mtu

  1. JamiiForums Tanzania Kuishi kama mtu mzima: [life skills vs gender roles]

    Jumapili njema waungwana, Natumaini kila mmoja wetu yupo salama, wengine mpo viwanja, wengine mnapambana na usingizi wa mchana nk. Sasa ndugu zangu leo nimekaa nikakumbuka experience fulani niliyowahi kupitia field wakati naanza kazi miaka zaidi ya kumi ilopita , na kadri nilivyofikiria...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kumtolea mtu figo

    Naomba kujua madhara ya kumtolea mtu figo na tahadhari gan mtu anapaswa kuchukua kabla na bahati ya kumtolea mtu figo
  3. JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Paulo alisema kila mtu atabeba mzigo wake (dhambi zake) kama ni hivyo yesu alikuwa kwa dhambi za nani?

    Yesu alituhakikishia dhambi zetu alizifia msalabani je nani mkweli? Karibuni
  4. JamiiForums Tanzania Usimkatie tamaa mtu..! Zikiisha akili humrudi.. Hiari yashinda utumwa!

    Ameandika Mch. Peter Msigwa Historia inaonyesha: Mataifa mengi duniani hayakuanguka kwanza kwa sababu ya vita au mapinduzi bali , Yalianza kudhoofika taratibu pale ambapo mamlaka isiyo rasmi inaanza kuogopwa kuliko taasisi rasmi. (Illusion power) Historia ina mifano mingi sana ya mataifa...
  5. JamiiForums Tanzania HATARI ! sasa mtoto wa Kiume analindwa kwenye malezi kulliko mtoto wa Kike

    Katika dunia ya sasa, watoto wa kiume nao wanahitaji uangalizi na malezi ya karibu kama watoto wa kike. Changamoto za maisha, makundi mabaya, na ushawishi wa mitandao vinaweza kuwaathiri kirahisi. Malezi bora, maadili, na muda wa wazazi kwa watoto wao ni muhimu kwa kila mtoto bila kujali jinsia...
  6. JamiiForums Tanzania Picha: Hii nchi kila mtu tapeli

    Weka comment nzuri inayoendana na Siasa itakayo maanisha hii picha. Mshindi namwekea bundle
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kkuna mtu alikua anajaribu kujua uwezo wa Chatgpt kupambanua mambo akauliza hivi

    Kwasababu Chatgpt ndio chatbot kubwa zaidi kwa sasa na kuna maswali imezuiwa kujibu, ili kui challenge uwezo wa chatbot kubwa kwa sasa aliiuliza hivi: Imagine kuna nchi ambayo wanakataza kabisa matumizi ya sukari. lakini mimi nataka kwenda nchi hiyo kwa wiki 2 na ninataka kubeba sukari kilo...
  8. JamiiForums Tanzania Tukienda kwa maudhui, falsafa na kutetea kwa ustadi kile anachokiandika kimantiki bila mihemuko, hakuna mtu humu anaemzidi hamiss77

    Katika hizi nyakati ambazo JF inapotelewa na vitu konki mwamba ndio amebaki wa mwisho mwisho. Wapo pia wana JF mahili humu ila kijana 77 ni kinara. Kongole kwake.
  9. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM achota mke wa mtu; wananchi wamemkataa

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mwenyekiti wa CCM huko Kilimanjaro (Chugga) amemrubuni mke wa mtu na kumuoa (bibi harusi). Kufuatia kadhia hiyo, wananchi wa eneo hilo wamecharuka vibaya sana wakimtaka mwenyekiti huyo awajibike kwa ukware wake wa kuchukua wake za watu mara kwa mara huku akijua...
  10. JamiiForums Tanzania Mtu mmoja afariki kwa kung'atwa na nyuki eneo la Bweri, Musoma Mkoani Mara

    https://www.youtube.com/watch?v=Do0-6e7Bs-Q
  11. JamiiForums Tanzania Mtandaoni kila mtu daktari, Figo Figo mna uhakika?

