Muogope sana mtu anayetafuta kupendwa na kila mtu , mtu aina hiyo lazma atavaa vazi la unafiki ili aweze kuwaingia watu
Unakuta mtu ofisini /mtaani anazungumza na kila mtu , hata maadui wasiopatana yeye pande zote yupo .
Watu wa aina hiyo wabaya sana atabeba ya huku atapeleka kule na ya kule...
Wana JF habari
Ni software gani au application gani ambayo naweza upload video au audio kwenye hiyo software halafu yenyewe ikanipa text yaani transcript yaani maneno yaliyosemwa kwenye hiyo video au audio. Hapa nazungumzia video/audio zenye matamshi ya kiswahili na zenye urefu wa masaa mawili...
Kunaanza kuchangamka. Kwamba?
Mkikaza hii mbona leo tu mtapigiwa simu? Tena na chigogo yule mwenyewe kabisa, ili kama vipi kuwasilisha forms zenu mapema kesho asubuhi na kulikwaa ndinga pendwa la kampeni, kwa raha zenu?
Huu unaweza kuwa wakati mzuri zaidi kwenu kutoa somo kwa vitendo na hasa...
Leo , nipo kawe katika Siasa .
Ila nimefika mtaa fulani nimekuta kuna kiwanda kipo na kina zaidi ya mwaka mmoja kinaleta environmental pollution.
Je ni sahihi naomba watu wa mazingira tuwasiliane haraka.
Inasikitisha sana
Nimepita Kawe hapa, aiseee wanachi wanapigwa na jua mpka huruma, na bado wana hongwa baiskeli na nyama za ng'ombe.
Ila wanasiasa wanabagaza, na kubananga kodi za wananchi kwa kununua magari makali , na kuishi maisha ya starehe, mbaya zaidi pesa zingine wamezificha huko nchi...
Huwa napenda sana kuna wazee flani au watu wazima wenye pesa anakuwa na ngozi usoni laini inakuwa na tuvitobo vitobo hivi kama amenyofoa ndevu.
Huwa najiuliza wanakuwa wanapaka nini usoni?je ni aina ya after shave au shaving cream inawafanya wawe hivyo usoni?
Mimi usoni nina ndevu nyingi sana...
Kitabu (softcopy / nakala laini) cha kiswahili cha Henoko (biblia hakipo) na Mtu tajiri zaidi babeli kinauzwa 10,000 Tsh. nicheki +255 0756704145 , kitabu natuma whatsapp au kwa email.
Kitabu (softcopy / nakala laini) cha kiswahili cha Henoko (biblia hakipo) na Mtu tajiri zaidi babeli kinauzwa 10,000 Tsh. nicheki +255 0756704145 , kitabu natuma whatsapp au kwa email.
kitabu cha kiswahili cha Mtu tajiri zaidi katika Babeli kitakusaidia kuwa tajiri (The richest man in babylon) kinauzwa kwa bei ya 10,000 Tsh. nicheki 0756704145.
-> zijue kanuni fedha kiundani
-> zijue siri za matajiri
Yule mtu nilitaka kumjibu lakini naona posting yake chafu imeondolewa.
Yule mtu alikuwa anasema amefanya ngono ya jinsia moja.
Yule mtu atakwenda motoni kufuatana na kosa alilofanya.
Sasa tuone kosa lipi la zinaa alilofanya na atakwenda Motoni wapi.
Yule hakuweka dudu lake katika mdomo wa...
Kila Mtu Tarehe Yake Ya Kuzaliwa Inaanguka Kwenye Kalenda Ya Yesu Kristo
Ulishawahi kufikiria hili?
Tarehe yako ya kuzaliwa, iwe 1990, 2000 au 2025, haijajitegemea. Imehesabiwa kwa msingi wa miaka tangu kuzaliwa kwa Yesu Kristo.
Historia yote ya ulimwengu imegawanyika sehemu tatu:
BC (Before...
Mimi miaka yote wala si mchapa kazi. Wala sina bidii. Sijawahi kukesha hata wakati nasoma. Nlifaulu. Na sikuwa na bidii... Ntakudanganya nikisema hivyo.
Nliajiriwa Serikalini miaka ya 90s. Nikawa napanda panda vyeo nahama wizara na sasa nazunguka zunguka nchi kadhaa. Nina bidii? Ninajituma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.