mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mwaka 2023 Waziri Ummy amepigwa attacks za kimyakimya sana

    Nani yupo nyuma ya huu mchakato mchafu wa kumchafua waziri wa Afya Ummy Mwalimu? Kwa maoni yangu Waziri Ummy japo sio mhalisia katika sekta ya afya ...yaani sio mtaalamu wa afya lakini amejitahidi sana kuielewa sekta hii.ameitendea haki kwa kadri ya kipaji alichonacho. Japo naona na napata...
  2. JamiiForums Tanzania Mwaka umeanza vibaya. Inauma ila hamna namna.

    Jana nimemwambia My girlfriend. Kuwa sitokuwa tayari kuendelea kuwa naye. Hivyo nam release. Ili mimi nikatafute changamoto nyingine. Amelalamika na kulia sana. But nimemwambia sina namna. Nimemuuliza kama yupo tayari tuendelee kuwa pamoja ila asitegemee niwe nampa pesa. Amenyamaza hajajibu...
  3. JamiiForums Tanzania Makusanyo ya kodi ya nusu mwaka wa fedha 2023/2024

  4. JamiiForums Tanzania Umekula nini leo siku ya kwanza ya mwaka mpya 2024?

    Wazee wa maakuli, leo tunauanza mwaka mwaka mpya, naamini uko mzima wa afya. Tumeuanza mwaka na msosi gani leo? Mimi nimepiga ndizi bukoba na dagaahapa safii, utamu unafika hadi kisogoni.
  5. X

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa wanaume wote tulio kwenye mahusiano tunapouanza mwaka 2024

    GENTLEMAN OF 2024 FAHAMU [10] KUKUHUSU. 1. Kumwaga bao wakati unamuandaa mwanamke (foreplay) hata bado haujaingia Ukeni don't take it easy, hilo ni tatizo. 2. Kuwahi kumwaga kila round, angalau kwa round ya kwanza, ila kwa zinazofuata hilo ni tatizo, changamka. 3. Kuwahi kufika kileleni Kila...
  6. JamiiForums Tanzania WanaCHADEMA mmeanza mwaka vibaya, Mbowe amejinasibu hadharani kuwa anaongoza kundi la CCM B huku ninyi mkijifanya hamjui hilo.

    Kuna kipindi akiwa Mwanza uwanja wa furahisha. Alitamka wazi kuwa yeye ni mwanachama wa CCM Leo hii ametamka hadharani kuwa anafanya kazi za rais Samia. Kwa hiyo ninyi Wanachadema mtambue kuwa nyie ni wanaCCM na mnatekeleza ilani ya CCM.
  7. JamiiForums Tanzania Nawakumbusha mwaka tu ndio umebadilika changamoto ni zile zile

    Wakati mzuri wa kushauriana wapo wanaofurahia Jan na wengine wameanza kulala jana bar nk Nawakumbusha mwaka tu ndio umebadilika changamoto ni zile zile ulizotoka nazo hulo Jifunze kutunza pesa kutumia pesa kwa heshima Alldbest
  8. JamiiForums Tanzania Marufuku: Tabia zifuatazo kwa mwaka 2024

    Kwa mamlaka niliyojipa ninapiga marufuku tabia zifuatazo kwa mwaka 2024; 1. Kufungua threads za kuwasimanga single mothers. 2. Kukopa ovyo bila mpangilio na mwisho wa siku kujikuta kwenye matatizo yasiyo ya lazima. Waalimu wengi mzingatie sana hili. 3. Wanawake kuwapa kipaumbele viongozi wenu...
  9. JamiiForums Tanzania Wapalestina 21,822 hawajavuka mwaka, kisa uchokozi wa HAMAS kwa Wayahudi

    Gaza imebaki ukiwa, magofu na damu kote, yote haya yangeepukika kama msingewaua watoto wa Wayahudi eti mnatekeleza maagizo ya dini ya kufuta jamii ya Wayahudi. ============ GAZA, Dec. 31 (Xinhua) -- The number of Palestinian deaths due to Israeli attacks on the Gaza Strip has risen to 21,822...
  10. JamiiForums Tanzania Baadhi ya matukio yatakayotokea mwaka huu 2024

    1. Kutaibuka teknolojia itakayoweza kutafsiri mtoto mdogo akilia anahitaji kitu gani? Tahadhari ni kwamba teknolojia hii itafika Afrika na Tanzania kwa upekee, teknolojia hii itakuwa katika majaribio hivyo ni rahisi kuacha madhara makubwa ya kiakili kwa watoto. 2. Kutaibuka ugonjwa wa virusi...
  11. JamiiForums Tanzania Unafurahia mwaka mpya ukiwa wapi ndugu mwana JamiiForums?

