mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mwaka 2019/2020 Ungemwambia Polepole kwamba ikifika mwaka 2026 kutakuwa na Free Polepole angekubishia kabisa

    Hellow wana JF. Wakuu(Viongozi kwa Raia) naomba tujifunze kuishi kwa nidhamu, mipaka, tahadhari n.k Mambo yanaweza kubadilika time yoyote ile na ukazimika kabisa kwenye dunia hii.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Timothy ‘Tim’ Cook Draper, bilionea kutoka Marekani, atangaza kuuza kisiwa chake kilichopo Ziwa Tanganyika, Tanzania

    Timothy ‘Tim’ Cook Draper, bilionea kutoka Marekani, anayejulikana sana kwa uwekezaji wake katika makampuni makubwa ya teknolojia na sarafu za kidijitali (cryptocurrency), ametangaza kuuza kisiwa chake kilichopo Ziwa Tanganyika, Tanzania. Anasema hakitumii vya kutosha. Bei ni $7.9 million (zaidi...
  3. N

    JamiiForums Tanzania OMBI LANGU: Nikikaribia kufa mwaka wowote ule, ninaomba sana mnitelee bendera ya Tanzanaia nikae nayo pembeni yangu

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Msiniletee bendera ya CCM. Msiniletee bendera ya CHADEMA. Msiniletee bendera ya chama chochote kile cha kisiasa au ya nchi nyingine yoyote ambayo sio Tanzania.
  4. JamiiForums Tanzania Season kali za kuangalia Mwaka huu.

    Wakuu ee kuna mda wa kazi na kuna mda wa kuenjoy. Now nawaleta season kali zilizotoka mwaka huu na zinazoendelea kutoka 1.Fightland 2.Vagabond 3.The ark(hii inaendelea itafute ni kali sana watu wa space ship) 4.A bona fide killer (sniper) 5.Reacher(hii inaendelea kama hijaona seson za nyuma...
  5. JamiiForums Tanzania Mambo makuu matano ukiwa JF member kwa mwaka. Utajikuta mwanachama mbobevu

    Habari za ijumaa! Leo sina mambo mengi. Ukishakuwa mperuzi wa JF mara kwa mara. Kwa zaidi ya mwaka mmoja. Ukamezeshwa Doctrines humu ndani. Kuna uwezekano mkubwa ukawa moja ya mwanachama bobevu wa; a) Kataa CCM. Yaani Anti-CCM Humu ndani hasa ukiingia jukwaa la Siasa. Aiseeh! Hata uwe shabiki...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Ruto wa Kenya akiri serikali yake kuua waandamanaji GenZ 2024. Rais Samia na serikali yake wanaweza kuwa na ujasiri huu kwa mauaji ya 29/10/2025?

    Rais wa Kenya, William Ruto, amekiri kuwa kulikuwa na makosa katika namna Serikali ilivyoshughulikia maandamano ya vijana wa Gen Z mwaka 2024, akitambua maumivu yaliyosababishwa na vifo, madai ya kukamatwa kiholela, kutoweka kwa watu na matumizi ya nguvu kupita kiasi... Ruto ametoa kauli hiyo...
  7. U

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu kutolipwa fedha za Wakulima na Watumishi walioshiriki Nanenane Halmashauri ya Mbulu

    Resolved
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wilaya ya Chunya kuna tatizo la umeme kukatika kwa zaidi ya mwaka sasa, tukiuliza tunapewa majibu mepesi

    Kumekuwa na tatizo la umeme Wilaya ya Chunya kwa zaidi ya mwaka sasa, kila siku zinavyokwenda linaongezeka, hatupati umeme unaostahili na tukipiga simu huduma kwa wateja tunaambiwa ni tatizo la low voltage. Tangu January 2026 wanakuwa wanakata umeme kila siku ya Alhamis na Jumamosi wakisema...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Moyo Medicare, Arusha hawajawasilisha michango yangu ya NSSF kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa

    Nimewahi kufanya kazi katika Taasisi ya Moyo Medicare, Arusha, na niliacha kazi zaidi ya mwaka mmoja uliopita. Hata hivyo, hadi sasa Taasisi hiyo haijawasilisha michango yangu ya NSSF, licha ya kuwa makato yalifanyika wakati nilipokuwa kazini. Nimejitahidi mara kadhaa kuwasiliana na uongozi wa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nilihitimu UDSM Mwaka 2021 lakini sijarudishiwa "caution money" mpaka leo, je kuna wangapi wanapigwa kama mimi?

    Kuna jambo linalohitaji kupewa umakini kuhusu urejeshaji wa fedha za dhamana (caution money) zinazolipwa na wanafunzi wa uzamili katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). Wakati wa usajili wa awali, wanafunzi hutakiwa kulipa kiasi cha Shilingi 50,000 kama caution money. Hata hivyo, baada ya...
  11. JamiiForums Tanzania Je, unafahamu mwaka 2026 kuna uwezekano mdogo wa kufanyika mitihani ya Taifa ya Kidato cha Pili na cha Nne?

