mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. Gnixc_33

    JamiiForums Tanzania Mtoto anatakiwa kunyonya maziwa ya mama kwa muda gani?

    Habari, Huu ni uzi kwa ajili ya watoto naomba kuuliza kama. Una uzoefu au wewe ni Dr. Naomba kuelimishwa. Je, mtoto mchanga anatakiwa kunyonya maziwa ya mama kwa muda gani? Kuna watu wanasema miezi 6 bila chochote. Ukimpa maji ataumwa tumbo ukimpa chakula mapema namaanisha uji, hatofanana na...
  2. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Ungependa kuzaa mtoto wa maabara? Basi wanasayansi wapo Maabara

    Wanasayansi wanaendelea kutafiti kisayansi kuhusu njia mpya ya uzazi itakaotumika kutengeneza mtoto maabara bila kufuata njia za kawaida za uzazi zinazohusisha ubebaji wa mimba na kuzaa. Njia hii inaenda mbali zaidi, kuliko inayotumika sasa, ambayo mwanamke anaweza kupandikizwa mbegu na kuzaa...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mtoto kushinda akitazama Televisheni siku nzima ni sahihi?

    Umofya wana JF, Mtoto kushinda kwenye TV asubuhi mchana hata jioni yupo kwenye TV ni sawa sawa? Wengine wanasema inasaidia kumpa mtoto exposure wengine wanadai watoto wanajifunza lugha na michezo mbali mbali inayoongeza ujuzi wao, wegine wanapinga sio kitu kizuri. Je, kipi ni kipi? Tusaidiane...
  4. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Mbalizi Mbeya: Mfanyakazi wa ndani amepotea njia akiwa na mtoto mdogo, msaada wenu

  5. K

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Kambo(Part 1)

    Dina (sio jina halisi) ni mama wa watoto 3 ambao wote kwa sasa wanafanya shughuli zao na wako vizuri. Wakati anaolewa alimkuta mumewe na watoto wawili. Katika malezi aliwalea wote kwa usawa bila kubagua na watoto wakawa wanapendana sana, igawa wote kwa sasa ni watu wazima wanajitegemea lakini...
  6. Myebusi Mweusi

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa mke wangu kaniunganishia kademu kazuri balaa

    Nimeoa miaka michache nyuma, mwanamke niliyemuoa nimemkuta ana watoto wawili, mmoja akiwa chuo na mwingine kidato cha nne. Huyu wa kiume, ambaye pia ni mdogo, kwa sasa yuko kidato cha sita. Na kwa kuwa amekuwa ni kijana mkubwa mara kwa mara nitokapo kwa ajili ya matembezi ya mwisho wa juma ...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Malipo ya kufiwa na mzazi, mke au mtoto kwa mtumishi wa umma

    Za mda huu wana jamvi Ningeomba kujua je kuna malipo yeyote kwa mtumishi wa umma kama alifiwa na mzazi,mke au mtoto wake?
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Songwe: Baba amchoma mtoto wa miezi sita akidai amesingiziwa

    Jeshi la Polisi mkoani Songwe linamshikilia mkazi wa mtaa wa Ilembo wilayani Mbozi, Mariko Kahinga kwa tuhuma za kumuunguza mtoto wake wa miezi sita. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe (RPC), Janeth Magomi amesema Jeshi hilo limebaini kuwa Kahinga alimchoma mtoto huyo kwa madai kuwa sio wake huku...
  9. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mbaroni kwa kumsababishia kifo mtoto wake

    Polisi mkoa Njombe wanamshikilia Israel Msigwa Almaarufu kama "Mtoa Roho"(39)makazi wa Makambako kwa kumsababishia kifo mtoto Haskad Msigwa (7) kwa kumuadhidu kwa nyaya za umeme na fimbo kwa sababu amekojoa kitandani. RPC wa Njombe Hamis Issah amesema "Huyu amemuadhibu mtoto wake kwa kumuadhibu...
  10. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Zoezi la kumuokoa mtoto Rayan wa Morocco aliyezama ndani ya kisima cha mita 30 limeingia siku ya 3, tumaini bado

    Ni mtoto wa miaka mitano (5); baada ya baba yake kumtafuta kwa masaa kadhaa ndio akagundua kwamba kadumbukia kwenye kisima kilichokuwa kinafanyiwa matengenezo. Video zina maelezo “Do this, send a soft bracelete attached to a rope along with a speaker, let his dad explain to him how wear it...
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Vyakula 7 vitakavyomfanya mtoto wako awe na akili zaidi