    Wengine mwaka mpya umetukuta hapa small New York, ni mwendo wa kujipongeza kwenda mbele. Nawatakia mwaka mpy wenye mafanikio, baraka na maendeleo ya kweli ndugu mwanaJF mwenzangu.
  12. JamiiForums Tanzania Mwaka wa vipawa na nguvu za Mungu

    Ni mwaka mpya ninafurahi kwa kila ambaye atasoma uzi huu ujue umeundwa kwa ajili yako Wewe utesekaye na kulemewa mwilini hadi rohoni basi leo miujiza ya Mungu itakuwa pamoja nawe. Swali kuu ni umewahi muhisi na kuisikia sauti ya Mungu wako, umewahi omba hapo hapo likatendeka? Mungu wako si...
  13. JamiiForums Tanzania Temeke umeme umekatwa nusu saa kabla ya mwaka mpya

    Hili ni jambo jipya kuwahi kuliona tangu nipate akili. Na kwa kweli ni aibu kubwa kwa Nchi. Nakulilia Tanzania.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia kwa hotuba fupi inayotoa mwanga kuhusu maono ya serikali yako kwa mwaka, 2024

    Kwa mwaka 2024 kuna mambo ambayo serikali imejiwekea kuyafanyia kazi kwa lengo la kuboresha huduma lakini pia kukuza uchumi. Kujenga miundombinu ya elimu na afya ni lengo la kila mwananchi. Lakini pia kufungua njia ya uchumi kwa kuanza kutoa huduma kwa SGR 2024 sambamba na kudhibiti kukati kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha apiga marufu upigaji wa fataki kusherekea Mwaka Mpya

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kama ilivyo desturi tunapoelekea kufunga mwaka, kunakuwa na shamrashamra za Wananchi kufurahia kumaliza mwaka wakiwa salama na kuingia mwaka mpya. Jeshi hilo limewataka Wananchi washerehekee kwa amani na utulivu sikukuu hiyo. Akitoa taarifa hiyo Kamanda...
  16. JamiiForums Tanzania Salamu za mwaka mpya toka TRA

  17. JamiiForums Tanzania Watanzania Maarufu waliofariki dunia mwaka 2023

  18. JamiiForums Tanzania Niwatakie Mwaka Mpya Members wote hapa JF

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Napenda kutoa shukurani za dhati kwa mkurugenzi wa JF Ndugu Maxence Melo kwa mwaka huu wa 2023 ambao tumeumaliza salama!,Kiukweli nimeanza na Mkurugenzi kwasababu kwa Mwaka huu wa 2023 huyu jamaa kwangu ndiye mtu bora kwangu,kitendo cha kuanzisha...
  19. JamiiForums Tanzania Matunda ya Royal Tour yavutia watanzania kutembelea Mbuga za wanyama, Heche mbunge ya Tarime amaliza mwaka mbugani

    John Heche ametutakia watanzania heri ya mwaka mpya akiwa katika mbuga za wanyama akifanya utalii wa ndani. Hakika hii ni faraja kubwa sana kwamba sasa utalii wa ndani umevutia watu wengi, hasa baada ya Mh. Rais Samia kuhamasisha kupitia Royal Tour.
  20. JamiiForums Tanzania Ni tabia gani umepanga/ulipanga kuiacha kufanya punde tu ukiuanza mwaka mpya? Vipi matokeo yake

    Habari wakuu, herini wote kwa sikukuu za mwisho wa mwaka. Tukiwa kwenye siku ya mwisho ya mwaka 2023 ni jambo jema sana kumshukuru Mungu na kumuomba atuvushe salama wote tuuone na kuuanza mwaka mpya wa 2024. Kama ilivyo kawaida kwa miaka mingine iliyopita, baadhi yetu huweka maazimio ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…