mtu

  1. Red black

    JamiiForums Tanzania Toa piece of life advice /ushauri wa kimaisha ambao ni constructive kwa mtu yoyote yule.

  2. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania SI sahihi mwanamke aliye kwenye mahusiano au ndoa kuweka picha ya mtu yeyote maarufu wa kiume kwenye simu yake(wallpaper)

    Ukiona mwanamke ameweka picha ya mwanaume mashuhuri Kama mbappe, Fei toto nawengine wengi basi hao ndo anamapenzi nao na anawapenda.. Kwanini Yuko na wewe? Kwasababu Hana uwezo wa kukutana nao. Saikolojia ya mwanamke inaongea zaidi kwa vitendo sio maneno
  3. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Wachina wanajua kufariji mtu mwenye Depression bwana...

  4. M

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuiga Mafanikio ya mtu alietoboa vilivyo kwenye biashara hapa Bongo utasubiri sana hadi uote sugu, Game lipo zigzaga tofauti na unachokiona

    Ukitaka kuiga Mafanikio ya mtu haa bongo hasa kwenye biashara utakesha Makanisani, Misikitini, mpaka uote sugu Utamaliza rapa kwa kubuni Biashara na kuwekeza ukiamini utakuwa kama fulani. kumbe Siri Yao ya Mafanikio ni Short Cut Halali inawezekana ila huchukua muda mrefu sana na ubaya ni...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Rais angesema kila mtu arudishiwe kodi yake aliyolipa nina uhakika ambao wangerudishiwa ni wachache

    Huyu Chalamila hajui hata namna kodi zinavyokusanywa yeye anadhani kodi ni ile inayolipwa direct tu, debe tupu --- Chalamila amesema kuwa wanaosema miradi inajengwa kwa kodi zetu watambue kuwa kodi peke yake haiwezi kujenga ila inahitaji akili ya Rais katika kutafuta funds na anadai aliwahi...
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mganga gani anaweza Baki na Maini na Kichwa cha mtu siku zote hizo Huku akijua wenzake Wamekamatwa ? Hakuogopa kutajwa? Kukimbia ? Kuvifukia?

    Kuna Movie inachezwa na "Mfumo" kuhakikisha wananipa Nguvu Ripoti Uchwara ya CHANDE !!. Watanzania Shtukeni !!.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Katika maisha halisi, unaweza kutunza siri ukiteswa kisawa sawa kama tunavyoona kwenye filamu.

    Kwenye muvi huwa tunaona watu wanapokaatwa wanaweza kuvumilia mateso makali Katika maisha halisi utaweza kukaa kimya baada ya mateso ? kwa upande wangu naweza kuvumilia mateso kama ngumi, mateke, viboko, n.k. lakini kuna baadhi ya mateso nikishaona kuna dalili ya kutumika kwangu sioni nikitoboa
  8. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Kadri mtu anavyozidi kuwa masikini ndipo anavyozidi kuingia gharama ya kutafuta sifa kuwa bado na yeye yumo

    Tazama harusi zetu sisi watu weusi hata bado tukiwa na maisha yetu ya chini alafu tazama harusi za watu waliondelea katika nchi tajiri. Tazama watu weusi wanapopata ustaa mapema namna anavyovaa na wanawake anaohudumia alafu tazama mastaa wenye asili ya kizungu au asia wako simple sana.
  9. U

    JamiiForums Tanzania Raisi wetu anastahili kupongezwa sikuhizi magereza mtu akitoka anatoka na ujuzi kamili wa kujiajili haji kuwa mzigo mtaani

    Nilifurahi kuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya kuwa Kinara wa Dhana ya Urekebishaji wa Wafungwa Magerezani kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Patrobas Paschal Katambi kwenye hafla ya hafla ya kuhitimisha...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Bafu la kuchangia wapangaji wote, ila mtu unaoga zaidi ya nusu saa, unatuchelewesha wenzako kwenda mihangaikoni

