mtu

  1. JamiiForums Tanzania Nafasi ya makamu wa Rais ilitumika kama kipozeo cha mtu aliyeuchukia muungano ILA akitokea zanzibari,Mungu aligeuza baada ya kifo cha Magu je walijua?

    Hii Nafasi ilikuwa ikitumika kama Nafasi ya kumpooza uchungu,mzanzibari yoyote AMBAE atagombea uraisi zanzibari na akakatwa na halimashauri kuu ya ccm baada ya kubaini yakuwa mgombea aliyekatwa alikuwa miongoni mwa wagombea lakini wenye vinasaba vya kutoupenda muungano WA Tanganyika na...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ukiona Mtu Yuko Upinzani,Anasifiwe na Mbogamboga,Ujue ni Timu"B"!

    WanaJf: Hivi Kweli mtu unayepingana nae Kwa maneno na matendo awe anakusifia hadharani Kwamba Wewe ndiye mkomavu wa Siasa hasa! Mbaya zaidi,huonekani kujali wenzio waliokupigania ukiwa mahabusu,unaibukia kwenye uzinduzi wa Bwawa la umeme!Kwani usingeenda, lisingezinduliwa? Inaudhi na inakera!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Afrika kuna mambo ya ajabu sana. Mtu mwenye cheo kama hicho anashikiwa bastola na kulazimishwa kwa nguvu!

    Yaani Wafrika kwa kujali matumbo yao na maslahi yao ni noma. Mtu anashikiwa chuma kisa tu maslahi yao yabaki kuwa salama. Afrika sio mahala salama pa kuishi.
  4. JamiiForums Tanzania Tukiondoa Huu Ujinga wa Kudhaminiwa na Chama cha Siasa, 2030 Akisimama Kama Mgombea Huru, Hakuna Mtu Atashindana Naye. Rais Bora ni Kutoka CCM Pekee!

    Wanabodi Kwanza samahani kwa udhamini wa chama cha siasa kugombea uongozi wa umma,mimi kuuita ni ujinga!,kiukweli ni ujinga,https://www.jamiiforums.com/threads/shurti-la-kudhaminiwa-na-chama-kugombea-uchaguzi-ni-shurti-batili-kwa-mujibu-wa-katiba-linatutia-hasara-tulifute.1388948/ Tena ujinga...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi hakuna namna yoyote ya kumuondoa huyo mtu kwenye throne.

    Nauliza TU. Yani na yeye siku aamke asubuhi ajikute hana cheo chochote kile. britanicca
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kuna viongozi serikalini toka Tanzania bara mnaonwa kama wasaliti wa Tanzania bara; muda ukifika msije mkamlaumu mtu kwa yatakayowakuta

    Kuna viongozi wanaotoka upande wa Tanzania bara katika serikali hii ya awamu ya sita chini ya Raisi Samia ambao wananchi wa Tanzania bara wanawaona kuwa wasaliti wakubwa wa Tanzania bara, au kama wanavosema "wasaliti wa Tanganyika". Siku ikifika yakawakuta ya kuwakuta msije mkamlaumu mtu, kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Mnao dhani Kikwete ni msaada mmepotea sana huyu mtu hajawahi kuwa msaada kwa taifa na hatokuja kuwa na msaada wowote kwenye taifa huyu ni ibin maslah

    Kwa wanao mfahamu tangu zama za nyerere wanajua.
  8. JamiiForums Tanzania Kama wao tu ndani ya chama mtu akisema ukweli ana lazimishwa ajiuzulu ndio wawaletee katiba mpya?

    Ilianza na ndugai Now Emma.. Hiki chama hakitakuja kutoka kwa maneno na njia ya Amani.
  9. JamiiForums Tanzania Nauza vitabu (Henoko, baba tajiri, baba maskini, mtu tajiri zaidi babeli)

    Kila kitabu bei 10,000 nicheki WhatsApp 0756704145
  10. A

    JamiiForums Tanzania Matapeli wa kwenye mitandao wanajuaje kuwa namba ya mtu flani inapesa kiasi fulani?

