mtu

  1. JamiiForums Tanzania Swali la kizushi: Hivi ni mimi tu au kwenye simu hakuna emoji ya mtu alievaa headphones?

    Nimeamua ku-skip google kidogo maana ni kitu sikutegemea. Nimeshindwa kupata emoji iliyovaa headphones. Nikashtuka kidogo. Naomba kuuliza kwa wenzangu kama nyie kwenu ipo? Uzi Tayari.
  2. JamiiForums Tanzania Sababu kuu kwa nini timu ya taifa ya Argentina haina mtu mweusi

    Ni swali ambalo wanamichezo mbalimbali huwa wanajiuliza karibu kila siku, kwa nini timu ya taifa ya Argentina 🇦🇷 haina mtu mweusi?. Kwanza kabisa tofauti na imani ya wengi baada ya Afrika bara la Amerika Kusini ndiyo lenye watu weusi wengi zaidi wakikadiriwa kuwa zaidi ya milioni 170 huku...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Picha: Gari la serikali na mafuta ya serikali mtu anatumia shangingi hilo kwenda kulewa na kubebea malaya kwa Kodi za walala hoi

    Kuna watu wamepinda nyie acheni. Pamoja na mkwara wa waziri mkuu lakini wapi! SHANGINGI hilo, jana usiku mtu kalewa nalo chakali!
  4. JamiiForums Tanzania Vijana tutafute fedha kwa kila hali. Mtu mzima ukiwa maskini Jamii inakuona umerukwa na akili

    Fedha ndio habari ya mjini, vijana tutafute fedha kwa kila hali. Hata kuzamia machimbo, kufanya kazi kwa juhudi au hata kwa kujilipua kwenda ng'ambo. Imagine Diamond ile sura yake na kamwili kake kadogo lakini anaitwa baby. Aliwahi kusema kuwa kwa siku anatongozwa mara dufu. Kijana tafuta hela...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa namna Arusha ilivyotaabika, kwa sasa tunahitaji Monoban awe mbunge wa Arusha

    Hapo vip!! Kutokana na Arusha kupitia kwenye machafuko ya kisiasa kama maandamano,mauwaji na vurugu zisizokuwa na maslahi yeyote kwa mkoa wa Arusha na wananchi wa Arusha. Ni wazi kwasasa mkoa huu unahitaji kiongozi atakae ponya madondo na majereha ya kiuchumi yaliyotokana na ghasia za kisiasa...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa aina ya utoaji hoja wa Magufuli, atapata shida sana kwenye kampeni akipambana na mtu dizaini ya Tundu Lissu au Bernard Membe

    Nimemuangalia Rais Magufuli kwenye mikutano mingi sana akihutubia. Niseme tu kuna uhodari fulani anaukosa kwenye kuhutubia ambao ni 'Precision' - usahihi na umakini wa maneno. Usahihi na umakini ni silaha muhimu sana unapoongea kwenye umati wa watu ambao wanatofautiana utamaduni, imani, na...
  7. JamiiForums Tanzania Swali la kufikirisha: Hivi mwanaume unaweza kumgundua mke/girlfriend wako kuwa hapa ametoka kufanya mapenzi na mtu mwingine?

    Naskia wamama hasa kwa watoto wao wa kike wanauwezo mkubwa wa kujua kua huyu binti yangu ametoka kudinyana. Pia, naskia mademu zetu au wake zetu wana exceptional capability ya kueza kutugundua vidume kua tumetoka ku chepuka. Ila swali hapa ni je sisi wanaume tunaweza kigundua kuwa mademu/wake...
  8. JamiiForums Tanzania Nilimpenda mdogo mtu, Dada mtu akanipenda zaidi hali iliyopelekea kuwa nao wote kwenye mahusiano

    Mapenzi bhana. Kuna wadada wawili tumbo moja, wazuri na wanavutia sana lakini mdogo mtu alikuwa mzuri zaidi, mkimya mwenye dharau ndani yake ya kujiona yuko level flani hivi za juu. Huyu ndio macho na hisia zangu ziliangukia kwake, alifanya kila weekend nisafiri kutoka Mtwara nilipokuwa kikazi...
  9. JamiiForums Tanzania Kuwa mtu mzima VS Maamuzi

    Kama kichwa kinachojieleza hapo, hivi ni kwanini wazazi wetu hasa wa kiume (namaanisha wakina baba) kadri wanavyokuwa wakubwa wanakuwa kama hawashauriki, hasa pale wanapopewa mawazo na watoto wao ambao wamekuwa wakubwa na wanaoa uhalisia wa maisha na changamoto. Wengi wao huhisi watoto...
  10. JamiiForums Tanzania Kama kila mtu atakufa, kwanini watu husema RIP kwa mtu aliyekufa?

    Mnisamehe sana wenye imani zenu labda naenda mbali sana kulihoji hili suala. Ni baada ya hili jambo kukithiri kwenye hizi nyakati za sasa. Kila mtu akifariki, watu huanza kupost kwenye mitandao 'RIP au Rest in Peace' Binafsi sikumbuki kama nilishawahi kulisema hili neno kwa marehemu...
  11. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Commando huwa ni jasusi mzuri kuliko yule mtu wa kawaida tu aliyepitia mafunzo ya Usalama wa Taifa?

