"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.
Hellow wana JF.
Wakuu(Viongozi kwa Raia) naomba tujifunze kuishi kwa nidhamu, mipaka, tahadhari n.k
Mambo yanaweza kubadilika time yoyote ile na ukazimika kabisa kwenye dunia hii.
Timothy ‘Tim’ Cook Draper, bilionea kutoka Marekani, anayejulikana sana kwa uwekezaji wake katika makampuni makubwa ya teknolojia na sarafu za kidijitali (cryptocurrency), ametangaza kuuza kisiwa chake kilichopo Ziwa Tanganyika, Tanzania. Anasema hakitumii vya kutosha. Bei ni $7.9 million (zaidi...
biashara
boss
kisiwa chake kilichopo ziwa tanganyika
kitima
kuuza kisiwa chake
matamko
mtanganyika
mwaka
nyaraka
sababu
timothy ‘tim’ cook draper
wakati
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Msiniletee bendera ya CCM. Msiniletee bendera ya CHADEMA. Msiniletee bendera ya chama chochote kile cha kisiasa au ya nchi nyingine yoyote ambayo sio Tanzania.
Wakuu ee kuna mda wa kazi na kuna mda wa kuenjoy. Now nawaleta season kali zilizotoka mwaka huu na zinazoendelea kutoka
1.Fightland
2.Vagabond
3.The ark(hii inaendelea itafute ni kali sana watu wa space ship)
4.A bona fide killer (sniper)
5.Reacher(hii inaendelea kama hijaona seson za nyuma...
Habari za ijumaa!
Leo sina mambo mengi.
Ukishakuwa mperuzi wa JF mara kwa mara. Kwa zaidi ya mwaka mmoja. Ukamezeshwa Doctrines humu ndani. Kuna uwezekano mkubwa ukawa moja ya mwanachama bobevu wa;
a) Kataa CCM. Yaani Anti-CCM
Humu ndani hasa ukiingia jukwaa la Siasa. Aiseeh! Hata uwe shabiki...
Rais wa Kenya, William Ruto, amekiri kuwa kulikuwa na makosa katika namna Serikali ilivyoshughulikia maandamano ya vijana wa Gen Z mwaka 2024, akitambua maumivu yaliyosababishwa na vifo, madai ya kukamatwa kiholela, kutoweka kwa watu na matumizi ya nguvu kupita kiasi...
Ruto ametoa kauli hiyo...
genz
ili
kenya
kiongozi
kosa
kukiri makosa
kuua
makosa
mauaji
mwakamwaka 2024
rais
rais ruto
rais samia
ruto
samia
serikali
ujasiri
uungwana
waandamanaji
Kumekuwa na tatizo la umeme Wilaya ya Chunya kwa zaidi ya mwaka sasa, kila siku zinavyokwenda linaongezeka, hatupati umeme unaostahili na tukipiga simu huduma kwa wateja tunaambiwa ni tatizo la low voltage.
Tangu January 2026 wanakuwa wanakata umeme kila siku ya Alhamis na Jumamosi wakisema...
Anonymous
Thread
chunya
kukatika
mwaka
tatizo la umeme
umeme
wilaya
Nimewahi kufanya kazi katika Taasisi ya Moyo Medicare, Arusha, na niliacha kazi zaidi ya mwaka mmoja uliopita. Hata hivyo, hadi sasa Taasisi hiyo haijawasilisha michango yangu ya NSSF, licha ya kuwa makato yalifanyika wakati nilipokuwa kazini.
Nimejitahidi mara kadhaa kuwasiliana na uongozi wa...
Anonymous
Thread
arusha
michango
mmoja
moyo
mwakamwaka mmoja
nssf
yangu
zaidi ya
Kuna jambo linalohitaji kupewa umakini kuhusu urejeshaji wa fedha za dhamana (caution money) zinazolipwa na wanafunzi wa uzamili katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). Wakati wa usajili wa awali, wanafunzi hutakiwa kulipa kiasi cha Shilingi 50,000 kama caution money. Hata hivyo, baada ya...
Gen Z wanakwenda kuishangaza na kuistaajabisha serikali iliyoua na kufanya uzalimu kwa namna ambayo haijawahi kutokea.
1. Shule ambazo wanafunzi wake wataingia na kufanya mitihani ya taifa kama inavyopaswa ni asilimia 29
2. Asilimia 30 ya wanafunzi wataingia kwenye vyumba vya mitihani...
Historia ya afrika tunadanganywa na kufichwa mengi sana, kwa mfano shuleni sikuwahi kufundishwa kwamba muslims walivamia Christian Ethiopia kwa lengo la kuitawala ethiopia, nilifundishwa tu ukoloni wa "kizungu" lkn ukweli ni kwamba muslims walianza kuivamia afrika.
Muslims chini ya imam ahmed...
Kumekuwepo Chapisho linalosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, ikiwemo Facebook na Instagram, linadai kuwa Zambia ilisajili wapiga kura milioni 14 na kwamba katika uchaguzi huo zaidi ya watu milioni 14 walipiga kura.
"Money Won't Matter in 2036"
Utabiri wa Elon Musk kwamba fedha zinaweza kuwa “hazina umuhimu” (irrelevant) karibu na mwaka 2036.
Musk ameeleza kuhusu mustakabali wa miaka 10–20 ijayo ambapo AI na roboti zinaweza kufanya kazi nyingi za binadamu kuwa za hiari, na hivyo kupunguza sana umuhimu wa...
Kukamatwa kwa Nabii Tito ni Ishara tosha kwamba Polisi wanatumilka Kisiasa.
Mwaka 2018 Polisi walimkamata Dodoma, Halafu wakampeleka Mirembe, kisha wakamuachia eti ana matatizo ya akili. Kipindi hicho alikuwa anaisifia CCM.
Alipoanza kusema CCM na Samia ni wauaji wa Oktoba 29 mwaka 2025...
Mwaka 2002 ni mwaka ambao kwa familia hakuwa mwaka mzuri, familia ilipata uzuni ya ghafla kila mmoja aliumia kwa wakati wake
Baba yangu aliumia sana kwa sababu katika watoto wa familia dada yangu alikuwa ni mtoto pekee wa baba yangu na kwa kweli kwa darasani akili zake ziliwashinda kaka zetu...
Hili jukwaa la Elimu ni moja ya jukwaa ambalo wasomaji wake ni wachache sana ila naomba kwa wale watakao pata nafasi ya kuona huu uzi naombeni msaada wenu.
Naomba msaada juu ya hili jambo,
Mwaka jana nilipata udahili open university na nikafanya registration ila kwa changamoto zilizo nje ya...
Kumekuwa na chapisho linalosambazwa katika mitandao ya kijamii, hususan Facebook na Instagram, likiwa na nukuu inayodaiwa kutolewa na Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni. Nukuu hiyo inasema kuwa
“Nililenga kutogombea tena ifikapo mwaka 2031, lakini hadi sasa sioni mtu anayeweza kuendeleza...
🖤🇱🇧
Miaka sita iliyopita leo, Beirut ilibomolewa na mlipuko mmoja wenye nguvu zaidi usio wa nyuklia katika historia. Zaidi ya watu 220 waliuawa, zaidi ya 7,000 walijeruhiwa, karibu 300,000 walipoteza makazi yao, na jiji zima liliachwa na kovu katika sekunde chache. Maumivu ya siku hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.