    Hawa matapeli wa mitandaoni wanajuaje kuwa namba ya mtu fulani inahela kiasi fulani.Au wezi huwa ni wafanyakazi wa mitandao husika.Kunatapeli lilinitumia sms ya kujifanya limetuma kias fulani .lakini kilichonishangaza hela iliyotumwa ya kitapeli na ukiijumlisha na ile iliyomo kwanye akaunti...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna martial art bora kuliko Judo?

    Nimeona wanamartial arts wengi wanapigwa na wacheza judo. Je judo ndiyo martial art bora zaidi?
  12. JamiiForums Tanzania Mfiwa aanguka kwa mshituko baada ya mdada kuja na watoto wawili msibani na Lawyer akionesha WILL kuwa mdada na watoto hao wamegawiwa ardhi na nyumba

    Mahusiano ni jambo zito sana ila ndoa ni nuclear ya mambo mazito mnoo. Wengi wapo na wenzi wao physically kwa sababu inambidi tu kutokana labda ndoa au watoto wanao share pamoja ila kihisia yupo na mtu mwingine kabisa mwanamke inamuuma kuwa walivitafuta pamoja na mmewe na hata kuna kipindi...
  13. JamiiForums Tanzania Azma Yangu: Nitakuwa Maarufu Duniani Kufikia 2040

    Katika maisha nimekuja kugundua we know exactly who we are, we just try not to act soo Mimi de Gunner nimekuwa nikiwaambia watu since nikiwa mdogo kabisa ya kuwa am gonna be known worldwide like mtu maarufu na aliecha a big impact but these mediocres Wanaishia kuongea faul words juu yangu...
  14. U

    JamiiForums Tanzania MTU mfupi kwenye gari anabidi kuendesha na sio kuendesha.

    MTU mfupi kwenye gari ni vyema akaendeshwa.
  15. JamiiForums Tanzania Baada ya kuacha red meat kwa miezi 6, nimejikuta nimekuwa mtu mwenye utu na huruma zaidi

    Linaweza likawa jambo la kushangaza kwa wengine, ila kwangu ndo uhalisia huo. Niliamua kuacha kula red meat kwa muda kutokana na allergy fulani, lakini baada ya miezi kadhaa nimeanza kugundua mabadiliko ambayo sikuyatarajia. Sio kwamba naweza kusema moja kwa moja nyama nyekundu ndiyo ilikuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Mungu alimfanya mtu? au alimuumba mtu? Embu fafanua (mwanzo 1;26

    Mungu alimfanya mtu? au alimuumba mtu? Embu fafanua (mwanzo 1;26
  17. JamiiForums Tanzania Nauza vitabu (Henoko, baba tajiri, baba maskini, mtu tajiri zaidi babeli)

  18. M

    JamiiForums Tanzania Tiba au Ushauri kwa Mtu Mwenye Makovu Yanayowasha, Kuuma na Kuwaka Moto Baada ya Jeraha

    Habari za wakati huu ndugu zangu wa JamiiForums, Ninaandika ombi hili hapa nikiwa na simanzi kubwa kutokana na hali ngumu anayopitia mama yangu mzazi. Mama anasumbuliwa na makovu makubwa katika maeneo ya shingo, mgongoni na kifua (kama inavyoonekana kwenye picha), ambayo yanamletea maumivu...
  19. JamiiForums Tanzania Akina nani walisema natumfanye mtu kwa mfano wetu mwanzo 1:26 povu staki

    Akina nani walisema natumfanye mtu kwa mfano wetu mwanzo 1:26 povu staki
  20. JamiiForums Tanzania Masikini anatamani kila mtu awe masikini

    Maskini wakishangilia TAJIRI John Tilisho kupigwa pingu mbele ya kadamnasi kama mwizi wa kuku stend ya mbezi magufuli. Ndio mana matajiri wengi wanakua na roho mbaya, maana wanajua automatically maskini wengi wanawachukia. Ila huu ukamataji 🙌🙌
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…