mtu

  1. JamiiForums Tanzania Yule mtu nilitaka kumjibu lakini naona posting yake imeondolewa.

    Yule mtu nilitaka kumjibu lakini naona posting yake chafu imeondolewa. Yule mtu alikuwa anasema amefanya ngono ya jinsia moja. Yule mtu atakwenda motoni kufuatana na kosa alilofanya. Sasa tuone kosa lipi la zinaa alilofanya na atakwenda Motoni wapi. Yule hakuweka dudu lake katika mdomo wa...
  2. JamiiForums Tanzania Issue gani mtu akifanya South Africa anatoboa?

    Ukiachana , na kuuza Skanka , je MTU akifanya issue gani anatoboa SA.?
  3. JamiiForums Tanzania Kuna mtu kitamlamba muda sio mrefu

    Uzi tayari Picha inajieleza
  4. JamiiForums Tanzania Kila Mtu Tarehe Yake Ya Kuzaliwa Inaanguka Kwenye Kalenda Ya Yesu Kristo Mwana wa Mungu (AC, BC, AD)

    Kila Mtu Tarehe Yake Ya Kuzaliwa Inaanguka Kwenye Kalenda Ya Yesu Kristo Ulishawahi kufikiria hili? Tarehe yako ya kuzaliwa, iwe 1990, 2000 au 2025, haijajitegemea. Imehesabiwa kwa msingi wa miaka tangu kuzaliwa kwa Yesu Kristo. Historia yote ya ulimwengu imegawanyika sehemu tatu: BC (Before...
  5. JamiiForums Tanzania Huu ni Uongo na si Chanzo cha Mafanikio asikudanganye mtu

    Mimi miaka yote wala si mchapa kazi. Wala sina bidii. Sijawahi kukesha hata wakati nasoma. Nlifaulu. Na sikuwa na bidii... Ntakudanganya nikisema hivyo. Nliajiriwa Serikalini miaka ya 90s. Nikawa napanda panda vyeo nahama wizara na sasa nazunguka zunguka nchi kadhaa. Nina bidii? Ninajituma...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Je Kuna mtu anawaza juu ya umoja wa kitaifa baada ya uchaguzi.

    Leo ndo hitimisho la novena na waislamy Leo wapo diamond jubilee kumuombea raisi ashinde kwa kishindo. . . Acha tuone mwisho wake
  7. JamiiForums Tanzania Mtu akisema wanawake wa JF wamezeeka anakuwa amejuaje?

    Najaribu kujiuliza most people , are using Fake I'd . Endapo MTU akasema wanawake wa JF wamezeeka anakuwa amejuaje?. Nachojua wengi waweza wakawa watu wa makamu kutokana na nature ya mtandao huu Ila kuhusu miaka 40-72 sifikirii. Ila kutaja miaka ya wanawake wa JF randomly haijakaa sawa...
  8. JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli tu: Yeyote atakayepiga kura Oktoba atakuwa na Mtindio wa Ubongo

    Kwa sisi Wanasheria Kanuni na Sheria Kuu za Ushahidi zinasema Ushahidi usiotiliwa mashaka na unaopaswa kuzingatiwa moja kwa moja na Mahakama au Mfanya maamuzi ni Ushahidi wa Mtu aliyetenda kitendo husika au aliyekuwepo eneo la tukio wakati kitendo hisika kinafanyika. Kwa maneno ya Humphrey...
  9. JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM mlioachwa , msiwe na hofu , CCM haijawahi kumtupa mtu .

    Wanachama wote , milokatwa katika nafasi mbalimbali za kuwania Ubunge , msivunjike Moyo. There's so many opportunities in Ccm. Tutakula Sana, hii ni nyama ya Tembo hauwezi kuimaliza MTU mmoja .
  10. JamiiForums Tanzania Kigwangala My Brother Njoo tuwaze wote Nje ya Box; maana kwa sasa na wewe slogan yako kubwa ni No Reforms No Election,Usiende kule ili mtu apate ajali

    Jumapili ni Njema wana JF Mungu ni Mwema na kwa wale wenye changamoto kubwa tuendelee na Novena. Niende kwenye Mada kwa ufupi, Wadau wote tumesikia majina yametoka wataokuwa wabunge kupitia CCM katika Bunge lijalo kwa uchache;- Baba Levo- Kigoma Mjini JOSHUA NASSARI- Arumeru Mashariki Kuna...
  11. JamiiForums Tanzania Biashara kama ya kuuza shuka unasubiri mpaka mtu awe anaanza maisha

