mtu

  1. JamiiForums Tanzania Kama unataka kumfanyia mtu mabaya, ebu jaribu kuwazia familia na wategemezi wake.

    Mnanyima ndoto na uhai kwa wengine kupelekea mifadhaiko kwa wanae huku nyie mkirudi nyumbani mkiwakombatia watoto wenu kwa furaha na bashasha
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Polisi, huwezi kumshitaki mtu mahakamani kwa hisia, 'alitaka kuandamana', 'alipanga kuchoma transformer', halafu ukashinda

    Msemaji wa Jeshi la Polisi amesema jeshi hilo limekamata magaidi 130 na tayari 36 wameshafikishwa mahakamani. Msiishie kusema tu walipanga kuchoma transformer nchi iwe gizani, tuambieni nchi nzima ina transformer ngapi na ngapi zimechomwa. Mnasema walipanga kuua viongozi wa serikali akina nani...
  3. JamiiForums Tanzania Mfahamu Mtu Kabla ha Kumwamini ( Snake ni wengi)

    Tuendelee Na Mtiririko wa Makala zetu. Kwenye Ulingo wa Siasa za Chama Tawala na Vyama Marafiki( Tanzania Tunaviita Upinzani) Ukimsikia Mtu anajiita Mwanaharakati tena yupo nje ya Mipaka ya Tanzania uwe nae makini sana. Wengi wao Utumika pande zote Mbili ( Double A) Basi ukiwa upo Kwenye...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Anahitaji mtu wa masoko na mauzo

    MAPADA SOAP LTD NAFASI: Mtu wa Mauzo na Masoko IDADI: Nafasi moja (1) MAHALI: – Dar es Salaam MAPADA SOAP LTD inatangaza nafasi ya kazi kwa mtu mwenye uwezo wa kufanya kazi katika kitengo cha mauzo na masoko. Tunahitaji mtu mwenye bidii, ubunifu, na uelewa mzuri wa kushawishi wateja wapya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania wewe ni mtu wa kuchill nyumbani au wa kutoka kwenda viwanja, vijiweni, n.k ?

    Wewe ni mtu wa kuchill nyumbani 🏡 au wa kutoka kwenda viwanja
  6. JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtu alishafanya x rays zaidi ya tatu? Chest na skull?

    Hata ndugu au mtu unayemfaham amefanya x rays zaidi ya tatu? HOJA SI WANASEMA HULETA SARATANI BAADA YA MUDA FULANI
  7. JamiiForums Tanzania Kitanda na godoro vinauzwa milioni 1.3

    Abcd
  8. JamiiForums Tanzania Umewahi kukutana na mtu anajibu text message>short, mpaka unashindwa kuendelea!?

    Basi, Haaland ni mmoja wao😆🤣.
  9. JamiiForums Tanzania Serikali ya tanzania ya CCM mtaji wao ni kukuona maskini ili wazidi kudumu kukufariji,Pitia hapa.

    Hivi mnajua kila kitu kingefanyika kwa wakati tokea kupata uhuru mpaka leo pale bungeni usingesikia habari za kuzungumzia magovi. Kuna mambo ambayo ukipeleka serikalini ya ccm wanakwambia haya haya takiwi kwa sasa na masoud kipanya alishaeleza sana. Mfano mmoja ambao nitakupa maana hii...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna mtu amewahi kupendwa na demu kama mimi?

    Leo nimemkumbuka sana demu wangu wa SUA. Nikiwa mwaka wapili wao walikuwa first year, tulikutana CRDB bank kipindi natoka kutoa boom langu yeye akawa kwenye foleni, siku hiyohiyo tukakutana tena kwenye restaurant moja hivi tukila chakula. Siku hiyo hiyo tena majira ya saa 1 jioni tukakutana...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ukiona ukatili mtandaoni, usikae kimya na Usishiriki. Tunaweza kubadilisha mtandao uwe salama kwa kila mtu

    Je, umewahi kuona chats za watu zikisambazwa mitandaoni huku wengine wakicheka na kuendelea kuzishare? Wengine huenda mbali zaidi kwa kutaja majina ya wahusika, vyeo au hata ndugu zao nk. Huo ni ukatili wa mtandao kwani mawasiliano mengi hufanyika kwa faragha kati ya watu wanaoaminiana. Pale...
  12. JamiiForums Tanzania Mahusiano Mapya ya Mara kwa Mara ni Umalaya au Safari ya Kumtafuta Mtu Sahihi?"