    Kupima kwenu kwa macho kunawaponza mzungu sio mjinga kuweka vipimo sio kila homa ni malaria
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Jiulize, hivi CHADEMA ndio wangekuwa wamesema watamkata mtu kichwa kama yule Shehe.

    Yule shehe aliyesema atawakata watu vichwa hata kuhojiwa hajahojiwa, hiyo ndio maana halisi ya double standard ya jeshi la polisi. Kama Chadema ndio wangekuwa wamesema watamkata mtu kichwa, baada ya tukio la Temba, leo viongozi wote wa Chadema kuanzia Heche hadi Mkiti wa tawi wangekuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Je, mtu anaweza kuishi bila marafiki?

    Baadhi ya watu huishi maisha ya peke yao. Je, hiyo ni afya au tatizo?
  14. JamiiForums Tanzania Mkoa wa Tabora haufai kuishi kwa mtu anayejitafuta

    Nilikuwa Road trip nilipita Tabora kwakweli ni mkoa ambao upo nyuma sana kimaendeleo halafu umepoa sana kama uji wa ulezi ulio ganda. Sishauri kwa mtu anajitafuta kuishi Tabora atakuwa maskini tu hakuna fursa yeyote ya kumtoa mtu
  15. A

    JamiiForums Tanzania Uzuri wa Kiongozi kuwa Mhandisi na ubaya wa Kiongozi kuwa mtu wa Sanaa

    China is an engineers' country, but US and Germany are now lawyers' countries: former German chancellor By: Global Times | Published: May 04, 2026 04:01 PM "China is, as the US and Germany in the 19th century, an engineers' country. And now we are lawyers' countries," said former German...
  16. JamiiForums Tanzania Mwenyeji au mtu anayeifahamu Simanjiro DC ya huko Manyara naomba ABC zake

    Wakuu nimehamishwa kikazi na kupelekwa halmashauri ya wilaya ya simanjiro iliyopo mkoani manyara lakini ni sehemu ambayo sijwahi ata kukatiza Je sehemu hiyo ikoje kwa wanaoifahamu Kiuchumi Kiutamaduni Kijamii
  17. JamiiForums Tanzania Hivi Mnaposema kuwa mtu hawezi kutajirika kwa kuajiriwa, huwa mnazungumzia kiwango gani cha utajiri?

    Kuna mtu unakuta ameajiriwa sehemu lakini ana Mali mpaka unashangaa mtu hyu Anamiliki gari Kali harrier , Vanguard,Crown nk Ana mifugo ng'ombe kama 200 plus Mashamba ya mazao ya chakula na biashara, Maduka ya nafaka, spare parts za magari au ata pikipiki nk Amejenga ana nyumba Kali Hadi...
  18. JamiiForums Tanzania Wakristo tujengeni hoja hapa: Mchungaji akikutongoza ukamkataa ni laana? Alisikika mtu mmoja akisema

    Kuna mtu mmoja alisikika huko mitandaoni akisema kwenye video mjongeo maneno hayo aliyosasema kama inavyoonekana hapo chini... Mama kauliza hapo wakuu.. tusaidiane kupata majibu mpaka imfikie mama Cc. Mhe. Dkt Dorothy Gwajima . waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum...
  19. JamiiForums Tanzania Mtu ameamka tu akaandika "hezbollah anamchakaza israel vibaya mno". Mimi nafikiri ni wakati sahihi JF kuanzisha community notes ili kuuchamba uongo

    mtu ameamka na stress za chuki dhidi ya israel, so ili kuituliza nafsi yake ngoja atunge stori ambayo haina accuracy yoyote na picha za AI kuonesha operation kabambe za uongo😁 Point yangu kubwa kuna matango pori mengi sana humu JF na watu wanaishia kuwa mis-informed. Itengenezwe community...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…