Mathayo 26:14-15 TKU
[14] Ndipo Yuda Iskariote, mmoja wa wanafunzi kumi na wawili wa Yesu alikwenda kuzungumza na wakuu wa makuhani. [15] Akasema, “Nikimkabidhi Yesu kwenu, mtanilipa nini?” Makuhani walimpa sarafu thelathini za fedha.
Yuda alikuwa mtu wa karibu sana na Yesu, haikutegemewa kama...