mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama unaona mtoto wako uwezo wake ni mkubwa haijalishi uwezo wako, omba msaada au tumia pesa yako, hapa Tanzania ni sehemu kuua ndoto za watoto

    Sio uwongo yani kama wazazi na mliopo hapa jifunzeni kukabiriana na roho za hapa. Wamewamaliza sana T.O wa tanzania wengine wakawa wanafundisha twisheni na wengine wakaishia kuchekwa na wasio soma. Kuna dogo hapa mzazi wake aligundua mtoto wake sio level hii nchi ,kwa uwezo wake aliona bora...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Sinza Mapambano tunaoishi karibu na Mama Wema Sepetu tunasumbuliwa na kelele za muziki nyakati za usiku

    Habari wana jamvi, Sisi wakazi wa Sinza Mapambano, wanaoishi jirani na nyumbani kwa mama mzazi wa Wema Sepetu, tunapitia changamoto kubwa kutokana na kelele za muziki unaopigwa usiku kucha katika sherehe inayofanyika eneo hilo. Kwa mujibu wa taarifa tulizonazo, Wema Sepetu amefanya sherehe ya...
  3. JamiiForums Tanzania Ya leo kali Mtoto BBL kanitembelea kaniacha na uchovu balaa, nilimiss sana za Kiafrika Jotroo

    Hatari sana leo Nimetembelewa na mtoto heavy ndo mambo yangu Lakin tunamalizia niende viwanja Kwanza tuka swim , tukapunga upepo kwa pool , sasa hivi nimpeleke maeneo, Maana ni mgeni, nauli nimempa mimi kutoka Dubai hadi hapa maana anaishi Dubai Mimi Raha hizi Jamani
  4. JamiiForums Tanzania Leo nipoe zangu na mtoto wa Uingereza kupata Royal salute whisky

    Mtoto kaingia 18 zangu Kasema leo nakutoa out wewe wala usiingie mfukoni nafika nkuta wameleta Royal salute whisky haha ni 800$ babeki Acha tule life Hatari
  5. JamiiForums Tanzania Kwa watalam wa tiba asilia. Je mtoto wa miaka 2 anaweza kutumia kitunguu swaumu?

    Habari wakuu. Jez mtoto wa miaka 2 anaweza akatumia kitunguu swaum kumeza?? Nataka nianze utaratibu wa mtoto wangu awe anameza nusu punje ya kitunguu swaum asubuhi kabla ya kula chochote. BabaVladimir [USER=227987]BIN NUN @At el
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mtoto mwenye uwaraza

    Hivi hili tatizo la mtoto kua na ulalavi(kugalagala kitandani) ni ugonjwa,au ni tabia ya kurithi mana sasa anaenda mwaka wa 5(yaani anatimiza miaka 5)lakini habadiliki bado nifanye nini Mimi ili abadilike. Mwanzo akati mchanga nilijua akikua kua atabadilika lakini ndo kwanza anazidisha...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mtaka anabishana na mtoto pendwa atapona kweli?

    Makonda ni mtoto pendwa maybe kuliko wote ukiondoa Wanu. Sasa Mtaka si akubali yaishe, atapona Ukuu wake wa mkoa? Pia soma: Ni kweli Makonda Ndo ameamua kuchagua rais wa kamati ya Olympic Tanzania?
  8. JamiiForums Tanzania Katiba mpya ni MUHIMU, mtoto analawitiwa washitakiwa wanatakiwa kulipa 800,000 kama fidia na kifungo cha maisha?

    Katiba mpya ni MUHIMU sana kwetu, yaani mtoto mmoja mlemavu wa akili amelatiwa na watu wanne wameshikwa na kuhukumiwa kwenda jela maisha na kulipa fidia ya laki 800,000 kwa kila mmoja? Wanaenda jela watalipaje hiyo pesa? Wasipo lipa watafanywaje? JE alielawotiwa bikira itarudi? Watuhumiwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mzazi, mjengee mtoto wako mazingira ili aweze kukuheshimu

    Kwa WAZAZI NA WALEZI. Imekuwa ni kawaida kusikia wazazi na walezi wakilalamikia tabia ya watoto wao kukosa heshima. Wengi wanaona watoto wao wana jukumu la kuwaheshimu tu bila kuangalia upande wa pili yaan wajibu wa wazazi. Natamani kukushirikisha haya ili kesho na kesho kutwa usiwe mzazi...
  10. JamiiForums Tanzania Moyo wa Shukrani, Hatimaye Kapata mtoto

    Leo nimepigiwa simu ya shukrani, mama wa binti akilia machozi ya furaha, binti yake kapata mtoto. Mwaka 2024 mwishoni nilienda kijijini nilikozaliwa, nikakutana na binti aliyemaliza degree na badaye aliolewa na mtumishi mmoja wa serikali Lakini nilipokutana na huyo binti, kwa rika ni km mdogo...
  11. JamiiForums Tanzania Tofauti kubwa ya mtoto alielelewa na single Maza vs single faza

