mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina kuwa sikukuu ya kimataifa

    Mkutano wa 78 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa hivi karibuni umepitisha kwa kauli moja azimio la kuweka Mwaka Mpya wa Jadi wa China kuwa sikukuu ya Umoja huo. Kwa miaka mingi, Katibu Mkuu wa Umoja huo ametoa salamu za pongezi kila Wachina wanaposherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China, na...
  2. Bemendazole

    JamiiForums Tanzania Hotuba mwaka mpya 2024

    Awali ya yote napenda kutoa pole na hongera kwa kila mwananchi kwa pilika za mwaka 2023. Mengi ya kuumiza, kutaabisha, kutia faraja na furaha yalitukia miongoni mwetu. Mungu baba wa rehema alikuwa katikati yetu katika yote hayo hivyo tunapaswa kumshukuru. Pili napenda kutoa pole kwa kila...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tathmini: Sherehe za Christmas 2023 zadorola kuliko mwaka wowote. Wananchi wakabiliwa na dhiki kubwa, haijawahi kutokea

    Baada ya kufanya Tathmini kabambe huku D'Salaam na Mkoani Mbeya , kwa kweli tumegundua kwamba Sherehe za Christmas ni kama hazipo kabisa kutokana na dhiki kuu iliyosababisha Ugumu mkubwa wa Maisha ambao Wazee wengi wanadai haujawahi kuwepo kwenye nchi tangu wapate akili. Mishahara duni ya...
  4. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2024 usiache mtu mwingine aendeshe maisha yako

    Maisha yetu wakati mwingine hukabiliwa na mikwamo mingi sana inayotokana na kuwaachia watu wengine kuendesha maisha yetu. Mwaka 2024 uwe ni mwaka wa kukataa watu wengine kuendesha maisha yetu. Kama unataka kumuomba Mungu juu ya Maisha yako, omba mwenyewe Achana na kubebeshwa vitu na...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nilipanga mwaka huu nijiunge na siasa lakini Nimeghairisha mpango

    Kwema Wakuu! Mpango wangu tangu mwaka jana kama nilivyoandika kwenye uzi hapa Panapo majaliwa mwakani nitajiunga rasmi na siasa za nchi hii. Je, ungependa nifanye siasa na chama kipi? Nilitaka nijiunge na Siasa za nchi hii lakini kwa sababu za kiufundi nimeamua kughairisha mpango huo. Wapo...
  6. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya mwaka 7000BC na wewe unae soma Uzi huu

    Miaka elfu 7 iliyopita wewe hukuwepo lakini alikuwepo mtu mmoja ambae alikuwa anaishi juu ya ardhi ya uso wa dunia precisely Africa.. Mtu huyo si mwingine ila ni ancestor wako. Wewe ni mifupa katika mifupa yake. Wewe ni nyama katika nyama zake. Wewe ni damu yake. Taarifa za mtu huyo...
  7. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Serikali iwe inawaongeza watumishi wake Tsh 100,000/ kila mwisho wa mwaka

    Wanajamvi na watanzania kwa ujumla, hasa wafanya kazi wa serikali! Ninachokiañdika hapa, bila shaka ni hitaji la kila mfanyakazi, Mimi nikiwa kama mkulima wa hapa nanjilinji, nimechoshwa na kukopwakopwa na wafanyakazi wa umma hasa mwishoni mwa mwaka Mpaka naandika hivi, nimeanza kuwaonea...
  8. R

    JamiiForums Tanzania TANESCO ndilo shirika linalochukiwa zaidi Tanzania kwa mwaka 2023, hadi wahubiri wawaomba waumini kuwasamehe

    Tatizo la umeme lilianza January Makamba aliitisha kongamano kubwa la matajiri na viongozi mbalimbali kwa fedha nyingi za serikali. Tatizo la TANESCO lilipanuka pale ambapo wanasiasa akiwemo Naibu WAZIRI Mkuu Biteko alipoanza kufanya siasa na kuacha kusema kweli kuhusu undani wa tatizo Tatizo...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Ruto wanakimbizana kwa kufanya safari Nje ya Nchi

    Licha ya Rais William Ruto kueleza manufaa ya ziara zake Nje ya Nchi, mapokeo yamekuwa tofauti kwa Wananchi wakiwemo Watumiaji wa Mitandao ambao wanakidai Rais hakai Ofisini ili kutatua changamoto za Gharama za Maisha. Katika kipindi cha miaka miwili, Ruto amefanya ziara 42 katika 26, Nchi 15 ni...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wakristo kuleni vya kuchinja wenyewe katika Krimas na mwaka mpya

    Sherehe za krismasi na mwaka mpya ni ibada maalumu Kwa wakristo. Ibada itakuwa ya maana iwapo mtakula Vyakula vilivyoandaliwa Kwa maombi yenu bila kuchanganya maombi ya miungu wengine. Lakini Kwa upendo mkubwa Msisahau kununua nyama za mabuchani Kwa ajili ya wageni wasio wa Imani yenu...
  11. Dx and Rx

    JamiiForums Tanzania Mwaka ndio huo unasepa, Malengo yako uliyojiwekea umeyatimiza kwa kiasi gani?

