mungu

  1. JamiiForums Tanzania Mungu amesikia vilio vya damu zilizomwagwa tarehe 29

    Kama ambavyo Abel alivyomlilia Mungu damu yake ilivyomwagwa na Cain, ndivyo hivyo damu za watanzania zaidi ya elfu 10 waliokuwa wanadai Tanzania bora vilimlilia Mungu. Kama ambavyo Mungu alivyosikia kilio cha Abel vivyo hivyo kwa watanzania. God'sJustice is inevitable and it is comming.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tumshukuru Mungu mpaka sasa CCM imepasuka. Wanaopinga huu utawala ni wengi

    Mpaka warudi kuwa na umoja kama enzi zile itachukuwa muda sana. Kundi linalopinga rais Samia kupitishwa kugombea na msaafu Kikwete ni kubwa. Na hilo ndio mpaka sasa halikubali huu uongozi uliopo madarakani. Wanajifanya wapo kimya. Ila chini kwa chini hawamtaki mkuu aliyepo. Hii inaipa nguvu...
  3. JamiiForums Tanzania Nimeshakataa kuwa chawa.Ee Mungu endelea kunisaidia

    Nimekataa kuwa chawa tangu nikiwa mdogo sana. Biashara ya kusifu na kuabudu mtu nishakataa kitambo mno. Nikiwa Uvccm mtiifa mwaka 2008-2010 Dr Slaa akikiwasha na sharabaro unanionea wa msonga. Kuna kiongozi wetu alituandaa tuje tusifu na kuabdu kwakwe pamoja na viongozi wengine wa juu ...
  4. JamiiForums Tanzania Shilole: Nimesimama leo kwa neema ya Mungu baada ya ajali, Asanteni kwa jumbe zenu

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram Msanii Shilole anaandika maneno haya , "Nimemwona Mungu kwa macho yangu. Baada ya ajali, nimesimama leo kwa neema yake. Sifa na Utukufu ni zake milele, Kila pumzi ninayovuta leo ni ushuhuda juu yake🙏. Asante ni kwa jumbe zenu, Asanteni kwa simu zenu kwangu na...
  5. JamiiForums Tanzania Rais ni mwanasiasa sio Mungu inapaswa achukuliwe kama mjumbe wa nyumba kumi au mbunge mitizamo hasi juu ya Rais ni kichocheo cha matatizo

    Rais ni mwanasiasa sio mungu inapaswa achukuliwe kama mjumbe wa nyumba kumi au mbunge mitizamo hasi juu ya rais ni kichocheo cha matatizo. Rais ni mwanasiasa yule ni sawa na mbunge tuwekeni mizania sawa ili kuwepo na uwajibikaji rais atumike na sio atumikiwe. Mfano uchaguzi wa oct 29 kwa...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Tunauanza mwaka mpya kwa imani na matumaini, tukijua Mungu anafanya jambo jipya kwa kila mmoja wetu (Isaya 43:19).Heri ya Mwaka Mpya wenye baraka

    Tunauanza mwaka mpya kwa imani na matumaini, tukijua Mungu anafanya jambo jipya kwa kila mmoja wetu (Isaya 43:19). Heri ya Mwaka Mpya wenye baraka. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Maaskofu nyinyi sio Mungu wetu, Ukweli usemwe mmepotoka tokeni hadharani ombeni msamaha!

    Nafikiri kuhama dhehebu toka katoliki na kwenda kwenye madhebu mengine kwasasabu kanisa katoliki kwasasa limeonesha kuacha mafundisho yake na kuhamia mafundisho ya kupinga amani ambayo kwasisi Wakristo tunaaamini ni moja ya nguzo kuu ya imani . Lakini kwa hivi sasa kanisa limejipambanua...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Tusiwe wepesi wa kusahau, utekaji aliuanzisha Magufuli kwa kumteka Ben SaaNane. He is the one to blame na Mungu amhukumu kwa hilo

    Aliyàhalalisha na yakashika mizizi mpaka leo. Kwangu mimi hilo linatosha kumtupa kapuni! Kwanini? It is because it involves merciless killing of human life .na mengine yaliyofuata!
  9. JamiiForums Tanzania Nimebarikiwa na mahubiri kutoka kwa mtumishi wa Mungu Dr. Alex G. Malasusa

    Namuona Mungu akinena ndani ya kinywa cha mtumishi wake Dr. Malasusa, hakika nimeponywa nafsi nimeuona utume wa Mungu ndani ya Malasusa. Ee! Mungu wetu Asante kwa kutuletea mtumishi huyu. Malasusa anasimama pamoja na watumishi wa Mungu wote wenye mapenzi mema na mioyo ya watanzania mfano wa...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Ewe Mkristo Wakati Unasherehekea Christmas Ukiwa Katika Wakati wa Maonevu Mengi ya Watawala, Mungu Anakuasa Usishirikiane na Watawala Dhulumati