    VYAKULA 7 VITAKAVYOMFANYA MTOTO WAKO AWE NA AKILI ZAIDI Umuhimu wa lishe bora kwa mtoto sio katika kujenga mwili tu bali na afya bora ya akili. Mtoto mwenye afya bora ya akili ni mchangamfu na anaelewa mambo mbalimbali kwa urahisi. Kwanza ni vizuri zaidi kumnyonyesha mtoto miezi sita ya kwanza...
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Kusomesha mtoto shule ya kiingereza yenye walimu wa Zambia/Malawi /Kenya /Uganda kuna afadhali zaidi kuliko walimu wa hapa kwetu

    Hiki kitu nimeshuhudia kuna mtoto wa ndugu yangu anasoma shule flani ya msingi darasa la nne, ni shule ya mtaala wa kiingereza ila walimu ni wa hapa kwetu, huwa anafaulu vizuri tu lakini kuna maswali aliniletea nimsaidie ya social studies (maarifa ya jamii) sasa nikawa namweleza swali...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutunza na kuimarisha Afya ya Akili ya Mtoto wako

    Uhusiano Imara na wenye nguvu sio tu unakufanya kuwa Binadamu bora bali pia husaidia kukuimarisha Kihisia. Wakati wa kujenga uhusiano na Watoto wako, waambie unawapenda mara kwa mara Ni muhimu kila Siku utenge muda wa kuzungumza na kumsikiliza Mtoto. Ikiwa mtoto wako anataka kuzungumza nawe...
  14. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri "huyu" mtoto aende wapi na akasome nini?

    Habari waungwana. Nina mtoto hapa ambaye matokeo yake ya Kidato cha nne ni Kama ifuatavyo. Amepata "C" katika Civics, Kiswahili, Chemistry na Biology. Amepata " D" katika History, Geography, Literature, English, physics na Hisabati. Hivyo ana "C" nne na " D" sita. Division three point 24.
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Anachoweza kufanya Mzazi kuhakikisha mtoto anabaki salama mtandaoni

    1) Kuwaeleza Watoto umuhimu wa kuweka nywila (Password) kwenye vifaa vyao, na kutompa mtu mwingine hata kama wana ukaribu 2) Kuzungumza na Watoto, na kuwaonesha wanaweza kuwafuata pale wanapopata matatizo mtandaoni ikiwemo CyberBullying (Uonevu Mtandaoni) 3) Kuhakikisha Mtoto haweki taarifa...
  16. karv

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya kundi ya kundi la damu (blood group) na Uchumba/Mimba/Ujauzito/Mtoto

    1. Binadamu ana damu ambayo ina seli nyeupe, chembe sahani na sell nyekundu.. hizi seli nyekundu ndio zinabeba oksijeni na kabondayoksaidi na kimiminika chenyewe 2. Seli nyekundu zina protini inajishika ukutani mwake inaitwa antigen. Kuna antigen A au B au seli inakuwa haina antigen: • Ambaye...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa mwaka na miezi 3 kuchelewa kukaza shingo

    Habari zenu, Nina mtoto wa mwaka na miezi mitatu alichelewa kukaza shingo kwa sasa ndio anatambaa ila kwa makalio. Ila napatwa na wasiwasi ninapomsimamisha shingo yake anaitupa kwa nyuma. Nifanye nini ikae sawa? Ila anapokaa anachezea vitu vizuri tu na kuvifata hata kujaribu kusimamia vitu...
  18. anonymous_blue

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa baba kumnunulia mtoto wake wa kike PEDI?

    Jamani naombeni msaada juu ya hili swali. Baba mzazi kumnunulia binti wake pedi hii imekaa sawa kweli?
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mtoto ana haki ya kujua asili yake. Wamama msiwafiche Watoto Baba zao

    MTOTO ANAHAKI YA KUIJUA ASILI YAKE. Anaandika Robert Heriel. Hakuna sababu yoyote inayozuia na kumnyima Haki mtoto kuijua Asili yake. Mtoto lazima amjue Baba yake mzazi, Mtoto lazima ajulishwe mama yake Mzazi. Hiyo ni Haki ya Mtoto. Mtu ili ajitambue lazima atambue asili yake. Mtu ambaye...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Dhana ya "kumbemenda mtoto"

    Kumbemenda mtoto ni mtoto kutokua vizuri ikidhaniwa kutokea kutokana na mama anayenyonyesha mtoto kukutana kimapenzi na mwenzi wake hasa kipindi mtoto bado ni mchanga na ananyonyeshwa. Hii ni dhana iliyopo katika jamii mbalimbali, na inadhaniwa hutokea kwa sababu mtoto kunyonya maziwa yenye...
Back
Top Bottom