mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Sijui huyu Mwanamke ni wa aina gani?

    Sijui huyu ni demu wa aina gani? Ipo hivi; one day usiku ilinitafuta namba ngeni kwa sms(ilinitext Mambo), sikutaka kuchelewa nikapiga, najua wanangu wa halotel mnajua wingi wa dakika za halotel kwenda halotel. Basi bana, sauti iliyosikika upande wa pili ilikua ya kike. Mazungumzo yalikua hivi...
  2. JamiiForums Tanzania Sitakuja kumlazimisha tena Mwanamke labda akiamua kunipenda yeye aje mwenyewe kunitongoza

    Mwanzo nilikuwa najua sitapata shida kupata mchumba kwa kuwa Mimi ni handsome boy, genius nina akili Sana nikiamua hata kuwa professor nakuwa na hivi JF imeniongezea madini na pia kwetu tuko vizuri yaani means Ni familia ya kipato kizuri. Lakini imekuwa tofauti wanawake wananizingua sana...
  3. JamiiForums Tanzania Makosa kwa kijana anapomtumia ujumbe mfupi mwanamke

    Wakati kila siku mara moja au zaidi huwa tunawatext wanawake. Aidha wawe ni wapenzi wetu, tunaowatongoza ama marafiki zetu. Na kila siku huwa tunapatwa na changamoto mbalimbali kutokana na matangamano yetu. So huwa kunakosekana nini? Ifuatayo ni orodha ya mambo 5 makuu ambayo wanaume wengi...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyekuacha akazaa na mtu mwingine vs mwanamke mpya mwenye mtoto wa mtu mwingine

    Kuna jamaa anaomba ushauri kwani kwa sasa yupo na dailema kuna manzi wawili anafikiria kuoa. Manzi wa kwanza alikua nae miaka kadhaa nyuma kwa miaka kadhaa then manzi huyo akapata jamaa mwingine akamuacha msela akazaa na jamaa mwingine kisha huyo jamaa mwingine wakatemana manzi akabaki na mtoto...
  5. JamiiForums Tanzania Kati ya njia hizi za wanawake kuonesha hasira ungempenda mwanamke yupi?

    Wakina mama wana Njia tatu ta kuonesha Hasira. 1. Silence 2. Crying 3. shouting. Ni yupi kati ya hawa ungependa awe mwenzi wako?
  6. JamiiForums Tanzania Uliwahi ku-date na mtu wa aina hii?

    Kwa ufupi sana, niliwahi kudate na mwanamke flani miaka ya nyuma mkoa flani sitautaja. Tukapotezana kwa maana ya kuonana, ila mawasiliano yalikuwepo kwa simu. Juzi kati amekuja mjini kwa biashara zake, kaniahidi tutaonana kweli kafika tukaonana ilikuwa jioni sana. Tukapata msosi tukaelekea...
  7. JamiiForums Tanzania Kuwa na six pack sio mbinu ya kumfikisha mwanamke kileleni, mapenzi ni sayansi

    Wakuu, Kuwa na six park sio mbinu ya kumfikisha mwanamke kileleni. Watu wamekazana kwenda jim kuvimbisha vifua wenzako wanatumia sayansi ya mapenzi. Kama tu kidole cha pete kinaweza kumfikisha mwanamke kileleni kwanini mnahangaika kunyenyua mivyuma. Mapenzi ni sayansi, na sayansi ya mapenzi ni...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Mwanamke jiulize haya maswali kabla hujafunga ndoa?

    Mwanaume kwenye ndoa ama mahusiano serious anawajibika kumfanyia mwanamke mambo mengi, mwanamke jiulize kitu gani uta offer in return tofauti na papuchi? Mwanaume anapaswa kufanya mengi yakiyomo haya. 1. Kumlisha mke wake ama mpenzi. 2. Kumtibia mke wake ama kuwajibika kumlipia huduma ya afya...
  9. JamiiForums Tanzania Ni kwanini mwanamke akifanikiwa mahusiano au ndoa itavunjika au itadorora

    Kuna kautafiti nimekafanya katika mahusiano yeyote yale iwe uchumba au ndoa ikitokea mwanamke amefanikiwa basi penzi litayumba au litavunjikaa. Shida huwa ni nini lakini?
  10. JamiiForums Tanzania Nachukia sana mwanamke ambaye umekaa naye mahali akiwa amefunika simu yake

    Jamani Kuliko kuendelea kuficha simu yako wakati ukiwa na bae wako, kwanini usidate na huyo anaekufanya unaficha simu yako?
  11. JamiiForums Tanzania Ni jinsi gani unaweza kuishi na mwanamke bila kukwaruzana au bila kupata stress?

