mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ushuru wa Tesla Model 3 ya 2019 ni karibia theruthi ya Ushuru wa Toyota Crown ya mwaka huo huo. #EV4Everybody!

    Hapa namaanisha Tesla kutoka USA na Crown kutoka Japan. Walivyosema wanashusha kodi za EV walimaanisha aisee. Juzi juzi Model 3 bila Mil 20+ ya ushuru usiangaike kuitafuta leo unaipata kwa Mil 14. Muda huo huo Ushuru wa Crown generation ya 15 wamoto hatari. Unazidi Mil 38. Hybrids...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna member mzanzibari mwenye asili ya asia nae alifariki mwaka jana mwezi wa tano au sio wasita, tumuombee nae

    Huyu mzanzibari alikua kama anko wangu nadhani jamii forum ndo iliyo tufanya tuwe kama ndugu, mi nilikua nimeajiriwa na mdogo wake wa kike, ndo tulipo fahamiana hapo. Alikua anafanya kazi smz kama si ardhi, basi mambo ya ujenzi sijui sikumchinguza sana, alikua akiishi stone town, mwaka Jana...
  3. JamiiForums Tanzania Hatimaye nimefikisha mwaka mmoja without Sex

    Faida nilizopata ni nyingi Sana Mimi sio yule wa mwaka 2025 -july najishukuru, Hamu ya sex sometimes ilikua kali sana ila nilifanya mazoezi makali Gym na kufikiria mambo magumu yasiyo na majibu kwenye real world
  4. F

    JamiiForums Tanzania Uwezekano wa Museveni na Kikwete kutomaliza mwaka huu ni mkubwa sana

    Nikiri. Mie si mtabiri wal sifanyi utabiri wala kufanya hiki ninachoandika utabiri bali uoni. Ila nina hisia kuwa watajwa hapo juu, kwa namna mmoja alivyoadimika na mwingine alivyoanza kumuandaa mwanae kuchukua ukanda, kuna kitu kinafichwa kiafya. Tunajua Kikwete anasumbuliwa na kansa ya...
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA Mkienda mahakamani, hukumu itatoka mwaka 2030.Tutumie mabavu kufanya Siasa

    CCM wakiangalia mbele ni giza sababu haakuna walichofanya. Hivyo wanahofu ya kuondolewa madarakani. Mikutano ya CHADEMA inawatisha kwani walitegemea CHADEMA imekufa. Hata 29.10.2025 walipiga risasi wananchi sababu walihisi waliokuwa wanaandamana ni CHADEMA. Nashauri CHADEMA tutumie mabavu...
  6. JamiiForums Tanzania Mwaka gani ulikutana na tatizo la afya ya akili na kipi kilipelekea kukutana na tatizo hilo?

    Mwaka gani ulikutana na tatizo la afya ya akili na kipi kilipelekea kukutana na tatizo hilo? Nakumbuka nadhani ilikuwa mwaka 2020 na 2022 nilipata mawazo na msongo mkubwa baada ya kuenea corona dunia nzia tulishuhudia shughuli mbalimbali zikisitishwa na mambo mengi kusimama na ikatubidi...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto Somo la Pharmacognosy KIUT Dar, Mwalimu Atajwa...!

    Kutoka Chuo cha KIUT Dar es Salaam, wanafunzi wa corse ya Bachelor of Pharmacy mwaka wa 4 na 3 tunakumbana na changamoto ya mwalimu mmoja ambae somo lake (pharmacognosy)mpaka uzunguke mbuyu ndio ufaulu hata mitihani yake sio standard kabisa.
  8. JamiiForums Tanzania KERO Serikali imewadhulumu madaraja wafanyakazi walioajiriwa mwaka 2014 na mpaka leo hakuna mtetezi

    Wale walioajiriwa mwaka 2014 walikaa miaka 7 (miaka saba) Kwa lugha ya who are you (SEVEN YEARS) bila kupata nyongeza wala kupandishwa daraja bila kosa lolote! imagine kuanzia mwaka 2014 wakaja kupanda daraja mwaka 2021! pamoja na nia nzuri ya serikali LAKINI kuna haja ya kufidiwa hili daraja...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Lissu alivyochambua kasoro za Muungano katika Bunge Maalum la Katiba mwaka 2014

    Kumbukizi: Kauli za Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alizozitoa katika Bunge Maalum la Katiba mwaka 2014 kuhusu kasoro zilizopo kwenye Muungano. Wakati huo alikuwa Mkuu wa Sheria wa chama hicho na Mbunge wa Singida Mashariki.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Kichina lilivyozua mjadala mitandaoni wa chuki na Ubaguzi wa Rangi mwaka 2016

