mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Mwanaume usikubali kuuza nafasi yako uliyopewa na Mungu kama kichwa cha familia, hata umpende mwanamke kiasi gani nafasi yako ndio heshma yako

    Tangu ijumaa tarehe 15 January 2021 imekua siku mbaya sana kwa bwana Abdul Jamaa aliyekua akijulikana kama baba Nasibu au Mzee Dangote. Hii issue ya mzee Abdul itapita lakini sisi kama jamii tuna jambo kubwa sana kujifunza haswa kwenye mahusiano na hata kwenye malezi. Kwa wale waamini wa Mungu...
  2. JamiiForums Tanzania Eti "Leo Simba Anacheza" ndo tafsida ya Mwanamke kuwa katika Hedhi, Hii sio kejeli kweli?

    Yaani huu msemo unanipa ukakasi kichizi yani! Leo Simba Anacheza ndo maana yake uko period??? Eti unableed. Really? Kisa damu nyekundu? Aaahhh tuachane na huu msemo bhana
  3. JamiiForums Tanzania Mara ya kwanza kumuamini mwanamke ilikuwa baada ya kuzama kwenye penzi zito na yeye

    Kuna mtu alinifunza kuipenda haki. Kwa kuyapitia maumivu na mazito nilijifunza kuwa na huruma. Kwa mara ya kwanza nikamuamini mwanamke. Ama kweli mapenzi ni matamu mno, nilijikuta nazama zaidi kwenye penzi zito. Nikampa moyo wangu nikampenda kupita maelezo. Kabla ya hapo sikutaka kabisa...
  4. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa mwanamke kupewa pasu kwa pasu baada ya talaka bila wao kuchangia ni wa Hovyo na kandamizi kwa wanaume?

    Wakati wanaharakati wakihangaika kuwainua wanawake na kujifanya kuwatetea ndipo wanazidi kuwashusha na kuwakandamiza wanaume. Hali inakokwenda kuna wanaharakati watajitokeza nao kuwa wanatetea wanaume dhidi ya ukandamizaji unaofanywa dhidi yao. Mwanamke kutaka pasu kwa pasu ilhali hajachangia...
  5. JamiiForums Tanzania Muuguzi adaiwa kumzaba makofi mwanamke aliyejifungulia sakafuni

    Muuguzi wa zamu katika Kituo cha Afya Mazwi mjini Sumbwanga anadaiwa kumzaba makofi usoni mwanamke mmoja aliyejifungulia sakafuni kwenye moja ya vyumba vya kituo hicho juzi usiku. Taarifa zilizopatikana kutoka kwenye kituo hicho, zinasema mama huyo ambaye jina lake halijawekwa hadharani...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Je, mwanamke anamjua mwanaume halisi aliyempa mimba?

    Hivi karibuni nimepokea Taarifa nzuri kwa kila mwanamme... Kuna binti mmoja nili do naye takribani wiki 2/3 tatu zilizopita. Hivi karibuni baada ya kuona mabadiliko ya kimwili akaenda kupima ujauzito na kukuta ana ujauzito wa wiki 2/3. Baada ya kugundua hivyo, moja kwa moja alinifata na kunipa...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanamke anayekupenda kweli

    Sio kazi ngumu sana kuelewa mwanamke anaekupenda kiukweli mwanamke anaekupenda kweli hawezi kukuomba wewe kitu chochote bali atachohitaji kutoka kwako sana sana ni muda wako na 'attention' yako kwake. Hayo mengine kuhusu pesa, outing, shopping na mengineyo unatakiwa kujiongeza wewe kama...
  8. JamiiForums Tanzania Fanta mwanamke mwenye akili aliyekosa elimu

    Fanta alizaliwa katika familia duni mno. Baba yake alikua mlinzi, katika harakati za kuhakikisha hawakosi chakula nyumbani mama aliuza matunda mchana. Fanta alikua na uzuri wa ajabu alikua na akili pia lakini alipofika kidato cha tatu baba yake alipata maradhi, hali ya nyumbani ilibadilika...
  9. JamiiForums Tanzania Ni ipi njia isiyo na fedheha ya kutongoza mwanamke mtandaoni ambaye hamjawahi onana?