    Heri ya sikukuu kwa familia nzima ya JamiiForums. Turejee kichwa cha uzi hapo juu. Nina imani wengi wetu huwa tunajiwekea Malengo ifikapo mwanzo wa mwaka ili tuweze kuyatekeleza na kufika hatua ya mafanikio tunayoitaka. Mbali na changamoto mbalimbali zinazojitokeza katika safari ya kutekeleza...
  12. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Mitandao ina nguvu; hatimaye Azam TV wamekuwa waungwana kwenye Krismasi ya mwaka huu 2023

    Kwa wafuatiliaji wa Azam tv watakumbuka miaka ya nyuma ilikuwa ni ngumu Azam tv kuipa airtime Christmas kama ambavyo ilikuwa inafanya kwenye sikukuu ya IDDI Basi wakulungwa walimaindi sana ikiwemo kushusha nyuzi humu kuhusu Azam tv na udini.. Kwa mfano mwaka jana Azam walikuwa wanakwepa...
  13. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Legacy Heri ya Christmas na mwaka Mpya

    Hi Legacy people. Sisi bado tunaamini huyu mzee yupo chato anachunga ng'ombe anawatakia heri na baraka ya Noel na Mwaka Mpya Asanteni.
  14. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2024 katika unajimu

    Mwaka 2024 unatawaliwa na namba nane(8)katika unajimu na namba 8 katika numerolojia mara nyingi inahusishwa na mafanikio, ustawi, uongozi, na upatikanaji wa malengo. Inawakilisha sifa kama vile bidii, mamlaka, uongozi, na utulivu wa kifedha. Namba hii inaashiria tuzo za kazi ngumu, uwiano kati...
  15. Championship

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia inatengeneza zaidi ya trilioni 30 kwa mwaka kutoka kwa waislamu

    Nchi ya Saudi Arabia ipongezwe kwa ubunifu wa chanzo kikubwa cha mapato. Jamaa walioweka vifungu vya kuwataka watu waende Madina na Mecca waliona mbali sana.
  16. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Tunapoanza mapumziko ya Christmas na Mwaka Mpya tujihadhari na laana

    Kwanza nataka kuongea kidogo kuhusu Putin. Putin alikuwa na Press Conference jana. Sikuisikiza yote,lakini pale mwanzo alisema Wamarekani hawapendi compromise. Katika kilar kitu wanaleta ubabe tu. Kwa sababu wapiga kura wao wanataka kuiona serikali yao inaleta ubabe. MPAKA JAMBO BAYA LIWAFIKE...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Baada ya mechi za kufungia mwaka, huu ndio msimamo na wafungaji bora wa Ligi kuu ya NBC 2023/24

    MSIMAMO WAFUNGAJI
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mnaosafiri kwa ajili ya Mapumziko ya Mwisho wa Mwaka, ni jambo kuzingatia mambo haya...

    Kwa mnaosafiri Kwa ajili ya Mapumziko ya Mwisho wa Mwaka, ni jambo kuzingatia mambo haya: 1. Hakikisha gari iko vizuri 2. Ukiwa unaendesha na si mzoefu wa safari ndefu ni vizuri kusafiri mchana tu 3. Waza kufika salama na si saa ngapi 4. Epuka mafuta ya vichochoroni 5. Kama kwenu mbali yaani KM...
  19. benzemah

    JamiiForums Tanzania Taasisi Ipi ya Serikali Imefanya Vizuri Zaidi na Ipi Imefanya Vibaya Zaidi Mwaka 2023

    Mwaka 2023 ndio hivyo unazidi kuyoyoma taratibu. Kwa maoni yako, mwaka huu 2023 ni taasisi ipi ya Serikali imefanya kazi inayostahili pongezi, kwa maana kuwa imefanya vizuri zaidi Na ipi imefanya vibaya zaidi ya nyingine zote. Tufunguke hapa
  20. benzemah

    JamiiForums Tanzania Ni Msemo gani Umebamba Sana Mitaani Mwaka Huu 2023

    Kumekuwa na misemo mingi sana iliyotamba na kushika umaarufu mitaani kwetu. Wanajamvi tukumbushane hapa misemo iliyojipatia umaarufu nchini katika mwaka huu wa 2023 ambao umebakiza siku chache utamatike.
Back
Top Bottom