    Mnamo Mei 2016, kampuni ya vipodozi ya nchini China iitwayo Shanghai Leishang ilirusha tangazo la kidijitali la Sabuni ya kufulia wa Qiaobi, ambalo lilishtua ulimwengu mzima kwa ubaguzi wa wazi wa rangi. Tangazo hilo lilimwonyesha binti mmoja wa Kichina akimsukumia kwa utani mwanamume mweusi...
  11. JamiiForums Tanzania Iweje Zanzibar Tarehe 1 Muharam 1448 Sikukuu Inaadhimisha Mwaka wa Kiislamu Bara ni Siku ya Kazi?

    https://youtu.be/6tQNJaVTWlo?si=kcNDLLVOAAy8RaOA
  12. JamiiForums Tanzania Tupo tayari kupokea mwaka mpya wa kiislam kesho kutwa 17/06

    Hamjambo wote! Sisi tupo tayari kusherehekea mwaka mpya pamoja na ndugu zetu waislam. Muhimu zaidi ni mialiko yenye pilau, nyama na vinywaji. Kwani kitu gani bhana! Maisha ndio hayahaya. Nimemaliza
  13. JamiiForums Tanzania Mufti aomba mapumziko mwaka mpya wa kiislamu,naam uislamu ni dini ya haki

    Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakari Zubeir Ally, amemuomba Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, kumshawishi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ili siku ya mapumziko ya Mwaka Mpya wa Kiislamu (Hijriyya) itambuliwe Tanzania nzima. Mufti Zubeir...
  14. JamiiForums Tanzania Tunaomba jumatano iwe mapumziko, kusherehekea mwaka mpya wa Hijri

    Kama wakristo wanasherehekea mwaka mpya, ni halali na kwa waislamu kusherehekea mwaka mpya wa Hijri. Hii ndio miezi katika kalenda ya hijri 1. Muharram (Mwezi wa kwanza na ni miongoni mwa miezi mitakatifu) 2. Safar 3. Rabi' al-Awwal (Mwezi aliozaliwa Mtume Muhammad S.A.W) 4. Rabi'...
  15. JamiiForums Tanzania Magufuli alikufa kwa Corona hata kama maandiko ya awali yana match tulichosema Mwaka huo, tuache conspiracy

    Naona wananzengo wanaleta hata tweet nilizofuta sijaelewa kwanini zitrend muda huu! Kiufupi Magufuli alipuuza masuala ya wataalamu akaleta kujifukiza Kumbe anajimaliza yeye na battery ya moyo Ujumbe nilopewa na mstaafu hauna uhusiano na kifo chake Je kwanini trend now nisiletewe matatizo...
  16. JamiiForums Tanzania Huu mwaka nilipigika hasa. Mpaka nikaanza kuwa natumia Decoder ya Azam

    Acheni kabisa nlishindwa kuwa nalipia DSTV Explorer. Nikajikuta nami naanza kuangalia king'amuzi cha Azam. Jambo hilo nlisema halitatokea tena. Nikapata kazi nikaanzisha na biashara. Mwaka huu natumia DSTV EXPLORER sitaki tena Uswahili swahili. Ile decoder nliiipasua pasua since then na dish...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Madaktari Halmashauri ya Mpimbwe na kutolipwa Call Allowance kwa zaidi ya mwaka mmoja

    Madaktari hospitali ya wilaya katika Halmashauri ya Mpimbwe wanadai kunyimwa malipo ya call allowance tangu Februari mwaka jana, huku wakielezwa kuwa OC haijaingiziwa fedha hizo. Hata hivyo, fedha zimekuwa zikipokelewa lakini zinabadilishwa matumizi kinyume na kusudio lake na bila utaratibu...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Hakuna jambo lililoniuma mwaka huu kama kutochaguliwa Uhamiaji ukizingatia nina Barchelor of Arts in Law Enforcement na JKT Certificate ninayo

  19. JamiiForums Tanzania KERO Kitambulisho changu hakitoki toka mwaka 2020-2022

    Habari, Nilijiandikisha na nida mwaka kati ya mwaka 2020-2022 nikapatan namba vizuri tu lakini baada ya hapo sijawahi kupata kitambulisho changu mpaka leo. Licha ya juhudi zangu kufuatilia katika ofisi mbalimbali niliambiwa ya kuwa kitambulisho kipo hatua ya mwisho kwenye mchakato wa...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Balozi Khamis: Misaada kutoka nje imeendelea kupungua mwaka hadi mwaka, haiwezi kuwa chanzo cha kuaminika cha mapato katika utekelezaji wa Bajeti

    Waziri wa Fedha, Khamis Mussa Omar ameyasema hayo Juni 11, 2026 wakati akiwasilisha mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27 akisema kuwa takwimu za miaka ya karibuni zinaonesha kuwa misaada kutoka nje (Official Development Assistance - ODA) imeendelea kupungua mwaka hadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…