mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Tuzo ya Nobel ya Tiba ya mwaka 2026 (Nobel Prize in Physiology or Medicine 2026)

    KUTOKA MITANDAONI KILICHOIVUTIA: TECHNOLOGY HII INAWEZA KUTIBU UPOFU WA MACHO Tuzo ya Nobel ya Tiba ya mwaka 2026 (Nobel Prize in Physiology or Medicine 2026) imetunukiwa kwa pamoja wanasayansi watatu: Karl Deisseroth (kutoka Marekani), Peter Hegemann, na Georg Nagel (wote kutoka Ujerumani)...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mipeko - Mkuranga umeme ni mdogo, mwaka wa pili sasa TANESCO wameahidi kuweka Transformer kubwa

    Wakazi wa Mkuranga Mkoani Pwani maeneo ya Mipeko (MSIKITI wa KIPATI) tuna changamoto ya umeme, ni mdogo sana (low voltage) ni shida, ikifika Saa moja Jioni unakatika na kurejea Saa 6 Usiku. Giza linasababisha kutokuwepo kwa usalama katika baadhi ya maeneo, watu wanafanyiwa uhalifu. Umeme...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mwaka 1998 nilikosa kazi ya upolisi kwa kukimbia sana, nikaambiwa nina mbio za mwizi na wala sio za askari

    Mwaka 1998 nilienda kwenye majaribio ya kuwa askari police, tukakimbia nikashinda nikawa wa kwanza wenzangu nikawaacha mbali sana, wakufunzi wakaniambia hizo mbio ni za MWIZI sio za ASKARI.... Malume
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kitatoa lini fedha za ‘refund’ tumesubiri tangu Mwaka 2024

    Ninayo heshima kuwasilisha kero yangu kuhusiana na ucheleweshaji wa kurejeshewa fedha za ada nilizolipa kabla ya kupata mkopo wa elimu ya juu. Mimi ni mhitimu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (Mbeya University of Science and Technology - MUST) wa Mwaka 2024. Kutokana na kuchelewa...
  5. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kwa mjibu wa wataalam hata mwaka 2023–2024, kulikuwa na El Nino kwanini mwaka huu tumeipa promo sana?

    Kila siku El nino Hizi mvua za El nino ni za kwanza kunyesha Tanzania? Wakuu kuweni serious
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu tulioajiriwa Halmashauri ya Wilaya ya Geita (Geita DC) mwaka wa pili sasa hatuna fedha za kujikimu

    Walimu walioajiriwa hivi karibuni katika Halmashauri ya Wilaya ya Geita (Geita DC), huu ni mwaka wa pili sasa hatujapewa fedha za kujikimu, licha ya kuona watumishi wa idara nyingine wakilipwa. Tunaomba mamlaka husika itusaidie kufuatilia suala hili na kuhakikisha na sisi walimu tunapatiwa...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Ukiendesha gari wakati umefungiwa leseni miezi 6, utafungiwa miezi sita mingine na faini ya Sh500,000 au jela mwaka mmoja

    Kwa mujibu wa The Road Traffic (Drivers Licence Point System) Regulations, 2014, G.N. No. 109 of 2014, as amended by G.N. No. 420 of 2025, kosa la barabarani linaweza kukupunguzia pointi 1 au 3, kulingana na aina ya kosa. Points zikiisha, utafungiwa leseni kwa miezi sita. Ikiwa utaendesha chombo...
  8. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania CCM ya viongozi vilaza kama Paul Chacha imeshatambua haikubaliki kwa sera mbovu na ufisadi. Wanadhani vyombo vya dola vitawabeba kila mwaka.

    Kila jambo lina mwisho wake. Mauaji ya Oktoba 29 mwaka 2025 bado yapo kwenye mioyo ya Watanganyika. Huko mbeleni Paul Chacha na wenzako mtakuja kuona na kutambua nini maana ya nguvu ya umma. Mageti ya ikulu yatavunjwa kwa kutumia meno.
  9. idiomer

    JamiiForums Tanzania Ni nini hasa kinasababisha waziri hata mwaka hajamaliza anatolewa?

