mungu

  1. Nakukumbusha , Mungu hana matumizi na Pesa ukitoa sadaka wanapokea watu kama mimi na wewe haiendi mbinguni

    https://www.instagram.com/reel/DIT_D7jt4KC/?dlrf=N3ZpMm5xOHN4OXpp
  2. Mungu atuepushie mbali kupata mke jamii ya mke wa lissu

    Ni utaratibu wa kawaida mke na watoto kuwa bega kwa bega pale baba au mwanafamilia mmoja anapopata tatizo lolote iwe maradhi,misiba au hata mashtaka ya kimahakama,tuwe tu wakweli,je mke wa aina hii anafaa kwenye jamii yetu na udugu wetu wa kitanzania? Let be frankly and truly, Maisha ni...
  3. Nape Nauye, bora angepigwa risasi tu, sasa anataka Lissu amgeukie Mungu wa Ntwara au? Awaambie watesi wamgeukie Mungu, yaani maccm wenzie

    Mtu kama tundu Lissu alipigwa risasi 16 na akapona huyo hana Mungu? Wakati wewe Nape Nauye ulitishiwa bastora tu na yule askari aliyeukumiwa kifungo cha maisha na sasa yuko jera siku hiyo ulijamba ushuzi ambao hukuwai kujamba leo unataka Lissu mtakatifu amgeukie Mungu wa Ntwara au? Nani wa...
  4. Nape: Tundu Lissu amrudie Mungu wake

    ‘Nikipata nafasi ya kwenda kumuona Tundu Lissu nitaenda ni Mjomba wangu na yeye anajua, na mmoja wa watu walionishawishi mimi kusoma Sheria ni Tundu Lissu, kuteleza kupo, nilotamani matokeo yawe toauti jana lakini sababu tunaheshimu mifumo basi tunaacha' ‘Magereza sio sehemu nzuri ya kwenda...
  5. Ee Mungu wangu, Mbona katika hili umewapa ushindi maadui?

    Mungu wangu na Baba yangu, nimekuwa nikikuomba mambo mengi na umenitendea, umenishindia mengi paka mengine huwa naogopa! Katika hili pia nilikuita na kukuomba uingilie kati, ukamnusuru mja wako maana hana hatia yoyote. Lakini Mungu leo hawa watesi wamejitangazia ushindi. Lakini bado nina...
  6. Kila mtu atakufa lakini Mungu nakuomba nishuhudie kifo kimoja tu ndiyo unichukue

    Kila mtu atakufa lakini ewe mwenyezi mungu nakuomba nishuhudie kifo kimoja tu cha huyu mtu ndiyo unichukue. 😢😢😢
  7. M

    “Kama Mungu aishivyo” Dhuluma hii itawatafuna hadi kizazi chenu cha nne

    Hana kosa la kustahili dhuluma hii. Mlishamfanya mlemavu kwa kosa la kupigania haki za watu. Amenusurika kifo kwa kosa la kupigania haki za watanzania. Mmemfunga jela kwa kosa la kutengeneza. “Kama Mungu aishivyo” atatenda kadri ya mapenzi yake. Mshahara wa dhambi ni mauti.
  8. R

    Watu ambao hawatauona ufalme wa Mungu kutoka Tanganyika/Tanzania

    1. Mulilo 2. Mafwele 3.
  9. C

    Kheri James: Kazi wanakupa wanadamu, riziki anakupa Mungu

    Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amesema kuwa kazi si chanzo cha riziki bali ni njia ya kutafuta kipato, akisisitiza kuwa riziki hutoka kwa Mungu. amesisitiza umuhimu wa kutambua kuwa pamoja na juhudi za kufanya kazi, mafanikio ya maisha yanategemea pia baraka za Mwenyezi Mungu.
  10. Kwanini Mungu anamjaribu binadamu ?

    Kuna sababu zozote za maana mungu kuwapa majaribu au mitihani wanadamu aliowaumba mwenyewe na anaojua mpaka mwisho wao ? Kwa nini mungu amjaribu binadamu? Kwa nini anaruhusu shetani awatese binadamu akiwajaribu ?
  11. R

    Kwa nini Mungu hajibu sala zetu. Ukweli mchungu!

    https://youtu.be/etQQdqnRvfQ?si=XmjlLqMaf2oqxako
  12. Kwanini Mungu aliumba viumbe hatari vya kuangamaza destiny ya mwanadamu kama Behemoth na Leiathan?

