Mtoto aitwaye Bariki Jimmy amesimulia mkasa wa kuuawa kwa mama yake, Nanyori, ambaye anatuhumiwa kuuawa na baba yake, Jimi Songoyo (37), mkazi wa Kijiji cha Timbolo, Kata ya Sambasha, Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha.
Bariki amesema usiku wa tukio mama yake alikuwa sebuleni kabla ya baba yake...