Madhara ya kumtolea mtu figo

Madhara ya kumtolea mtu figo

Nadhani ingekuwa sahihi kungekuwa na utaratibu wa kutumia figo za marehemu, kuliko kutoa figo kwa mtu aliye hai kumpatia mgonjwa.​
 
Sasa mtu akiwa marehemu si na viungo vyake vyote vimekufa au hujui hilo?
''Muda wa Kuishi (Viability): Figo zinaweza kuhifadhiwa na kubaki salama kwa ajili ya kupandikizwa (transplant) kwa muda wa saa 24 hadi 48 baada ya kifo, ikiwa zitaondolewa na kuhifadhiwa vizuri kwenye kifaa maalum cha ubaridi.''
 
Back
Top Bottom