mungu

  1. Think2

    JamiiForums Tanzania “Vipi kama Mungu angekupa siku 3 kuwa na nguvu zake na kuchukua udhibiti wa kila kitu kabisa? Ungefanya badili nini

    For my side, ningewaangamiza mashetani na majini wote ◇ Ningebadili me na ke wote wale kwa jasho zao ◇ Wanamtandao wote waliotajwa na polepole ningewapoteza kwenye uso wa dunia. Je wewe ungefanta nini tz and world wide?
  2. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Nanenane inatukumbusha: Ajira ya kwanza Mwanadamu aliyopewa na Mungu

    Ajira au shughuli ya kwanza mwanadamu kupewa na Mungu ilikuwa ni Kilimo. BWANA Mungu akamtwaa huyo mtu, akamweka katika bustani ya Edeni, ailime na kuitunza. mwanzo 2:15 Ndio maana ameahidi AKUBARIKI mjini na mashambani. Kumuenzi Mungu ka maelekezo haya hakikisha pamoja na mengine Unashamba...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Utukuzwe Mungu mkuu na Mungu mwenye nguvu.

    Ni siku nyingine tena ninapokuja kwako Mungu mkuu nikikuomba uitendee mambo makuu Nchi yetu Tanzania, hasa mwaka huu uliojaa dhuluma. Nakuomba Mungu mkuu, Mungu mwenye haki na Mungu usiye na upendeleo mwaka huu usipite bila kutuma jeshi la malaika zako kuja kuikomboa Nchi hii kutokana na Dhuluma...
  4. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Nani karuhusu hizi kelele za club nyuma ya Golden Rose hotel Arusha.. Hatumwogopi Mungu?

    KWAKO MKUU WA MKOA WA ARUSHA MKURG WA HALMASHAURI NA WENGINEOOO NILIKUJA KWENYE SEMINA MOJA ARUSHA NIMRONDOKA LEOOPOO ILA NILIYOYAONA ARUSHA YA ASIKITISHA SANAA SANAAAA KUNA CLUB IKO NYUMA YA GOLDEN ROSE HOTEL.... HII SEHEMU JTATU ASBH MPAKA SAA MBILI N MAKELELE YA MZIKI FUJO ZA WANAWAKE...
  5. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania MUNGU ana huruma sana ni mwema sana

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Nimekaa tu hapa nimeutafakari wema wa MUNGU MWENYEZI hasa kwetu sisi vijana Nimeona kabisa kuwa MUNGU amekuwa ni mwema sana juu yetu Amekuwa akitusamehe na kutuokoa katikati ya maovu na ubaya Ogopa wapinga MUNGU marafiki zangu wengi ni...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Je Waafrika wasiomwamini Yesu siyo wa Mungu?

    Utasikia mfia dini mmoja wa kiafrika akijigamba kuwa yeye ni mwana wa Yesu na Yesu ni Mungu wasiomwamini Yesu hawatauona ufalme wa Mungu/Mbinguni. Je ni kweli wasiomwamini yesu siyo watu wa Mungu?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mungu Mkuu na Mungu mwenye nguvu

    Tunakushukuru, tunakusifu, tunakuabudu na kukutukuza Mungu mkuu. Tunaomba Mungu mkuu na Mungu mwenye haki, uitazame kwa macho yako yenye huruma Nchi yetu Tanzania na Watanzania wote. Tunakuomba kwa mateso ya wateule wako walio mstari wa mbele wa mapambano ya ukombozi wa kweli wa Nchi...
  8. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Kuanzia Sasa Namuomba Mungu Anipe Moyo Mgumu Wa kutokusaidia Binadamu😭

    Mimi ni mtu ambaye kila mara nilijtahidi kwa kadri ya uwezo wangu kumsaidia mtu yeyote aliyehitaji msaada wangu uwe wa muda, mawazo au ata fedha. Lakini kwa hili lililonikuta naomba Mungu aondoe spirit hii ndani yangu Juzi nimekaa ofisin kwangu alikuja jamaa mmoja simfahamu yule jamaa nilidhan...
  9. Bueno

    JamiiForums Tanzania Naomba kwa anaejua aniambie Mungu ana Jinsia Gani? Je! MUNGU ni Mwanamke au ni Mwanaume? Mungu ni Mama au Mungu ni Baba?

