mungu

  1. JamiiForums Tanzania Civilian-Coin: Yesu kristo sio MUNGU na alithibitisha yeye mwenyewe kuwa sio MUNGU lakini Afrika na Italia zimeng'ang'ania uongo.

    Yesu kristo sio MUNGU na alithibitisha yeye mwenyewe kuwa sio MUNGU lakini Afrika na Italia zimeng'ang'ania uongo. Biblia inatuambia "Yesu akakutana na kijana tajiri akamwita, Mwalimu mwema, yesu akajibu, Mimi sio mwema Bali mwema ni MUNGU peke yake" hapa yesu anakiri kuwa yeye sio MUNGU. Yesu...
  2. JamiiForums Tanzania Tufanye unaamini Mungu, huamini Mungu au bado hujafanya uamuzi, unahisi nini hutokea dakika ya kwanza baada ya kufa?

    Wakuu hii ni mada ya kutafakari najua ishajadiliwa sana humu ndani ya forum na huko makwenu..sasa tuweke hitimisho japo najua sio rahisi je tuseme moyo umesimama kabisa na umethibitishwa umefariki.Wewe unahisi nini hasa hutokea dakika ya kwanza baada ya hapo?Unadhani ndiyo mwisho wa kila kitu...
  3. JamiiForums Tanzania Mungu hatakutendea jambo: Ila anatenda jambo kupitia wewe

    Kuna mtazamo fulani hatari sana wa kusubiri kuwa kuna wakati Mungu atakutendea jambo fulani na mtu unaamua kukaa kusubiri. Hakika hii ni hali ya hatari sana katika maisha yetu tulio wengi. Tunaisahau Sheria muhimu sana ya kuwajibika " law of accountability". Ni sawa kuwa unaweza ukagundua...
  4. JamiiForums Tanzania Mzigo wa Kujua Ukweli wa Dunia

    Katika ulimwengu huu wenye siri na mambo machafu, omba Mungu sana kwako yasionekane. Omba Mungu uwe normal kama watu wengine, usiwe na uwezo wa kujua nini kiini cha maumivu, mateso, majivuno, chuki, na dhana potofu zinazo tawala huu ulimwengu. Haihitaji kusoma, ila tu ni mipango ya muumba...
  5. JamiiForums Tanzania Enyi Makanisa ya kilokole mwanamke akipata mimba kabla ya ndoa msimtenge mnachochea abortion acheni wazae nyinyi siyo Mungu

    Wachungaji wa Makanisa ya kilokole punguzeni mashariti acheni kuwatenga mwanamke wanaopata mimba kabla ya ndoa, hii inapelekea ongezeko la utoaji wa mimba. Na ninyi wanawake mchungaji siyo Mungu ni binadamu kama binadamu wengine acheni kujieleza Kila kitu kwa wachungaji au mnalogwa? ...ongeeni...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mtu anayetungisha mimba wenye chupa maabara ana hatia mbele ya Mungu au la

    Mtu anayetungisha mimba wenye chupa maabara ana hatia mbele ya Mungu au la Kwanza ni muhimu kufahamu nini maana ya watoto wa kwenye chupa. Ikitokea mama anakuwa ana mayai lakini anapata shida kushika mimba, huwa kuna uwezekano wa kuyatoa mayai yake kutoka kwenye uzazi na kuyaweka kwenye kifaa...
  7. JamiiForums Tanzania Malaika wa Mungu katika fikira zako na unavyo hisi ndivyo ILIVYO

    Tazama.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila: Baada ya kumshukuru Mungu huwa namshukuru Rais Samia kwa kunipa fursa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo akizungumza katika Mahojiano yaliyorushwa Julai 8, 2026 na M & S Podcast amesema; "Chama kikubwa kama CCM hata nafasi ya kuwa mjumbe wa kuandika ilani, hilo ni jambo kubwa sana. Sasa mimi sikuwa tu mjumbe, Kitila Mkumbo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kama una roho ndogo tafadhali usisome huu uzi maana sitaki matusi leo

    Kila mtu anajua nchi yetu inayoyapitia. Hadi mtoto anafaham kwa njia yake mwenyewe na kwa mtazamo wangu mimi kama mpinga kristo naona hapa tumesukumwa kwenye kona finyu ambayo hata kugeuka hatuwezi. Lakini bado maisha yanasonga tu. Sasa nyie mnaomjua mungu nakuamini mungu kwa nini hamsimami...
  10. JamiiForums Tanzania Je, binadamu ni chakula cha anayeitwa Mungu?

    Habari za sikunyingi ndugu Zangu jukwaani? Mtu akifuga mbuzi Faida yake ni nyama na maziwa Kadhalika ng'ombe ninyama na maziwa kuku kondoo na vinginevyo navyo vina faida juu ya mfugaji wake. Je umewai jiuliza ni ipi Faida aipatayo mfugaji wa Hawa viumbe wanao itwa bin Adam/ mimi na wewe ...
  11. JamiiForums Tanzania Chadema HQ, kuweni na hofu ya Mungu kwa rambirambi wanazotoa waombolezaji, ni heshima zikafika kamili kwa wafiwa na familia kwa ujumla.

