mungu

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mungu ni mmoja na Sisi kama watu tunaishi mfumo wa kimaendeleo ambao unamtukuza Mungu

    Najua Mungu ni mmoja na Sisi kama watu tunaishi mfumo wa kimaendeleo ambao unamtukuza Mungu kwa kushirikiana na kusaidiana kiutendaji kutimiza lengo la Mungu kikazi, kimaendeleo, fursa na riziki ndiyo maana tumekua ndugu na marafiki na Leo hii tunawasiliana kwa mipango ya Mungu.
  2. JamiiForums Tanzania Nina mashaka na uungu wa Yesu. Inakuwaje Mungu anapigwa misumari msalabani na watu aliowaumba?

    Wengi wanapenda Kudai: "Yesu hajawahi kusema waziwazi kwamba yeye ni Mungu." Kisha wanachukua vifungu vichache kama: • "Hakuna aliye mwema ila Mungu peke yake." • "Siku ile na saa ile hakuna aijuaye ila Baba." Halafu wanahitimisha kwamba Yesu si Mungu. Lakini tatizo ni kwamba wanaangalia...
  3. JamiiForums Tanzania Tamasha la Twende zetu kwa Yesu mnafanya wizi kuuza neno la Mungu

    Tamasha la Twende Zetu kwa Yesu lililoandaliwa na Kanisa la Kiinjili la Kilitheri halikupaswa kutoza viingilio kwani neno la Mungu linatolewa bure na haliuzwi. Hebu tuangalie baadhi ya mistari:- Isaya 55:1-2 [1] Haya, kila aonaye kiu, njoni majini, Naye asiye na fedha; njoni, nunueni mle...
  4. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutambua Mungu anaongea na wewe

    Jinsi ya kutambua Mungu anaongea na wewe. 1. Mungu anaongea na wewe kupitia amani, Kama upo unapata amani kwenye roho yako pindi unapowaza au kupanga malengo fulani fahamu kuwa Mungu amekubaliana na hilo jambo. Jambo lolote kutoka kwa Mungu uwa alikufanyi kuchanganyikiwa, kukupa shinikizo au...
  5. JamiiForums Tanzania Kama taifa, yafaa kumshukuru Mungu kwa kutuonesha vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi mchana kweupe tena kwa macho ya nyama kabisa

    Wengi hawakuamini masuala ya uwepo wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, na mamluki wao, waliojificha ndani ya miongoni mwa vyama vya siasa nchini, wakiwa na nia na dhamira ovu dhidi ya taifa letu. Lakini sasa ni wazi maadui wa taifa letu, wamejidhirisha wenyewe mbele ya waTanzania na dunia...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Is God Evil? ( Je Mungu ni Muovu?)

    Kuna movement inaendelea kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii duniani ambako kumekuwa na watu wengi wenye kutoa maoni kwamba " God Is Evil " ( Mungu ni Muovu) . Asilimia kubwa ya watu hawa ni wale ambao zamani walikua washika dini Sana.. Vipi kuhusu wewe. Je unadhani Mungu ni Muovu au sio...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Mwakasege: MUNGU usitunyamazie yatosha BABA !

    Tusali wote tumuombe Mungu asitunyamazie.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Twaha Mwaipaya: Kama sheikh, Mchungaji na Padri wako hajawahi kukemea mauaji, basi njoo Maria space usali ukemee mauaji kuitikia amri ya MUNGU "USIUE"

    Ndio ujumbe wake leo huko Maria spaces. Kama hao viongozi wa dini yako wanashindwa kukemea mauji ya 29th October 2025, ja maovu mengine, basi achana na huko njoo Maria spaces ukemee mauaji!
  9. JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Biblia, kufa chini ya miaka chini 70 sio mpango wa Mungu

    Habari wadau Kwa wakristo waliompokea Yesu kama neno linavyosema kwamba kufa chini ya 70 inaonekana sio mpenzi ya Mungu hasa maisha ya sasa ambayo RIP ZA vijana zimekuwa nyingi sana Karibu tujadili
  10. JamiiForums Tanzania Kuisikia sauti ya Mungu kupitia ishara ya moto

    Mara nyingi Mungu anakua anazungumza na Mimi kupitia ishara ya Moto , Kama wanafunzi wa Yesu pia alivyo fufuka walisema, Je ,mioyo yetu Aikuwakawaka ndani yetu alipo kuwa akisema nasi. Sijajua Kwa wenzangu nataka kujua na nyie uwa inakuwaje Lakini kwangu Mimi huwa hivi . 1. Nikiwa natafakari...
  11. JamiiForums Tanzania Biblia: Kitabu cha Mkanganyiko au Neno la Mungu?

