasa?

    Habari ndugu zangu Naomba hii nipate uzoefu kutoka kwa wajuzi wa mambo, Inakuaje mtu ameolewa halafu anadai akopeshwe pesa lakini anakupa shariti la mmeo asifahamu kama kachukua pesa. Swali ni kwamba ukizingatia huyu mtu anayekopa hana kazi yeyote anaweza kupata wapi pesa ya kurejesha deni?
  12. JamiiForums Tanzania Mwanamke anaemcontrol mumewe huyo hana mungu hata mume awe mhuni maskini kiasi gani ...

    Ntd Na hawa "Tutawafwatilia" https://www.facebook.com/share/v/1KeEJXEcwe/ Hahaha
  13. JamiiForums Tanzania Wanaume huu msemo wa kumwambia mwanamke "sitakuumiza kamwe" tunafeli sana

    Wanaume wengi wanadhani kumwambia mwanamke "Sitakuja kukuumiza" ni ishara ya upendo, ukomavu, na kumfanya ajisikie salama (safe and secure). Ukweli mchungu ni kwamba neno hili ndilo linalokuja kuwa kiboko cha kukuchapia wewe mwenyewe baadaye. Kisaikolojia, kauli hii inaleta madhara makubwa...
  14. JamiiForums Tanzania Mwanamke ataivunja ndoa yake mwenyewe

    Jiulize Kwani biblia haikuona mwanaume??? Wanajua vyanzo vya matatizo kwenye ndoa n wanawake Na ndio maana wanaume tukaongezewa tuishi nao kwa akili Sio miguu wala mikono  Nawakilisha
  15. JamiiForums Tanzania Mwanaume ukitaka kuishi na mwanamke kwa amani, mnafikie

    Ndugu.. Kama unataka amani ukiwa na hawa viumbe hakikisha unakua mnafiki kwao. Wewe kua mnafiki tuu utatoboa
  16. JamiiForums Tanzania Suzanne: Mwanamke Aliyekataa Kumkana Yesu na Kuonyesha Nguvu ya Msamaha

    Katika kijiji kimoja kaskazini mwa Nigeria, mwanamke aliyeitwa Suzanne alikumbana na jaribu kubwa la imani yake. Wakati wanamgambo wenye silaha waliposhambulia kijiji chao, walimpa chaguo gumu: aachane na imani yake ya Kikristo na akubali kubadili dini, au akabiliane na kifo. Suzanne alikataa...
  17. JamiiForums Tanzania HAKUNA CHA KUMRIDHISHA MWANAMKE

    Kumekua na Mijadala na Hoja Mtambuka Kwa Vijana mbalimbali Kuulizia Namna Ya kumfanya Mwanamke Aridhike, Si 6 kwa 6,Si Pesa,Si Muda,Si kuwa Family Man Wala lolote Kwahiyo Usiangaishe akili yako Kwenye Hilo We Piga Ngenga Zako.
  18. H

    JamiiForums Tanzania Ukianza kufikiria ma-ex ambao mwenza wako ametembea nao, inaweza kuua ndoa yako

    Ukimuoa mwanamke mwenye umri wa miaka 27 hadi 30, na ukichukulia kuwa alianza mahusiano ya kimapenzi akiwa na miaka 18, kisha akawa na wastani wa wapenzi watatu kila mwaka, hesabu zinaweza kuonesha kuwa amewahi kuwa na mahusiano na watu kadhaa kabla ya ndoa. Kwa mfano, ndani ya kipindi hicho...
  19. JamiiForums Tanzania Mambo muhimu kwako mwanamke, Elimu +kazi kisha familia(Mume mwenye akili za Tibeli)

    MAMBO MUHIMU KWAKO MWANAMKE; ELIMU +KAZI KISHA FAMILIA(MUME MWENYE AKILI ZA TIBELI) Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Baada ya afya bora. Kinachofuata kwenye maisha yako kwa umuhimu na lazima ukizingatie ni Elimu. Lazima uwe na Elimu. Usikubali kuishi kama mbuzi. Kula kulala. 1. Tafuta...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Kaini alipata wapi mwanamke wa kuoa?

    Kaini alipata wapi mwanamke wa kuoa? Kaini, baada ya kumuua ndugu yake Abeli, alikimbilia katika nchi ya Nodi (Mwanzo 4:16). Nodi (Kiebrania) maana yake ni kutanga-tanga. Hivyo, Kaini alikwenda nchi isiyojulikana. Je, huko alipatia wapi mke na kuzaa naye watoto? Ukisoma kitabu cha Mwanzo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…