    Mahusiano Ni kitu kizuri Mapenzi Ni kitu kizuri na Urafiki ni kitu kizuri. Sio mbaya kwa kijana kujipatia mahusiano,mpenzi au rafiki hapa JF au mitandao mingine kama JF isiyo ya kujiuza. Kwa mfano mtu anaweza kupata mchumba na baadae mke hapahapa JF. Kwani Kuna ubaya jamani? Nahisi Me na Ke...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Usioe haraka mwanamke anayependa pesa

    Sijasema usioe mwanamke anayependa pesa bali usioe haraka mwanamke anayependa pesa. Kwanini Kwasababu baadaye atakusumbua Sana. Kama unampenda mpe muda wa kubadilika anaweza kubadilika mimi naamini wanadamu wanabadilika. Hivyo mpe muda huku ukitengeza modo ya kumzoeza kuishi bila kutegemea...
  11. JamiiForums Tanzania Ahadi ni deni na mkimuahidi mwanamke ni zaidi ya deni- jamaa yetu huyu sijui afeli kiswahili

  12. C

    JamiiForums Tanzania Je, kuna ubaya wowote mwanamke kumzidi mwanaume umri?

    Mambo vipi wakuu? Leo niko na swali moja tu Hivi Je! Kuna ubaya wowote kwa mwanamke kumzidi umri mwanaume au mpenzi wake? Let's say, labda mwanamke amemzidi mwanaume umri wa kuanzia mwaka mmoja na miezi kadhaa
  13. JamiiForums Tanzania Vivumishi vya mwanamke katika karne hii ya 21- wanaume muelewe na mjipange

  14. JamiiForums Tanzania Ushauri: Roho inaniuma, nimezaa na mwanamke nisiyempenda. Bado anataka kuishi na mimi

    Habari wadau! Katika mihangaiko ya hapa na pale kuna binti nilimkuta mahali, kifupi nikamtamani na nikataka nipite tu. Baada ya mbinu za hapa na pale, alinipa namba na tukajikuta penzini, baada ya mawasiliano ya kama wiki, nilimwambia aje home.. nilitaka kula mzigo akabana na mimi kulazimisha...
  15. JamiiForums Tanzania Matajiri huwa tunakuwa na aibu sana kutongoza mwanamke public!!

    Habari zenu..... Leo nataka tushee kitu kimoja, sisi matajiri hakika ni waoga kweli kutongoza mwanamke uliyempenda kwa mara ya kwanza public.....!!! Hasa pale anapokuwa hakufahamu.....! kwamfano juzi nilikuwa pale mlimani city shopping nikajitutumua kumtongoza mtoto mmoja mzuri....alikuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanamke akianza dharau, achana naye

    Habarini wana jamvi wa MMU. Natumai ni wazima wa afya. Kuna jambo moja la muhimu Sana, no ukwel usiopingika kwamba kwenye mahusiano kuna mabonde na milima.lakini ukiona mwanamke (mpenzi wako) kaanza dharau za hapa na palee juaa hapo tayaarii hakuna jambo, japo wengine huwa wanapima upepo...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akianza kukusaliti usipambane

    Habari za weekend leo nimeona nishare nanyi hii kitu kuna nyakati unakuta mke wako au mpenzi wako anaanza kubadilika visa haviishi ukimtafuta kuyaongea yeye anakumbushia makosa ya nyuma sms zako hajibu au anajibu kwa kujisikia simu hapokei na kwa bahati mbaya hata tunda hataki kukupa Sasa hapa...
  18. JamiiForums Tanzania Kuolewa na mwanaume amaizing ilikuwa ni matamanio ya kila mwanamke kabla hatujavurugwa na dunia

    Kuna hili jambo ningependa tujadiliane ama tushirikishane kidogo. Hakuna asiejua kuwa kila mwanamke kabla hatujavurugwa na dunia huwa matamanio yetu ni siku moja kuolewa na kutengeneza familia na mwanaume fulani hivi amazing(fantancy vs reality). Sasa tatizo linakuja kuwa huwa wanawake wengi...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanaume ukilala na Mwanamke usipompa hela baada ya tendo anakudharau sana?

    Utamaduni wa wenzetu walioendelea huwa mtu akitoka out na mpenziwe mwanamke ndiye anaclear bill lakini kwa nchi zetu za kibongo ukimtoa mwanamke out atafanya kukukomoa aagize vitu vya gharama balaa isitoshe zaidi watoto wa chuo hakawii kubeba marafiki zake wa kutosha. Sasa ukija swala la kudo...
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa

    Habari zenu wanajukwaa? Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 nipo Dodoma mjini. Nina shahada ya kwanza ya ualimu ila sijabahatika kuajiriwa. Natafuta mwanamke wa kuishi naye maisha ya ndoa awe ni mcha Mungu na awe na miaka kati ya 24 na 30. Mwanamke mwenye mtoto mmoja anatakiwa awe na kazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…