mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. Red black

    JamiiForums Tanzania Huu mwaka 2026 ni kama umekwisha umefanya nini cha maana ukikitazama unajivunia?

    Zimebaki siku chache sana mwaka 2026 uishe je umefanya nini cha maana ukikitazama unajivunia na kufurahia? mimi binafsi plan zangu zimetimia kwa at least 30% #Welcome 2027
  2. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Hii Ndio Mikoa 10 Tajiri na Maskini wa kipato Tanzania kwa mwaka 2025

    Kwa mujibu wa Takwimu kutoka NBS ,imeonesha wastani wa kipato Cha mtu mmja mmja kitaifa ni Shilingi Milioni 3,544,000 Kwa mwaka sawa na Dola $ 1,390 lakini Kuna Mikoa ambayo Iko juu ya huo wastani wa kitaifa na Mikoa ambayo Iko chini ya wastani wa kitaifa au fukara zaidi. Mikoa yenye watu walio...
  3. Think2

    JamiiForums Tanzania Hili pepo la mwaka wa mbele

    Hili pepo nimeshindwa kabisa kuliclassify sijui linatokea ukoo upi? 😂
  4. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Takriban mwaka moja tangu treni ya SGR ipate ajali Ruvu, ila hakuna taarifa rasmi ya chanzo, harasa wala hatua zilizochukuliwa

    Oktoba 23, 2025, treni ya SGR ya mchongoko (EMU) iliyokuwa ikisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma ilipata ajali katika eneo la Ruvu. Jambo la kufurahisha ni kwamba hakuna mtu aliyepoteza maisha, ingawa ajali hiyo ilisababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu, ikiwemo reli na njia za umeme...
  5. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Interview with Maxence Melo: The story of JamiiForums - history and operations of the platform

    Habari za wakati huu mabibi na mabwana, waungwana wote kwa ujumla, wale tulio kwenye mfungo, hongereni kwa hilo na natanguliza kheri na salamu za sikukuu ya Idi. Itakumbukwa kuwa Jumanne ya tarehe 14/08/2012 ilianzishwa hoja na Roulette na kukaribishwa maswali kwa ajili ya kumuhoji Maxence Melo...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania TMA: Hali ya El Nino inaweza kuendelea hadi mwaka 2027

    Hahaaa hii inaitwa force kingi hadi mtaelewa tu, nani kakaona kekundu, narudia tena ukiweka hapa na hapa unaliwa kekundu haka hapa. 😎😎😎😎 ============= Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dkt. Ladislaus Chang’a, amesema hali ya El Niño inaweza kuendelea hadi mwanzoni mwa...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Mwaka jana nanenane watu waligawiwa gesi bure Leo gesi ilivyo panda ndio malipo ya gesi ya bure msishangae

    Watanganyika kama tutaendelea kukubali kutumiwa kila uchaguzi kwenye ujinga wa MaCCM basi yataendelea kubaki madarakani kwa mda mrefu. Tuyakatae maCCM na mambo yake yote na Hongo zake zote shetani CCM hana rafiki
  8. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania (5) JF VOTES : MTAALAM WA CHIT CHATS WA MWAKA

    ..
  9. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania (4) JF VOTES: BFF BORA WA MWAKA (MTU WA WATU HANA MAKUU)

    ..
  10. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania (3) JF VOTES : MASTER WA COMMENT KUNTU NA FIKIRISHI WA MWAKA

    ..
  11. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania (2) JF VOTES: MCHANGAMSHA KIJIWE BORA WA MWAKA

    Matokeo yatatoka baada ya mwezi mmoja. Piga kura sasa.
  12. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania (1) JF VOTES: MTENGENEZA MAUDHUI BORA WA MWAKA

    Matokeo yatatoka baada ya mwezi mmoja. Piga kura sasa. THREADS NYINGINE ZA KUPIGA KURA👇👇👇 https://www.jamiiforums.com/threads/2-jf-votes-mchangamsha-kijiwe-bora-wa-mwaka.2480948/ https://www.jamiiforums.com/threads/3-jf-votes-master-wa-comment-kuntu-na-fikirishi-wa-mwaka.2480952/...
  13. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Tanzania Wafikia GDP ya $ 92 Bilioni mwaka 2025. Mbioni kuvuka $ 100 Billion Kwa mara ya kwanza Hapo 2027