    Wakati Wakristo wanaitwa kuheshimu mamlaka kwa sababu mamlaka zinatoka kwa Mungu, tamko hilo halihusu kwa watawala wote, bali watawala wale wasiotenda kinyume na mapenzi ya Mungu. Yaani watawala wale ambao ma.laka yao yametoka kwa Mungu. Lakini ufahamu kuwa shetani naye anajitahidi wakati wote...
  11. R

    JamiiForums Tanzania YESU aliyezaliwa, hana baba wala mama, Ni Mungu aliyekuja Katika mwili wa mwanadamu

    Salaam ,shalom! Hii ni habari njema!! GOOD NEWS😅💥🔥🎉🎊 Asomaye na afahamu, Imeandikwa zamani vitabu vya unabii kuwa YESU ni mwana wa Daudi. Pia ukisoma kuzaliwa kwa YESU Mathayo chapter 1, ukoo wa YESU umeanzia huko Kwa Daudi, Mwana wa Ibrahim. Mathew 1:16. Yakobo akamzaa Yusuph mumeweMariam...
  12. JamiiForums Tanzania Watumishi wa Mungu mnaoendekeza siasa madhabahuni mnajishushia heshima mnapuuzwa

    Zamani mtumishi wa Mungu akiongea unaona kabisa Mungu ameongea🤣 Ila sahz mtumishi wa Mungu anaongea unaona kabisa ni uongo na anapingwa kwa hoja na unaona kabisa hoja zinazompinga mtumishi wa Mungu zinamashiko hii ni aibu nikushusha chini utume wa Mungu, lakini yote hayo ni kwasababu ya...
  13. JamiiForums Tanzania Naamini katika Mungu kwa sasa ata milele

    JESUS LORD Uzi tayari.
  14. JamiiForums Tanzania Kama unataka kumuona Mungu haraka, kosa pesa kwenye huduma za hospital za serikali

    Watu wanakufa sio kwa kusingizia sijui mungu kapanga ni uwongo. Wanaopanga vifo mfe ni hizi hospital zetu za serikali asilimia kubwa. Yani mtu unaumwa na pesa umekosa au ujatoa kidogo wakuokoea ,Wanaweza kukuacha hapo unajiona. Kuna mzee mmoja alinyimwa kifaa cha kupumulia kisa pesa ya...
  15. JamiiForums Tanzania Ukitaka kuwachanganya watu weusi na waarabu, unganisha kitu chochote na Mungu uone, direction yote inabadilika.

    Wenzenu wanaikimbizia mars, Nyie bado mnakanyagana kisa mafuta. Wenzenu wanabunu security system za kujilinda na kujihami, Nyie bado mnakatana vichwa kwa jina la mungu. Wenzenu wanajaribu ku-share intelligence na aliens kurahisisha maisha, Nyie bado mnalalimikia ugumu wa maisha ni kutokana na...
  16. JamiiForums Tanzania MWENYEZI MUNGU akubariki dada yangu Yasinta Makwabe

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kuelekea mwisho wa mwaka nimekuwa nikitoa baraka kwa watu wote Lakini leo ni special kwa dada yangu Yasinta Makwabe Ubalikiwe na KRISTO YESU anayekuja SAYUNI BOY
  17. JamiiForums Tanzania Hakuna Rais aliyewahi kuua raia wake akamaliza utawala wake bila kuuona mkono wa Mungu

    Mungu haonekani lakini watu huwa wanamuona kwa matendo yake. Mobutu Seseko, Idd Amini, Blaise Kompaore, na wengine wengi ni mfano ulio wazi. Wote hawa walimaliza kwa mwisho mbaya .
  18. JamiiForums Tanzania Mama Tibaijuka Mungu anakupenda sana ila kuwa makini

    Hapo vip!! Mama Tibaijuka binafsi mimi sio mtu ambaye napenda sana kufuatiliaaga mambo yako wala kukufahamu sana ila leo nashangaa nimeota ndoto juu yako. Nimeota like kama umetengenezewa kesi na watu wasio kupenda na nikesi ya uwongo,ila nikawa nimesikia watu pembeni wakisema kwenye hiyo kesi...
  19. JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu niliopewa na Mungu kuhusu balozi polepole

    Sio kawaida kwangu Jambo moja kuliota Mara nyingi kiasi hiki mara nyingi nimeota balozi polepole yupo hai kitu kilichonifanya kupandisha uzi ni kuwa sauti ya Mungu imenitumia Mimi kuwafikishia ujumbe wenye nguvu kwa sasa Mungu amenituma nifikishe ujumbe kwenu kuwa mumuachie huru balozi...
  20. JamiiForums Tanzania South africa ni bora usimuogope mungu ile nchi inavyotisha.

    Leo 😄 ni mekumbuka December Maeneo ibro street pale gauteng jozi. Kipindi cha December ni mwendo wa kupombeka na mziki mkubwa. Wengi wanaita mwezi wa mapumziko wa kurudi makwao wanarudi kama wa zambabwe,zambia,botswana na malawai. Ile nchi bora usimuogope mungu maana ukimuogopa utajikuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…