    Single Maza. Mtoto anakua akijihisi anamamlaka juu ya Kila kitu,l.Hawa kukoselewa kwao ni ishara ya kudharauliwa hivyo ni makosa kwao kukosolewa, hawapendi kukosolewa, wagumu kukubaliana na ukweli pindi mambo yanapoenda kombo .Niwapambanaji na ufanikiwa kwa kiu ya kuwafurahiaha mama zao lakini...
  12. JamiiForums Tanzania Sisi ndio mabingwa wa elimu bora Tanzania ,usisubirie kusimuliwa tupe mtoto wako leo uwe shuhuda wetu

    Mafanikio ya mtoto wako yanaanzia hapa! Tunatoa huduma bora za Home Tuition kwa wanafunzi wa ngazi zote (One hadi Six) pamoja na wanaoanza kabisa (Beginners). Tunafundisha: ✅ Mitaala yote ya shule ✅ Kiswahili ✅ Lugha za kigeni mbalimbali kwa wanafunzi wanaotaka kujifunza lugha mpya, mfano: 🇬🇧...
  13. JamiiForums Tanzania Tarehe 23 July 2026 Kuna Wapuuzi watalipa Tsh. Million 5 kumuona mtoto wa Wema Sepetu!

    Kwamba tar 23, ndio 40 ya dogo. Sasa maza kageuza mtaji kwa kuchaji laki 1, 3, 5 na Mil 5 kumuona bwana mdogo. Watu mna hela za mchezo.
  14. JamiiForums Tanzania Hofu ya upasuaji dhidi ya okoaji maisha ya mama, mtoto

    Katika wodi za uzazi, sauti za uchungu na matumaini hukutana. Wakati mwingine, dakika chache ndizo hutenganisha uhai na mauti. Ndipo upasuaji wa dharura unapokuwa tumaini la mwisho. Lakini nyuma ya kila uamuzi huo, kuna swali lisiloepukika: je, hatua hiyo imechukuliwa kwa sababu sahihi za...
  15. JamiiForums Tanzania Jamaa aliewadanganya wapalestina waendelee kupambania nchi hewa huku yeye akijikusanyia mabilioni. Mtoto wake yupo france na ndio mrithi wa mabilioni

    Jenzii wengi hawawezi kumuelewa huyu tapeli
  16. B

    JamiiForums Tanzania Story ya mtoto Richard Kiko ( 15) inasikitisha mno

    Jana niliweka taarifa ya kupotea kwa mtoto Richard Riziki Kiko (15) mwanafunzi wa kidato cha pili, shule ya sekondari Mbwawa Lutheran iliyopo Kibaha. Richard alipotea juzi jumapili, akiwa anarudi nyumbani Magomeni Kagera akitoka kumsalimia bibi yake Mbezi Kibanda cha Mkaa. Jioni wakati anarudi...
  17. JamiiForums Tanzania Kulea mtoto wa kiume ni ngumu kuliko wa kike,

    Tuwe makin sana Kwakuwa mmmm watoto wanaharibika sana hasa wa kiume wanaokulia pwani na dar
  18. JamiiForums Tanzania Taja mtoto wa waziri, au Rais au MBUNGE aliywai kuwa na akili kama Maria Sarungi,huyu hapa kamtaja Makongoro Nyerere Wa NCCR mageuzi, Sasa yu wapi?

    Taja watoto wa Rais, au waziri yoyote aliywai kuwa kama Maria Sarungi, Hahahaha Kuna kizee kimoja hapa butimba gerezani kimemtaja, Makongoro Nyerere, sijakishangaa maana kilifungwa miaka ya 1992. Kiliacha akiwa na akili Sasa kitakuwa huru kesho sijui kitamwelewa Makongoro? Haya na wewe uliye...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanamke akikuambia "Nipe tu Mimba mtoto nitalea mwenyewe", huo ni mtego, utalea tu

    Makubaliano ya "Nipe Mimba Tu" ni Mtego na Haramu: Inabainishwa kuwa mwanamke akimwambia mwanamume "nipe tu ujauzito kulea nitalea mwenyewe," huo ni mtego na ni haramu kisheria,,. Makubaliano kama hayo yanalinganishwa na biashara haramu (kama ya bangi) ambayo haina uhalali mbele ya sheria tangu...
  20. JamiiForums Tanzania kuna wabunge wanashangaza sana ana kwambia tumalize Gen z ndio kina sababisha uvunjifu wa amani.Hivi ana elewa ilo neno maana mtoto raisi yupo

    Bungeni kuna vituko sana yani ni vilaza wa kambare matopeni. Unaposema Gen Z ni kuingamiza hata uwelewi kuna mtoto wa raisi wako na mwanao. Ulijua ni chama kipya.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…