    Hivi kweli akili zenu zimefungwa na kufuli la Wazungu mpaka mmeshindwa kuona ukweli ulio wazi? Yaani hapa duniani hakuna kitu kinachochanganya na kuvuruga akili za watu kama hiki kitabu cha Wazungu!, Yaani Biblia!. Inakuwaje Mungu aliyeumba mbingu na ardhi, mwenye akili na mamlaka, aandike...
  12. JamiiForums Tanzania Nashukuru Mungu nimetimiza milion 200 yangu kwanza?

    Ilikua safari ndefu sana. Nakumbuka mwaka 2005 nilikua naiona kama ni ndoto kubwa .Hatimae leo imetimia . Watafutaji wote tusikate tamaa pesa zipo
  13. JamiiForums Tanzania Muswada wa Ted Cruz utasaidia tulio 40s kushuhudia anguko la CCM. Mungu tusaidie

    CCM IMETESA SANA WATANZANIA na wamefikia mahali wanaona hawagusiki wameuwa sana watu na kusingizia watu kesi za uongo. Wanaona TUNDU LISSU ni kitisho kwao hivyo wanatafuta namna ya kumsilimisha au kumpoteza lakini waki calculateimpact yake wanaona haiwezekani sasa hili zigo la TED CRUZ ndio...
  14. JamiiForums Tanzania MUNGU ni mwema wakati wote

    Shikamoon wakubwa zangu wote Wadogo zangu hamjambo. Leo ni siku nzuri Sana kwangu, Si kwamba siku nyingine huwa mbaya,hapanaa,bali ni kwamba jambo likija wakati mzuri huwa moyo unafarijika. Binadamu tunakosea, Tunasameheana Maria Mimi si mkamilifu Kwa mambo mengi,yapo nayofanya Kwa...
  15. JamiiForums Tanzania KERO Unakopa milioni 10 unarudisha milioni 40! NMB Mungu anawaona

    Nilikua naangalia mkopo wa nyumba hapa wa miaka 25.Nimeshtuka hiki kiasi cha 16% ambacho ni milion 30. Nimeishiwa pozi kabisa
  16. JamiiForums Tanzania Ama kweli CHADEMA ni mpango wa Mungu. Ona hili vibe la Ndato Rungwe CCM wakasome

    Hii ni hatari CCM lazima wapaniku CDM ipo mioyoni wa Watanzania.
  17. JamiiForums Tanzania Q net na rafiki yangu wa utotoni Mungu anawaona kwa mlichonifanyia

    Ila Q net mnanifanya naishi kama digi digi kwenye mji wa watu 🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥹😭😭. Ndugu zangu mwenye kazi yoyote mwanza naomba Nina hali ngumu sana.
  18. L

    JamiiForums Tanzania CCM Tulimuacha Msigwa ajikaange Kwa Mafuta Yake Mwenyewe na Ndio Maana tulimzungusha Maeneo Mbalimbali Nchini. Ogopa Mungu na Teknolojia

    Ndugu zangu Watanzania, CCM ni chama chenye akili kubwa sana ,ni chama chenye uwezo mkubwa sana wa kijasusi na mbinu za kijasusi na kijeshi . CCM ndio Maana inaitwa chama kiongozi Barani Afrika,ndio maana imeendelea kuongoza Taifa letu kwa miaka mingi na itaendelea kuongoza Taifa hili Mpaka...
  19. JamiiForums Tanzania Kula vizuri ndio kilevi changu, kwa hili nashukuru sana Mungu

    Situmii pombe, Situmii sigara. Situmii kitimoto Sio mtu wa wanawake Kilevi changu ni kula vizuri sana, mfano Leo weekend Nimepika nyaama ya mbuzi kilo Moja na ndizi za kukaanga nakupa taratibu. Hakika Sina kilevi zaidi ya kula vizuri
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu ahitaji sadaka ya masikini?

    Sipo hapa kuleta ligi. Mimi ni mkristo, kuwa mkristo haimaanishi hutakiwi kunifunza au kuuliza. Nauliza nijue ili kuamini zaidi badala ya kuamini juu juu tu. Sihitaji kujua HOW(jinsi gani) hayo nayajua Sihitaji kujua references (vyanzo), hivyo navijua. Labda viwe vyanzo vinavyoeleza sababu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…