Wakuu nimepata maono wa mambo yanayokuja siku za mbeleni kuhusu AI, Hivyo hapa nafanya kama kuwatonya tu ndugu zangu msije angamia siku ikifika.
Kuanzia mwaka 2040 zitaanza movement za AI kuwa recognized legally as person, kama tu kampuni inavyoweza simama kama mtu. Kutakuwa na upinzani lakini...