    Nimesikia mahala kuwa COMMANDO (si lazima awe wa Tanzania) ana uwezo wa kupata taarifa nyeti hata kuliko Mwana Usalama Taifa mwenyewe. Kwa mfano; COMMANDO wa Malawi anaweza akaenda nchini Zimbabwe katika maeneo yao muhimu na akapata akitakacho na wala asishtukiwe, lakini kwa Usalama wa Taifa wa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu akipitishwa kugombea na chama chake, asitume hii kauli mbiu kwani tayari kuna mtu ameshaiharibu na imeshakosa mvuto kwa watanzania wengi

    Japo hili bango huwezi sema ni la kampeni,lakini ni wazi iwapo Lissu atapitishwa,bango kama hili linaweza kutumika na huenda kwa sasa wana-test tu mitambo. Ushauri wangu:kauli mbiu hii kwa sasa sio tu imeshachuja,bali inaonekana ni sawa na kuwadanganya watu wazima maana kuna mtu hakuitendea...
  13. JamiiForums Tanzania Sisi Yanga suala la Morrison tutakufa na Mtu

    Tumeonewa sana, tumenyanyaswa sana,tumeumizwa sana,tumehuzunishwa sana. Huyu dogo ni sisi tumemjenga na siku ile ya simba alibebeshwa hirizi ndo kufunga.leo hii anajiona yeye ndo yeye anatunyanyasa na kutufanya wote tuonekane ndula tu utopolo? Huyu bwana mdogo hajaifahamu yanga. kuna watu...
  14. JamiiForums Tanzania Kupigwa Marufuku Makanisa ya Kilokole, Gwajima amjibu mkuu wa mkoa wa Arusha, ni mtoto wa Dawa

    Baada ya mkuu wa mkoa wa arusha kusema kuwa makanisa ya walokole yadhibitiwe kwa kuwa wanapiga kelele (Makanisa ya kilokoke kudhibitiwa) Gwajima ameamua kumjibu mkuu huyo Amesema kuwa Tanzania ni nchi huru kila mtu ana haki ya kuabudu, muda wowote na wakati wowote Amesema kuwa waumini wa...
  15. JamiiForums Tanzania Half cast lazima awe amezaliwa na mzungu na mtu mweusi haiwezekani aliyezaliwa na wazazi wawili mmoja jaluo na mwingine mzaramo akaitwa half cast?

    Half cast lazima awe amezaliwa na mzungu na mtu mweusi haiwezekani aliyezaliwa na wazazi wawili mmoja Jaluo na mwingine Mzaramo akaitwa half cast? Wenye watoto ndoa zao za mchanganyiko kimakabila kwa nini watoto wachukue kabila la baba wasiitwe half cast?
  16. JamiiForums Tanzania Aliyehitimu Form Four anaweza kuchaguliwa kwenda Chuo moja kwa moja wakuu?

    Heshima kwenu wakuu. Natumai mnaendelea vyema kabisa na ujenzi wa Taifa Letu. Well, nina wadogo zangu wawili wamemaliza form four wamechaguliwa kuingia Chuo wakiwa na ufaulu wa Division III hili suala ni kawaida au inakuaje Wakuu? Na pia, kama mmoja anataka kusoma A-Level hataki Chuo ni...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya sura/muonekano wa mtu na matendo yake?

    Natumai wengi mtakubaliana nami kuwa Duniani tupo Watu wa aina tofauti..hii imepelekea wengi wetu kuhusisha baadhi ya matendo na aina fulani ya Watu. Kwa mfano kuna aina fulani ya Watu ukimkuta anafanya shughuli fulani lazima moyo wako utashtuka kwanza na utatamani kujiridhisha ni kwa nini Dada/...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi masikini wataachi lini kutumika kama mitaji ya kisiasa? Je kusaidia masikini vitu, inamfanya vipi mtu kuwa kiongozi mzuri?

    Inawezekana hii ndo haswa sababu itayofanya hii nchi kuendelea kuwa maskini milele, inawezekana pia ni jambo la kimkakati wa kisiasa kuzidi kuwatawala watu kadri upendavyo. Kwa sababu kwa lugha ya picha, kama nchi ni maskini na raia wengi ni maskini, na wengi wao hawajakomboka kifikra, inakuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Soma ujifunze: Jinsi kijiwe changu kilivyosababisha mtu akalizwa 2M na tapeli leo

    Wakuu habarini za Mda Huu, Nina Kisa kimoja leo kama mnavyojua baada ya kumaliza Chuo Basi tunavyosubiri milioni Basi tunatafuta Buku. Jana majira ya saa 4 Asubuhi nikiwa katika kijiwe changu cha kuchimba mchanga mgumu alitokea mteja mmoja aliyekua kavalia nadhifu sana akiwa ameshuka bodaboda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…