    Katika misururu ya misiba ya viongozi na wanachama wa chadema sehemu mbalimbali nchini, pamekuwepo na tetesi, minong'ono, tuhuma na malalamiko ya mara kwa mara dhidi ya wizi au upigaji wa fedha za rambirambi zinazotolewa na waombolezaji kwaajili ya wafiwa, na badala yake, wakusanyaji michango...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna ishara gani ambazo hukufanya uone wewe na Mungu mnatafutana sana?

    Hii ni hoja yangu tu si lazima kila mtu akubaliane nayo.naamini kuna dalili ambazo zinaweza kuonyesha moyo wa mtu unavutwa zaidi kumtafuta Mungu. Ya kwanza ni pale unapokuwa peke yako hasa usiku. Unaweza ukawa unatembea au ukaamka ghafla bila hata kukusudia ukautazama mwezi bila sababu ukaanza...
  13. JamiiForums Tanzania Ufalme wa Mungu upo ndani yenu – Luka 17:21

    Tumsifu Yesu Kristu......Ningependa kunukuu maandiko matakatifu ya Yesu mwenyewe katika injili ya Luka 17:21 "Na alipoulizwa na Mafarisayo, Ufalme wa Mungu unakuja lini? Aliwajibu akasema, Ufalme wa Mungu hauji kwa kuangaliwa; wala hawatasema, Tazama, upo hapa! Au, Upo pale! Kwa maana tazama...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Taifa Israel PEKEE ndilo Kwa miaka maelfu lilimuabudu Mungu wa kweli Africa wazungu ni miungu yao kabla ya kumuamini Mungu Ibrahimu Isaka na Yakobo

    Huwezi kumtenganisha Mungu wa kweli na taifa la Israel huo ndo ukweli Haijalishi Israel walimuasi Mungu wao Kwa miaka mingapi lakini Mungu wao LAZIMA awarudishe kwenye Agano lake Biblia ni kitabu kinachoonyesha uhusiano wa Mungu wa kweli na taifa lake la Israel kuanzia Mwanzo Hadi Ufunuo...
  15. JamiiForums Tanzania Familia ya kina Polepole ipongezwe. Haitaki kumuachia Mungu. Ndivyo inavyotakiwa

    Hamjambo! Aiseeeh! Hii familia iwe Mfano kwetu. Haipoi na hawataki kumuachia Mungu. Wanapambana aiseeh! Kule Kaka Mtu, kule Mdogo wakiume. Kule Dada Mtu. Hawa watu wanaonyesha upendo, umoja, ujasiri na hawataki kukubali imeisha. Swali kwa kila mmoja wetu mpaka viongozi na wanaongozwa. Isije...
  16. JamiiForums Tanzania Ukipata mke anayeomba ushauri wako jambo la kushukuru Mungu

    Wanaume huwa tunavimba vichwa sana kuona mke anakuja kuomba ushauri wa mambo yake ni utiifu wa kiwango cha juu , akiwa na jambo utasikia subiri hubby aje niongee naye hafanyi jambo bila kumshirikisha mume . Mke wa aina hii anavutia sana
  17. G

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Ayatollah Khomeini aliyekuwa na kiburi akihutubia mbele ya mihadhara ya Kidini? Yuko wapi mungu wake aliyemtaja kuwa mkubwa angemsaidia?

    Ayatollah Khomeini alikuwa kiongozi mwenye kiburi na Jeuri sana Pamoja na kufanya mauaji ya raia wake aliwaaminisha uwongo kwamba mungu wake angewasaidia Kila watu na Miungu iliyojiinua kinyume Cha Israel na Mungu wao Jehova walipigwa vibaya mno. Nchi zote zinazopigana na Israel na washirika...
  18. R

    JamiiForums Tanzania MUNGU si mmoja, kuna MUNGU wengi. Why?

    Angelikuwa Mungu ni mmoja, huyu asingeli ruhusu ya 29.10.2025 yatokee. Angelimuogopa Mungu aliyemfumbia mikono kwa unyenyekevu mkubwa!
  19. D

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu video uliosambaa kwamba Watanzania kutoka bara wazuiwa kufanya kazi Zanzibar

    Sijui wanajisikiaje Sasa huko waliko?!! === Baadhi ya Vijana kutoka Tanzania Bara waliodaiwa kuzuiwa kufanya kazi Zanzibar hadi waoneshe vitambulisho vya Uzanzibari, wameeleza kuwa hawakutengwa wala kubaguliwa kama ilivyoripotiwa awali. Vijana hao wamesema taharuki iliyoibuka katika eneo lao la...
  20. JamiiForums Tanzania Kama muungano ulifanywa na mtu wa kawaida kabisa asiye na umungu wowote basi unawez kuwa na ukomo,tusiuone kama nia takwa la kimaandiko ya kimungu

    Mungano hauna ulazima tusiufanye muungano kama ni agizo la mandiko matakatifu au ni maagizo ya vitabu vitakatufu,au ni jambo la kinabii. Hii ni kana ndoa pamoja na kufungwa madhabahuni na kiapo kwa mungu na wanadamu pia lakini wanandoa wakichokana wanaachana na kila mtu anaishi maisha yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…