    Kwa mujibu wa Biblia (hasa katika kitabu cha Ayubu), Mungu aliumba Behemoth na Leviathan ili kuonyesha ukuu, nguvu, na hekima yake isiyo na mipaka mbele ya mwanadamu, pamoja na kumfundisha Ayubu unyenyekevu. Wakati Ayubu alipokuwa akilalamika na kuhoji haki ya Mungu kutokana na mateso...
  13. 6/11, maamuzi ya mahakama kuhusu kesi ya Tundu Lissu yatasomwa. Msiogope wala msifadhaike mioyoni mwenu. Yote yako chini ya Udhibiti wa Mungu wa haki.

    Kuna baadhi ya watu wana hofu na fadhaa kuu ya nini kitatokea tarehe 6/11/2026, siku ya maamuzi ya kesi ya Mh Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA taifa... Wengine wanaamini, Lissu tayari alishahukumiwa kufa na kwamba kinachosubiriwa ni hukumu hiyo kuwekwa wazi tu.. Mimi nasema, SIO KWELI na...
  14. Wafuasi CHADEMA na wanaharakati wa CHADEMA, Heshimuni Viongozi kwasababu serikali ni madhabahu ya Mungu hapa Duniani

    Serikali ni chombo chenye mamlaka ya kusimamia, kuongoza na kuendesha shughuli za eneo Fulani kama vile shule, kijiji, chuo au nchi kwa mujibu wa Katiba na sheria za sehemu husika au nchi husika. Ikumbukwe kuwa serikali zote Duniani ni madhabahu ya Mungu, yapaswa kuheshimiwa. Na hakuna mtu...
  15. Sasa kama nyinyi wafuasi wa CHADEMA siyo magaidi, huko nje mnafanya nini na hamna kazi, zaidi ya kukesha mitandaoni 24Hrs mnatutukana sisi Watanzania

    Hebu semeni nyie wafuasi wa CHADEMA nini kinawafanya muondoke nchini kimagendo mbona ss hatuondoki na tuna enjoy tu maisha. Kwanin mkimbie nchi ili hali hakuna anayewafukuza? Jibu ni Moja tu . Mnaondoka kwasababu mnajijua kuwa nyie ni kikundi cha kigaidi kwahyo mnakimbia mkono wa Sheria...
  16. Walikufa kwa ajili ya watu. Lakini walisalitiwa. Mungu wa Tibeli awasamehe makosa yao kwa gharama ya Waliowaua. MO29.

    WALIKUFA KWA AJILI YA WATU. LAKINI WALISALITIWA. MUNGU WA Tibeli AWASAMEHE MAKOSA YAO KWA GHARAMA YA WALIOWAUA. MO29. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kuhani katika Hekalu Jeusi. Haya nayo yaliniumiza sana. Sikuwahi kuumizwa katika maisha yangu kama siku zile. Hata mapenzi hayakuwahi...
  17. Nina Kurudishia Ee Mungu Wangu, SIFA NA UTUKUFU

    Ni hivi, ukila ukashiba unafikiri wengine wote wamekula au wameshiba; Ukiamka na afya njema asubuhi unafikiri wengine wote wameamka na afya njema; Ukiwa unaishi unawaza watu wote wako na maisha yao kama yako; Ukitembea mjini na kurudi nyumbani salama, unafikiri watu wote wako kwenye miji...
  18. Dunia ya Mungu vitu vya mzungu? Wabongo tunatengeneza nini?

    Yaani Bongo bado sana, hivi hatushtuki? nguo za mzungu, viatu vya mzungu, mpaka chandarua uliyolalia ni ya mzungu! simu ya mzungu, Sisi tunatengeneza nini? Shule zenyewe tunazosoma ni mfumo wa mzungu, tunakaririshwa madudu ambayo hayatusaidii kupata hata ugali wa kila siku bila kuomba ajira...
  19. Kwanini Mungu hakutaka watu wa Babeli washirikiane kufanya mambo makubwa kwa ni moja na umoja ?

    Katika Kitabu cha Mwanzo 11: 1-10 kuna story watu wa mji mmoja waliamua kushirikiana, kwa na lugha moja na kufanya mambo kwa umoja na kushirikiana ikapeleka mungu kuchukizwa kuwavuruga kwa lugha na kuwatawanya. Kulikuwa na tatizo gani watu kushirikiana, kuwa na lugha moja, wazo moja, nia moja...
  20. Sheria za Mungu za kale za maadili zinaweza kuwa suluhisho kwa kizazi hichi?

    Tuchukue Sheria ya maadili ya ubikira katika Biblia tuichambue kama inaweza kutusaidia kudhibiti wanawake wa kizazi hiki ambacho vijana wanalalamika sana uchumi wa kupata bikira. Kumbukumbu la Torati 22: 13-21 13. Mtu akimtwaa mke, akaingia kwake, kisha akamchukia, 14. Na kumsingizia mambo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…