Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.
Suala la kupima vinasaba kwa baadhi ya wazazi limekuwa la kawaida katika Dunia ya sasa, zamani ilikuwa ikitumika mara nyingi kama kuna majanga au watu waliopoteana muda mrefu lakini siku hivi mambo yamebadilika, uaminifu umekuwa mdogo ndio maana matumizi ya DNA yamekuwa mengi.
Wakili Bashir...
Watoto ni baraka ndani ya familia; wengi wanatafuta watoto na wengine hukosa kabisa kupata watoto, na hatimaye kukimbilia kulea watoto wa ndugu au wa jamii nyingine.
Watoto wakiwa wadogo huwa ni changamoto hasa kwa kuhitaji malezi bora, huduma muhimu, ambazo zitahitajika huduma za kifedha...
Iko hivi, hili tukio limetokea hapa ninapoishi, jamaa akiwa amekaa zake ndani amepumzika na mihangaiko ya hapa na pale, mkewe na majirani wenzie wapo nje kibarazani wakipiga stori.
Katika stori zao wakaanza kumsema mke wa jamaa kuwa huyu mtoto baba yake ni nani? Mbona hawajafanana hata ukucha...
Wahenga zetu kwa namna moja au nyingine walikuwa na akili sana.
Zamani haya mambo ya upasuaji yalikuwa bado sana na mtoto alikuwa anazaliwa nyumbani kwa msaada wa wakunga ila kazi ya kumtoa mtoto kwa kiasi kikubwa ilikuwa kwa mwanamke kumsukuma mtoto atoke, hakukuwa na shortcut ya upasuaji kwa...
Kwema Wakuu!
Ni ngumu Sana kukuta upendo Kwa watoto ambao hawajalelewa na Baba na Mama, hiyo ndio sababu siku hizi kwenye jamii upendo wa wengi umepoa.
Mtoto asipolelewa na wazazi wawili, Baba na Mama yake hisia na vyanzo vya upendo hufa POLEPOLE Kwa uhakika.
Kuachana Kwa wenza, Baba na Mama...
Familia moja ya wazazi Nchini India imefungua kesi kwa mtoto wao wa kiume na mkwe wao wakitaka waletewe mjukuu ndani ya mwaka mmoja au walipwe Rupia milioni 50 (Rupia milioni 25 kutoka kwa kila mmoja) sawa na Tsh bilioni 1.5.
“Mwanangu amekuwa kwenye ndoa kwa miaka sita lakini bado hawajapata...
Habari wanajukwaa?
Mtoto wangu ana miezi mitatu na siku kadhaa, shingo yake bado haijakaza, ukimkalisha anainamisha shingo kwa mbele, yaani anaangalia chini.
Hii hali inanitia wasiwasi, naombeni ushauri nifanye nini ili shingo ya mwanangu ikaze.
Nimeoa, na ninaishi na mama wa mtoto.
y’all.....
Kutokana na uelewa na muamko hafifu wa elimu ya malezi ya watoto from prenatal to postnatal (Psychology) kuna mambo hua yanawakumba watoto na wazazi bila kuelewa wanachukulia ni swala la kawaida mtoto kua hivo. Wengine wanaweza ihusisha hali Fulani aliyonayo mtoto na maswala ya nguvu...
Msaidizi wa Mratibu wa Dawati la Jinsi na Watoto wa Jeshi la Polisi Tanzania, ACP Faidha Suleiman
akiwa katika moja ya majukumu yake ya kutoa elimu kwa wananchi.
Licha ya kuzoeleka matukio ya wanaume kuhusika kuwafanyia ukatili wanawake mara nyingi, utafiti umebaini kibao imegeuka na kuna...
Picha: Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba
Mtoto wa Rais Museven afikishwa mahakamani kwa kuutaka Urais wa Uganda
Mahakama ya kikatiba ya Uganda imemtaka mtoto wa Rais Yoweri Museveni, Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba, kujibu shtaka analotuhumiwa la kueleza nia yake ya kuwania urais akiwa...
Hawa ni wale watoto ambao hawana competition na watoto wenzao, ukiona mtoto wako analia kila mara au kulilia vitu vya watu kila wakati, jitahidi utafute mtoto mwenzake wa rika lake uishi nao pamoja utaona atavyo badilika na kuwa mtoto mzuri.
Njia nyingine nzuri ya kumkanya huyu mtoto, siku...
09 May 2022
Manila, Philippines 🇵🇭
Katika muendelezo wa watoto wa marais kuibuka baadaye kushika uongozi wa nchi, huko nchi ya visiwa vya Philippines watoto wa Dictator Marcos na dictator Rodrigo Duterte wanaelekea kushinda uchaguzi unaoelezewa wa kihistoria nchini humo.
Source : Bongbong...
Hapa ndio utajua anayejua baba wa mtoto ni mama na ndio maana tukasema nani km mama maana mama hazingiziwi mimba wala mtoto ila baba wengi wanalea watoto sio wao.
Mgawanyo wa majukumu huo, Mmoja yupo kwajili ya pesa mwengine yupo kwajili ya mapenzi na shoo.
Ukitaka uujue uchawi weka mashine ya...
Piga kofi moja usawa wa shingo chini ya kisogo ili kurestore setting ya brain. Hakikisha unampiga kofi moja kubwa sana la kushtukiza apepesuke arukie mbali kabisa, nakuapia hatorudia tena.
Msiwadekeze watoto na kuwafanya mayai, nyumba ambayo haina bakora iliyo ning'inizwa juu ni nyumba isiyo na...
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na idadi kubwa ya shule za msingi na zile za awali zikiongezeka, hiyo imeendana sambamba na ongezeko la ratiba ya masomo kwa wanafunzi.
Zamani ilizoeleka wanafunzi wanaotumia muda mwingi shuleni ni wale wanaosoma bweni, lakini hivi sasa hata wale wanaosoma ‘day’...
Mtoto mwenye umri wa miaka minne amenusurika kuumia baada ya kupata ajali ya gari alilokuwa akiendesha mtaani bila ruhusa kutoka kwa wazazi wake Nchini Uholanzi.
Polisi wa Kituo cha Utrecht wamesema mtoto huyo akikwangua gari hilo katika maeneo mawili ya kuegesha magari baada ya hapo akaondoka...
Hapo patatosha kweli?
- Anajiamulia mzae mtoto moja tu kwakuwa ametingwa na kazi
- Anaamua mwenyewe mfanye sex au asikupe?
- Yeye kahamishiwa kikazi huko bukoba wewe upo dar na mnakutana siku 1 tu kwa mwezi?
Mtoto mchanga aliyeachwa na marehemu Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Irene Ndyamkama amefariki dunia jana Aprili 30, 2022.
Mtoto huyo amefariki baada ya kuishi kwa siku saba tangu kuzaliwa kwake, Mbunge Irene alifariki dunia Aprili 24, 2022, katika Hospitali ya Tumbi wakati akipatiwa...
Habarini za usiku wapendwa.
Naomba mwenye kufahamu ni kwanini mtoto mchanga wa wiki moja utosi wake haudundi na je? io ni hali ya kawaida au ni tatizo kwa mwenye uelewa tusaidiane kupeana elimu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.