    Wa kishua mtuache kwanza, Wa Uswazi tuna jambo letu. Ndugu wangai, Nina jambo linanikaba koo mwenzenu, Hivi umewahi kukutana na kero kwenye hizi nyumba zetu za kupanga ambapo unakuta mpo wapangaji zaidi ya familia moja na mnachangia choo na bafu? Basi mwenzenu kuna linalonikaba koo, yaani...
  11. masai dada

    JamiiForums Tanzania ulishasamehe mtu aliye cheat na akajirekebisha??? or once a cheater ..always a one

    kwa experience yangu....huwa hawaaachi🥹🥹🥹🥹🥹🥹 wengi mnaotoa maoni mpo nje ya mada swali ni je "ushawahi msamehe aliyekusaliti kimapenzi katika mahusiano yenu na akajirekebisha au ni tukio baada ya tukio?
  12. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Huyu billionea george soros ni nani haswa? Mtu anaesadikika kufadhili kampeni za kusambaza maudhui ya kishoga duniani kwa kununua haki za televisheni

    Namuona huyu mtu akitajwa sana kwenye maandamano ya kumpinga trump, maandamano ya upinde na maandamano ya free palestine. Mwenye moja mbili tatu zake anishtue
  13. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Kuna kiwango cha juu cha umeme wa LUKU mtu anachoruhusiwa kununua?

    Habarini wakuu. Naomba kuuliza swali la kizushi. Kiwango cha juu cha umeme wa LUKU ambacho mtu anaruhusiwa kununua ni kiasi gani?
  14. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Jinsi mazoezi yanavyoweza kumfanya mtu kuonekana younger

    Watu wengi wakiona picha za “before and after” za watu walioanza kufanya mazoezi, mara nyingi hushangazwa na jambo moja, mtu anaonekana mdogo kuliko zamani. Wengine huonekana kama wamerudisha miaka yao nyuma kabisa. Swali ni, hii hutokeaje? Ukweli ni kwamba mazoezi yana mchango mkubwa sana...
  15. La gioconda

    JamiiForums Tanzania Kumbe kwenye biblia kuna mtu alimwaga nje na hamsemi

    Mwanzo 38:9 Lakini Onani alijua kwamba hao watoto wasingekuwa wake. Kwa hiyo, alipolala na mke wa nduguye, alimwaga chini mbegu ya uzazi, asije akampatia nduguye watoto.
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Yanga yapigwa faini Sh Milioni 30 kwa kutumia nyumba ya mtu kuwa chumba cha kubadilishia nguo

  17. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Mungu kumuinua mtu umpitisha kipindi cha kutengwa(isolation)

    Kabla ya Mungu kumuinua mtu umpitisha kipindi cha kutengwa(isolation) Katika bibilia Yesu kristo kabla ajaanza hudumu ya injili alichukuliwa na malaika kwenda jangwani(isolation) na kufunga siku 40 na kipindi hicho alikuwa akijaribiwa. Musa kabla ajanza huduma pia naye Mungu alimtenga kwa...
  18. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Uzuri ni kwamba namba wote tunaisoma. Wakosoaji wa serikali waimba mapambio na kusifu na kuabudu serikali wote tuko kapu moja.

    Uzuri ni kwamba sukari ikipanda bei haichagui wewe ni mwimbaji mzuri wa mapambio au ni mkosoaji wa serikali namba inasomeka maumivu yako palepale. Ukienda kituo cha mafuta kuweka mafuta kwenye gari. wote tunaugulia maumivu kwenye bei ya mafuta haichagui wewe unasifia serikali au ni mkosoaji wa...
  19. Latent chaos

    JamiiForums Tanzania Kuishi kama mtu mzima: [life skills vs gender roles]

    Jumapili njema waungwana, Natumaini kila mmoja wetu yupo salama, wengine mpo viwanja, wengine mnapambana na usingizi wa mchana nk. Sasa ndugu zangu leo nimekaa nikakumbuka experience fulani niliyowahi kupitia field wakati naanza kazi miaka zaidi ya kumi ilopita , na kadri nilivyofikiria...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kumtolea mtu figo

    Naomba kujua madhara ya kumtolea mtu figo na tahadhari gan mtu anapaswa kuchukua kabla na bahati ya kumtolea mtu figo
Back
Top Bottom