    Nawakumba tuu wakati SSH anashima madaraka alikuta Uchumi uko $ 69 Bilioni lakini miaka 5 baadae tunaenda kuvuka $ 100b mwaka 2027 sawa na ongezeko la $ 30B ndani ya kipindi Cha miaka 5 tuu. Ndio kusema Hadi 2030 Kuna uwezekano mkubwa wa kufika $ 130 B ambapo atakuwa amekuza Uchumi Kwa kiwango...
  14. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kuwa mwaka huu ni wa shesRise, amekuwa mtengeneza maudhui bora humu JF ambayo pia inavutia uchangiaji mkubwa. Hongera ndugu.

    ShesRise_1 keep it up blood! Nasubiria comments za kuwa wewe ni mimi katika parody😁😁😁
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu aliniambia kuwa hizi dola trillion 2.6 ambazo Afrika ilipokea kama msaada tokea mwaka 1960 ndizo zilizo changia Afrika kuwa ya kiduanzi zaidi

    Picha imejitosheleza maelezo
  16. tovuti website

    JamiiForums Tanzania Mwanza,Geita,Shinyanga,Kahama na Tabora-Tumewafikia kwa Huduma ya Website BURE kwa mwaka wa kwanza

    Je wewe ni mfanya biashara kutoka katika maeneo hayo? Je unatamani kupeleka biashara yako mtandaoni? Sasa unaweza kupata tovuti/website kwa ajili yako kutoka kwetu.Kama uko tayari tafadhali wasiliana nasi kwa kututajia Mkoa wako na aina ya biashara unayofanya.Utapata Huduma Hii Bure kwa Mwaka...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Matokeo ya CBE Dodoma Mwaka 2018/19 na 2019/20 hayajawekwa katika Mfumo wa NACTVET

    Matokeo ya CBE Dodoma Mwaka 2018/19 na 2019/20 hayajawekwa kwenye Mfumo wa NACTVET, mtu aliyemaliza miaka hiyo akirudi chuoni kuendelea na masomo, anaambiwa matokeo yake bado hayapo NACTVET. Miaka yote hiyo walikuwa wanafanya nini? Sasa mtu hawezi kuendelea na Degree mpaka matokeo yawepo...
  18. Duh Aisee

    JamiiForums Tanzania Inakaribia mwaka tokea ndugu zetu wauliwe na miili yao kupotezwa, haki ya Mungu watu waliofanya haya hawatoacha

    Watu wengine waliuliwa mabarabarani. Wengine nyumbani. Wengine walibebwa mahospitalini. Wengine walifia jela baada ya kutupwa wakisubiria kesi za uhaini. Asikudanganye mtu watu waliohusika na haya wataacha. Au watakutengenezea mazingira mazuri ya kupata haki yako popote.
  19. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Ushauri wanaopewa vibali vya kumiliki silaha wapimwe akili kila mwaka pls..else tutazika wengi kwa hali hii..pls n pls

    KUTOKANA NA MAMBO YANAYOENDELEA KILA SIKU MARA MUME.KAMUUA.MKE NA SILAHA MARA MKE KAMUUA MWENZIE NA SILAHA TUNASHAURI HAWA WATU MNAOWAPA SILAHA WAMILIKI WAPEWE MITIHANI YA KUANGALIAA AKILI ZAO KILA MWAKA TAFADHALI MKUMBUKE MNAVYOWAPA WENGINE WANAKUWA NA FURAHA KWENYE NDOA ZAO LAKIJI...
  20. Etwege

    JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja bila Humphrey Polepole: Sauti yake ilikuwa ya kinabii

    Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana maisha ya watu waliokemewa na Humphrey Polepole kujua yanaendeleaje kwa kweli licha ya watu hao kuwa na hela nyingi sana lakini nimegundua maisha yao ni magumu sana kisaikolojia kwani wanaishi kwa hofu sana na wengi wao mambo yanawaendea vibaya. 1...
Back
Top Bottom