    Gen Z wanakwenda kuishangaza na kuistaajabisha serikali iliyoua na kufanya uzalimu kwa namna ambayo haijawahi kutokea. 1. Shule ambazo wanafunzi wake wataingia na kufanya mitihani ya taifa kama inavyopaswa ni asilimia 29 2. Asilimia 30 ya wanafunzi wataingia kwenye vyumba vya mitihani...
  12. JamiiForums Tanzania Muslims invaded Christian Ethiopia mwaka 1520, hatufundishwi shuleni!

    Historia ya afrika tunadanganywa na kufichwa mengi sana, kwa mfano shuleni sikuwahi kufundishwa kwamba muslims walivamia Christian Ethiopia kwa lengo la kuitawala ethiopia, nilifundishwa tu ukoloni wa "kizungu" lkn ukweli ni kwamba muslims walianza kuivamia afrika. Muslims chini ya imam ahmed...
  13. JamiiForums Tanzania SI KWELI Zambia ilisajili wapiga kura milioni 14 katika uchaguzi wa mwaka 2026

    Kumekuwepo Chapisho linalosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, ikiwemo Facebook na Instagram, linadai kuwa Zambia ilisajili wapiga kura milioni 14 na kwamba katika uchaguzi huo zaidi ya watu milioni 14 walipiga kura.
  14. JamiiForums Tanzania Je ni Kweli Fedha Hazitakua na Umuhimu Ifikapo Mwaka 2036

    "Money Won't Matter in 2036" Utabiri wa Elon Musk kwamba fedha zinaweza kuwa “hazina umuhimu” (irrelevant) karibu na mwaka 2036. Musk ameeleza kuhusu mustakabali wa miaka 10–20 ijayo ambapo AI na roboti zinaweza kufanya kazi nyingi za binadamu kuwa za hiari, na hivyo kupunguza sana umuhimu wa...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini Polisi Wamemkamata Nabii Tito wakati 2018 walimuachilia kwamba ana matatizo ya akili?

    Kukamatwa kwa Nabii Tito ni Ishara tosha kwamba Polisi wanatumilka Kisiasa. Mwaka 2018 Polisi walimkamata Dodoma, Halafu wakampeleka Mirembe, kisha wakamuachia eti ana matatizo ya akili. Kipindi hicho alikuwa anaisifia CCM. Alipoanza kusema CCM na Samia ni wauaji wa Oktoba 29 mwaka 2025...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mzazi usimchagulia mtoto masomo

    Mwaka 2002 ni mwaka ambao kwa familia hakuwa mwaka mzuri, familia ilipata uzuni ya ghafla kila mmoja aliumia kwa wakati wake Baba yangu aliumia sana kwa sababu katika watoto wa familia dada yangu alikuwa ni mtoto pekee wa baba yangu na kwa kweli kwa darasani akili zake ziliwashinda kaka zetu...
  17. JamiiForums Tanzania Mwaka wa masomo 2025-2026 nilipata Udahili Open University lakini Sikusoma-Je Naweza Kuomba Chuo Kingine Mwaka Huu?

    Hili jukwaa la Elimu ni moja ya jukwaa ambalo wasomaji wake ni wachache sana ila naomba kwa wale watakao pata nafasi ya kuona huu uzi naombeni msaada wenu. Naomba msaada juu ya hili jambo, Mwaka jana nilipata udahili open university na nikafanya registration ila kwa changamoto zilizo nje ya...
  18. JamiiForums Tanzania FALSE Je? ni kweli museveni amesema " nililenga kutogombea tena ifikapo mwaka 2031 lakini sioni kuendeleza maono yangu.

    Kumekuwa na chapisho linalosambazwa katika mitandao ya kijamii, hususan Facebook na Instagram, likiwa na nukuu inayodaiwa kutolewa na Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni. Nukuu hiyo inasema kuwa “Nililenga kutogombea tena ifikapo mwaka 2031, lakini hadi sasa sioni mtu anayeweza kuendeleza...
  19. JamiiForums Tanzania Kama huu ni mwaka wa 6 wa kujitegemea dsm na bado unalala chumba kimoja na madumu ya maji na mengine hadi ndio umeegeshea sabufa, rudi tu malampaka.

    Hii sio kejeli Hii ni wake up call Rudi nyumbani, bado ardhi ni milioni mbili hadi mln moja unapata.
  20. JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hezbollah walihusika na Mlipuko wa Beirut Lebanon mwaka 2020!!!

    🖤🇱🇧 Miaka sita iliyopita leo, Beirut ilibomolewa na mlipuko mmoja wenye nguvu zaidi usio wa nyuklia katika historia. Zaidi ya watu 220 waliuawa, zaidi ya 7,000 walijeruhiwa, karibu 300,000 walipoteza makazi yao, na jiji zima liliachwa na kovu katika sekunde chache. Maumivu ya siku hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…