    Hebu tusaidie wana ndugu kama mnavyojua wanawake ni watu wa vitimbwi, visa, dharau, vituko na maneno ya karaha yaani kuishi nao inahitaji akili sana lakini hebu leo hii tusaidiane ni njia ipi bora ya kuishi na mwanamke kwa akili bila kukwaruzana nao. Maana kuna wengine watakwambia uishi nae...
  12. 2

    JamiiForums Tanzania Naombeni mawazo yenu kwa adhabu anayo staili Mwanamke msaliti iwe fundisho

    Habari za asubuhi wakuu, poleni na pilikapilika na kutafuta liziki ya hapa na pale, sitaki kuongea mengi naomba nieleze kwa ufupi sana na naamini kwa walio pitia kadhia kama yangu watakuwa wanaelewa, nimekuwa kwenye mapenzi na binti kwa miaka 8 (nilianza nae mahusiano nikiwa o-level, advance...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada: Mwanamke anataka kuachwa, ana mimba na ashatolewa mahari

    Rejea hapo juu....naomba niende kwenye mada husika.. Nina mdogo wangu alimtambulisha binti nyumbani kwa wazazi wetu, wazazi wakambariki baada ya hapo binti aliendelea kuishi kwao Kwa bahati mbaya au nzuri binti alipata Ujauzito ,ikabidi binti atoroke aje kwa mwanaume ili Nyumbani wasigundue...
  14. JamiiForums Tanzania Utajuaje mwanamke wako amekuacha siku nyingi lakini we unaona mko pamoja

    Je inawezekana mwanamke wako akawa ameshakupiga chini muda mrefu lakini we unaona mko pamoja yaani kila ukimuangalia mwanamke wako usoni mnaongea vizuri, mnacheka vizuri na kusex pia mna sex vizuri lakini watalaamu wa manbo wanakwambia huyu mwanamke kutokana na tabia hizi na hizi huyo...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanamke anaweza kumbaka mwanaume?

    Naomba kuelimishwa jamani, hivi kwa sheria za Tanzania mwanamke anaweza kumbaka mwanaume? Soma pia: 1) Binadamu wa kwanza duniani KUBAKWA ni Mwanaume, na wakwanza KUBAKA ni mwanamke! 2) Hivi kuna sheria inayomruhusu mwanaume kumshtaki mwanamke kwa kosa la kumbaka/raping? 3) Marekani...
  16. JamiiForums Tanzania Nani ndo anampata mwanamke easily?

    Kati ya hawa guys wafuatao ni nani anaweza akauteka moyo wa mwanamke easily? 1.FUNNY GUY 2.ROMANTIC GUY 3.RICH GUY 4.HANDSOME GUY
  17. JamiiForums Tanzania Mwanamke agoma kufua kitambaa cha mkononi cha mmewe

    Habari ndugu zangu, Rafiki yangu kaja kuniomba ushauri ameenda kumtembelea mchumba wake jijini Dar es salaam . Jamaa angu kafika kaugua mafua makali akawa anamekea kitambaa chake cha mkononi kamasi hali ambayo mchumba wake alimtamkia hatoweza kukifua hicho kitambaa atafua mwenyewe jamaa...
  18. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini yapendekeza Sheria kwa Mwanamke kuwa na Mume zaidi ya mmoja

    Idara ya Mambo ya Ndani nchini Afrika Kusini imependekeza sheria mpya ambayo itawaruhusu Mwanamke kuolewa na mume zaidi ya mmoja (polyandry) kama ilivyo kwamba wanaume nao wanaruhusiwa kuoa zaidi ya mke mmoja. =============== Polyandry is defined as a form of polygamy in which a woman has more...
  19. JamiiForums Tanzania Utofauti uliopo kati ya mwanaume na mwanamke katika hisia za kimapenzi

    Katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia inasadikika hakuna kitu ambacho kina nguvu sana kama mahusiano ya mapenzi, hata hivyo kutokana na nguvu hiyo ya mahusino, watu wengi hufikiri mwanaume ndio ambao wanaathiriwa kwa kiwango kikubwa na nguvu hiyo. Watafiti wa masuala ya mahusiano...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Mwanamke ama Mwanaume kama huna hela wewe ama Wazazi wako utaoa/kuolewa na maskini mwenzako

    Habari wadau. Nipo sehemu moja napata moja moto.. kuna jamaa katusua kapanda cheo kazini huko auditing firm moja kubwa , yupo early 30s anadai muda wa kuoa umefika, anadai lazima aoe mwanamke mwenye kipato kama chake ama amzidi yeye mwanaume kipato.. maana watu wanapenda sana kuvuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…