    Wakuu, hili swali limekua linanisumbua kichwa changu sana, tafadhari sana msinione km napatwa na wazimu kuhoji hili swali la jinsia ya Mungu. Ila wakuu naomba kwa anaefahamu tafadhari sana aniambie Jinsia ya Mungu ni ipi? Je! MUNGU ni Mwanamke au ni Mwanaume au MUNGU hana jinsia kabisa...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hali hii ikikutokea jua kwa Mungu hutakiwi na hata kwa Waganga wa Kienyeji pia hutakiwi kwani ni dalili kuwa wote mna Nuksi ya Karne ya Kifamilia

    TABORA: Aliyekuwa Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla ameshindwa katika mchakato wa ndani ya Chama Cha Mapinduzi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Utukuzwe Mungu mkuu na Mungu mwenye nguvu

    Hapa tulipofikia katika Nchi hii, tunaomba Mungu mkuu na Mungu mwenye nguvu, utume jeshi la malaika zako kuja kuikomboa Nchi hii kutoka kwenye mikono DHALIMU. Amina.
  12. Damaso

    JamiiForums Tanzania Mungu ni mkubwa

    Unaumwa uchungu unaambiwa utazaa kesho, lakini siku inafika na uchungu unakatika. Unaambiwa ufanye mazoezi, bado kimya. Kesho kutwa unarudishwa nyumbani, ukifika uchungu unaanza tena. Unarudi hospitali unaambiwa njia zimefunga, unahitaji upasuaji wa haraka. Unajifungua mwanao kwa mateso...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kwa nini mnamtumia Mungu kuhalalisha msemacho wakati nyie ndo wadhambi wakubwa

    Bahati mbaya Mungu haonekani face to face mana angemtandika mtu kibao. Hivi mnakumbuka kipindi cha jpm ndo kiliongoza kwa mauaji na kuteka watu na kuwafurusha wapinzani exile kama akina lisu na lema. Msesahau hilo. Mnakumbuka kuwa ndo kipindi wafanyabiashara walifunga maduka kariakoo na...
  14. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Je Mungu ameruhusu tujifanyie /tutengeneze sanamu za kuchonga ?neno la Mungu linasemaje kuhusu kujifanyia sanamu??

    Neno la Mungu linasema Kutoka 20:4-6 “Usijifanyie sanamu ya miungu wa uongo, au kinyago cha chochote kilicho mbinguni, katika nchi au majini chini ya dunia. Usiisujudie wala kuitumikia; kwa kuwa mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu. Nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata...
  15. Marco Seth

    JamiiForums Tanzania Je Yesu alitembea juu ya maji?

    JESUS NEVER WALKED ON WATER. IT IS SYMBOLIC Jesus was walking on top of the veil of the ether (astral projecting). The ether is the 5th element, also known as spirit. It’s a substance that has one foot in the astral plane and in the physical plane. Ether is the word either because it’s on...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kama Mungu ni wa wote, kwanini wengine wateseke?

    Ikiwa Mungu kweli ni wa wote mwenye nguvu zote, mwenye huruma na anayejali viumbe wake, basi ni vigumu kuelewa kwa nini mateso makubwa huwapata watu wasio na hatia. Watoto wanaokufa kwa njaa, watu wanaoteseka kwenye vita wasivyovianzisha wao, na waadilifu wanaoangamia pasipo msaada, yote haya...
  17. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mungu hatetewi mnanishangaza mnaosema Mungu ni muweza wa yote alafu bado mnasimama kumtetea

    Mungu hatetewi mnanishangaza mnaosema mungu ni muweza wa yote alafu bado mnasimama kumtetea. Kuna hawa sijui wanatetea uislam, sijui wanamtetea allah, kuna hawa sijui wanatetea ukristo sijui wanamtetea yesu. alafu hapo hapo wanakwambia mungu wetu sisi ni muweza wa yote. Mungu hayupo hivyo...
  18. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Hata Biblia Inajua...

    Mhubiri 10:19 "Karamu hufanywa kwa ajili ya kucheka, divai hufurahisha maisha; bali fedha hujibu kila kitu." Mungu huwapendelea wanaojituma. Miujiza haiji kwa wavivu, huja kwa wale walio tayari kuipokea kupitia kazi. Fedha huleta suluhisho kwa mahitaji ya maisha: chakula, afya, elimu, malazi...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli Wafu hawajui chochote kwanini Mtume Yohana alionyeshwa wazi wazi ROHO za. Wafu waliuawa zikimlilia Mungu awalipizie kisasi Watesi wao?

    Biblia inajichanganya? Uelewa mdogo? Rejea ufunuo wa Yohana ambao ni kitabu cha mwisho kibiblia
  20. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Bibilia wameficha sehemu Yesu alitamka Allah kama ndio Mungu wake

    Ukiisoma Injili zote ni sehemu Moja tu wandisha ndio wameandika Yesu akitaja jina la Mungu wake na Kwa mujibu wao alitaja hilo jina akiwa yupo msalabani Mathayo 27:46 Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona...
Back
Top Bottom