    Kuna watu wanaohesabu hii kama umalaya Kuna wengine wanaamini ni sehemu ya kujaribu mpaka umpate yule mtu ambaye mnaendana Mimi binafsi naona kuwa na mahusiano mapya mara kwa mara sio tatizo sana Nadhani hii hutokea pale unapokutana na mtu, mkajenga ukaribu, halafu ukagundua kwamba kumbe...
  13. JamiiForums Tanzania Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuuona ufalme wa Mungu

    Mstari Mkuu: Yohana 3:3 — "Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuuona ufalme wa Mungu." Utangulizi Watu wengi hujiuliza swali lile lile ambalo kijana tajiri alimwuliza Yesu: Hili ndilo swali muhimu kuliko yote katika maisha. Watu hutafuta mali, elimu, afya, heshima na...
  14. JamiiForums Tanzania Unawezaje kuishi na mtu mwenye tabia za Wizi Wizi?

    Wakuu, Kuna mtu tunaishi ila ana tabia za wizi wizi. Yaani kiufupi huyu mtu yeye bila kuiba asubuhi, mchana au usiku hajisikii kabisa furaha. Yeye kitu pekee kinachompa furaha ni kuiba na kuona kuna mtu anatafuta kitu alichoibiwa ndio anakua na furaha na yeye yupo hapo hapo. Sasa mtu km...
  15. JamiiForums Tanzania Ushauri kwenye matumizi ya pesa za mtu...

  16. M

    JamiiForums Tanzania Ni biashara au kazi gani inayoweza kumpa mtu kuanzia milioni 50 kwa mwaka?

    Kama una kipato au kazi ambayo inaweza kuingiza kipato kuanzia milioni 50 kwa mwaka, weka hapa ni kazi au biashara gani ili watu wajifunze. Au mtu afanyaje aweze kufika huko ikiwa ni hatua ya kijitoa kwenye umasikini, ni mradi gani afanye au mbinu gani atumie. Nini aepuke ili asijekupotea...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mavazi yanahusikaje na utendaji kazi wa mtu?

    Sababu bahati mbaya sasa hivi sisi wengi tuna mkwamo. Unakuta bosi ndio kama mimi wa miaka 70, mtoto kazaliwa 92, 95... Mimi nikifika pale, kwanza naangalia: "Wewe umevaa vipi sasa?" Si kitu cha kwanza ulivyovaa tu? Wewe unaambiwa sasa hivi unaenda ofisini huwezi kuingia na jeans, huyu umeona...
  18. JamiiForums Tanzania Angalieni umbo la hiki kiwanja, maana huyu mtu analia

    Amenunua hiki kiwanja kina sq merter 510 KIBAHA ila analalamika kwasababu ya umbo la kiwanja na bei aliyouziwa....yaan anaona kiwanja kimekaa umbo la pembe 3 hivyo hapafai au hapatoshi kujenga nyumba. Mfano wa hicho kiwanja kilivyo kaa ni hiki apa Hicho chenye umbo la pembe 3, kimeandikwa 510...
  19. JamiiForums Tanzania Magonjwa mengi ambayo mtu akisema atanyanyaswa yanaongeza kuwafilisi watu

    Kuna magonjwa ambayo watu wengi huyaficha kwa sababu ya aibu, unyanyapaa (stigma), au utamaduni, lakini wanatumia pesa nyingi kuyatibu kwa siri: Magonjwa ya zinaa (STIs) na uzazi: Kaswende (syphilis), Kisonono (gonorrhea), Klamidia – watu wengi hawapendi kujulikana wanaumwa HIV/UKIMWI – bado...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini mtu mzima akilala hawezi kuanguka kitandani anapojigeuza

    Je umewahi kujiuliza kwanini hujawahi kuanguka chini sakafuni kutoka kitandani ? Hata kama ungekuwa una usingizi mzito kiasi gani ikifika wakati wa kujigeuza unageuka tu!! Jibu hili hapa!! Binadamu haanguki kitandani akijigeuza kwa sababu ubongo hauzimi kabisa. Mfumo wa ndani wa proprioception...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…