    Dkt Juma Homera aliteuliwa 18/11/2025 kuwa waziri wa katiba na sheria. 27/09/2026 Dkt Juma Homera ameteuliwa kuwa waziri wa nishati Hii inaathari gani ?
  10. bahati93

    JamiiForums Tanzania Yajayo mwaka 2050

    Wakuu nimepata maono wa mambo yanayokuja siku za mbeleni kuhusu AI, Hivyo hapa nafanya kama kuwatonya tu ndugu zangu msije angamia siku ikifika. Kuanzia mwaka 2040 zitaanza movement za AI kuwa recognized legally as person, kama tu kampuni inavyoweza simama kama mtu. Kutakuwa na upinzani lakini...
  11. Giovanni Mugillanetza

    JamiiForums Tanzania Mwaka 1994

    Mtu alikufa na kuoza akiwa kasimama.
  12. F

    JamiiForums Tanzania Ipi sahihi sana kati ya Kumsomesha mtoto msingi english medium ya ada 3m per year vs kumsomesha kayumba na kumnunulia kiwanja cha 3m kila mwaka?

    habari wadau, naombeni majibu njia gani nzuri ambayo mtoto itamsaidia sana mbeleni. kati ya hizo option mbili, maana baba yake kipato changu kidogo hakiruhusu kufannya vyote kwa pamoja. hivyo kipi sahihi cha kufanya ambacho kitamsaidia mtoto na hata akiwa mtu mzima hatanilaumu baba yake ...
  13. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Tufahamu malengo ya UN kuundwa mwaka 1945

    👉 Umoja wa Mataifa (UN) ulianzishwa mwaka 1945, baada ya dunia kupitia madhara makubwa ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia. 👉 Lengo kuu lilikuwa kudumisha amani na usalama wa kimataifa. 👉 Kuzuia migogoro kati ya mataifa isigeuke kuwa vita vikubwa. 👉 Kujenga jukwaa la mataifa...
  14. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa Msamaha wa Kodi kwa Biashara Mpya kwa Mwaka Mmoja

    Kuanzia Julai 1, 2026, Serikali imeanza kutoa msamaha wa kodi ya mapato kwa mwaka mmoja kwa biashara mpya, ukihesabiwa kuanzia tarehe ya kupata TIN. Hatua hiyo inalenga kupunguza mzigo wa kodi kwa wafanyabiashara wanaoanza, kuchochea uanzishaji wa biashara mpya na kuhamasisha urasimishaji wa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kituo cha SGR Ruvu hakifanyi kazi kwa karibu ya mwaka sasa, ni lini TRC itakifungua?

    TRC ituambie kituo cha SGR Ruvu lini kitarejesha huduma ya kupandisha na kushusha abiria, kwa kuwa sasa ni karibu mwaka mmoja tangu kituo hicho kisimamishe huduma. Kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa, kituo cha SGR Ruvu hakipandishi wala kushusha abiria kufuatia ajali ya treni ya mchongoko iliyotokea...
  16. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Jamii yetu ya israel,tunabadilisha mwaka usiku wa Sept 20,kuamkia 21st kama mwaka wetu mpya

    Kwa jamii yetu,sisi na community yetu mchana wa kubadilishia mwaka wetu katika sikukuu tunayoiita YOM-KIPPUR,basi kwa siku hiyo tunafunga kwa siku moja huku tukifurahia mwaka huo mpya kwa tarumbeta zetu ambazo tunaziita SHOFAR,pamoja na kula mikate yetu ambayo hatuweki hamira,hukandwa tu kwa...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Shughuli za mwaka wa mawasiliano ya watu kati ya China na Afrika zaendelea katika hali motomoto

    Shughuli mbalimbali za mwaka wa mawasiliano kati ya watu kati ya China na Afrika zinaendelea kufanyika katika sehemu mbalimbali za China na Afrika, na moja ya shughuli zilizofanyika hivi karibuni, ni uzinduzi wa sehemu ya sita Maonyesho la Filamu Bora za Kichina na Vipindi vya Televisheni...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Muda unakwenda sana, mwaka 2000 uncle alikuwa kijana mwenye 34 leo ni mzee mwenye 60

    Muda unakimbia, Fainali uzeeni
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna Course imeanzishwa mwaka 2025, ya Higher Diploma in Mental Health Nursing, lakini hii course haijulikani kama ipo chini ya NACTE au Wizara

    Kuna kozi ya Higher Diploma in Mental Health Nursing iliyoanzishwa mwaka 2025, lakini hadi sasa haijafahamika wazi kama iko chini ya usimamizi wa NACTE au Wizara husika. Tumejaribu kupata ufafanuzi kutoka kwa wahadhiri wa kozi hiyo, lakini nao hawajatoa majibu ya uhakika kuhusu hatma na...
Back
Top Bottom