    Mtu mzima akianza kuishi gheto au kwake ananunua shuka mara moja Tu hizo labda mpaka Miaka mitatu ndo aongeze nyingine hio biashara kichaa sasa yaani mpaka usubiri mtu aje kuanza kazi mkoani kwako
  12. JamiiForums Tanzania Polepole amuache Samia naye atembelee V8. Kila mtu na wakati wake

    Sabato Njema! Polepole wakati anatembelea V8 alitamba sana tena kwa bahati mbaya kabisa alishindwa kujizuia akajirekodi na kujigamba na kuwaringishia Watanzania hawaijui V8. Sasa amuache Samia na wenzake watembelee mipira, V8. Kulia kupokezana. Kiburi sio mauungwana. Na kiburi ndioanguko leo...
  13. JamiiForums Tanzania Huyu ni mke wa mtu na yuko tayari kuniuzia.

    Kuna manzi nilikua na mazoea nae,sasa leo nimemtest kumuomba k,na yeye karidhia kuniuzia. Kataa ndoa wana haki ya kuponda ndoa kwa hali hii.
  14. JamiiForums Tanzania SIRI YAKOO USIMWAMBIE MTU::;;,,

    kama ulikuwa hujui moja ya kipengele cha simba kumchukua souwah wakikutanaaaa na Yanga haruhusiwi hata kukaa bench siriyakoooo..... d ur hmwk
  15. JamiiForums Tanzania Umeshawahi kumsaidia Mtu kile Kidogo kabisa ulichonacho kisha baada ya kumsaidia akaingia Mitini hana Habari na Wewe unajua inauma Kiasi Gani?

    Wakuu, hivi nyinyi imeshawakuta yaani unampiga mtu tafu kile kidogo kabisa ulichonacho yaan ndio akiba yako hio mtu anaitaka hio hio umsaidie unaingia unavunja kibubu unampa kwa moyo mmoja kabisa sababu ya kukamilisha kutenda matendo ya Huruma. Ila baada tu ya kumsaidia mtu huyo anaanza kukuona...
  16. JamiiForums Tanzania Tabia ya Mtu kufanana na Mungu na tusio yaamini sana.

    Huenda ni kwasababu ya nidhamu ya uwoga na ujinga ndio sababu tumekuwa watumwa wa kifikra, Mapokeo mabovu ya kidini na Waalimu wanafiki ndio wametufikisha hapa tulipo leo katika fikra za kila mmoja wetu.. Ni maswali kuhusu huyu Mungu na nini anakifanya kwetu hadi sasa. Tabia Wajinga wengi...
  17. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole asema kuna mtu alitumwa kupiga simu kulazimisha wanaomtaka awe Rais 2020, walishindwa. Ni nani huyo?

    Polepole anasema kwa uchaguzi 2020 kundi la mtandao lilikuwa na mgombea wao, walikuwa wanamtaka Shamsi Nyahoza. Wakati kamati kuu wote walisema hawana mgombea, siku ya jioni kuna mtu alikuwa anapiga simu, binti, alikuwa anapiga simu akitaka mgombea wa zanzibar aliyemtaka yeye na aliyemtuma...
  18. JamiiForums Tanzania Uchawi upo, asikuambie mtu

    Walisema Serikali haiamini katika uchawi. Ila uchawi upo na asikuambie mtu aisee nimeona mwenyewe.
  19. JamiiForums Tanzania Hivi mtu na akili zako timamu unawezaje kuweka pesa utt amis

    Kuna jamaa huku mtaani namuonakama rofa kachukua milion 10 kaenda kuiweka Utt amis eti anasema anaitaka ikae miezi 24 hivi mtu kama huyu anaakili timamu kweli aisee wakuu yaani anaenda kuweka pesa utt amis kwenye faida ndogo kuliko kama sio ukichaa ni nini
  20. JamiiForums Tanzania Hivi bado kuna mtu anaamini kuwa vyama vya siasa vya upinzani ndio vitaleta mageuzi katika taifa hili?

    Vyama hivi vinavyotumika kama stepping stone ya career za watu, kufanyiana unafiki wao kwa wao, loyalty chalii.., kurubunika, etc Upande wangu, i dont think so.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…