mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Agosti 4, 2023 Siku ya Kimataifa ya Bia Duniani

    Siku ya Kimataifa ya Bia Duniani ambayo husherehekewa kila Ijumaa ya Kwanza ya Mwezi Agosti, ilianzishwa mwaka 2007 huko Santa Cruz, California, Marekani Siku hii hunganisha Dunia kwa kusherehekea aina mbalimbali za #Beer kutoka Mataifa yote Duniani, ambapo marafiki hukusanyika na kufurahia...
  2. Webabu

    JamiiForums Tanzania Vita vya Urusi na NATO kupanuka mpaka Afrika Magharibi nani atashinda?

    Kumekuwepo na fununu za muda mrefu juu ya kuwepo kwa wapiganaji wa kikundi cha Wagner kilichohusishwa na kiongozi wa Urusi,Vladmir Putin.Hii ilikuwa ni kabla hata ya kuanza kwa vita vinavyoendelea sasa baina ya Ukraine na Urusi. Katika kipindi kifupi fununu hizo ziliongezeka baada ya kutokea...
  3. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Watanganyika wawili ndiyo walikuwa na shahada ya kwanza mpaka kufikia Desemba 9, 1961

    Habari ndio hiyo wakuu, Mpaka Tanganyika inapata uhuru wake mwaka 1961, ni wananchi wawili tu walikuwa wamesoma kwa kiwango cha shahada ya kwanza(Degree). Wa kwanza alikuwa ni Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye alikuwa ni Rais wa kwanza na baba wa Taifa. Mwalimu Nyerere alikuwa na...
  4. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanashauriwa kukaa kimya kuhusiana na mkataba wa DP World mpaka pale Serikali itakapotoa ufafanuzi

    Watanzania wanashauriwa kukaa kimya kuhusiana na mkataba wa DP World kwasababu kauli zao hazina staha, hazifuati taratibu za kisheria katika uwasilishwaji wake hivyo ni sawa na kelele na usumbufu kwa wanchi hivyo basi hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa wale wote wenye nia ya kuikashifu...
  5. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Hii ngoma nimeisikiliza leo kutoka Moro mpaka Dar, inahamasisha na kutia hasira za kupambana, Isikilize !!

    Ni ngoma fulani hivi ina mdundo wa pekee niliokuwa nausikia kwenye spika za gari yangu, kubwa zaidi ni uzuri wa mirindimo ya vinanda uliokwenda sambamba na sauti za wasanii hawa zilizobeba ujumbe fulani very inspirational(wale wapambanaji wataelewa nachomaanisha); Ngoma inaitwa HAYATABIRIKI...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Kutoka chuo kikuu hadi kuuza dagaa

    Habari yako mwanajamii, nina imani ulipo unaendelea vema, kama haupo sawa Mungu akutangulie katika jambo lako. Leo tena nimepata muda wa ku-share vitu nilivyopitia katika maisha yangu. Mimi ni mzaliwa wa Nyanda za Juu Kusini (Songwe -Mbozi) nimesoma shule ya primary Songwe Mwaka 2008 na...
  7. Mfyuu Fuata Yako

    JamiiForums Tanzania Hodi mpaka ndani

    Naombeni tofali tusaidiane kujenga nchi yetu. Ova.
  8. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Hivi Kajala na Jonas Mkude watafanya mapenzi yao ya siri mpaka lini?

    Kajala na Jonas wanajisumbua tu kujificha na penzi lao la wizi wizi . Hilo penzi lao watu tunalijua kitambo wenyewe eti wanadhani wanafanya siri 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Halafu mbaya zaidi Kajala alianza ku date na Mkude kipindi ambacho yupo na Harmonize ,halafu sasa Harmonize na Mkude walikuwa ni mabest ...
  9. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Naamini mshahara umeongezwa sema huwezi kuona kwa macho ya kawaida ni mpaka ufafanuzi utolewe

    Siamini kama raisi atamke jambo kwenye mei mosi halafu lisitekelezwe. Kwahiyo naamini kabisa Kuna nyongeza isiyoonekana kwa macho haya ya damu na nyama, kwa hivi nategemea ndugu Gerson Msigwa atakuja na ufafanuzi sooon kuelezea namna nyongeza hii ilivyo, Niwasihi watumishi tuendelee kuchapa...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa serikali 3, watumishi 0. Mpira umebaki dk 7

    Ngoja kwanza nicheke Ahahahahahah
  11. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanawake wa sasa hawakupi msaada mpaka alale na wewe kwanza

    Nimesikitika sana. Huyu dada tupo naye ofisini. Sasa nilipungukiwa tu vicent kadhaa kwa ajili ya kuongezea kununua shamba sehemu fulani. Nikamwambia aniazime nijazie ntamrudishia baada ya week. Akaniambia sawa niende nikachukue kwake Mbezi jana jioni. Nimeenda tukapiga stories na kupata msosi...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Nilichezewa na wanga kijiji cha Chiuta mpaka wachawi wenyewe wakawa wananicheka tukionana mtaani!

    Harakati za maisha zilinifikisha kijiji kinachoitwa Chiuta huko mkoani Lindi. Kijiji kipo eneo fulani ndani na uwanda wa juu (Makonde plateau) kama unaelekea Tandahimba ukitokea mji wa Mtama (kwa watoto 😆😆😆). Miaka yangu michache niliyoishi kule nikifanikisha jambo fulani hivi, aisee...
  13. Geofrey P Buchard

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa aliyefanikiwa kutuma maombi HESLB anielekeze

    Kwa ambae amefanya maombi ya mkopo mpaka mwisho mwaka huu 2023 HESLB. Atuambie amefanyaje maanake hii system mpya hatuielewi.
  14. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma wakimaliza utumishi wa kisiasa warudi kwenye ajira zao mpaka watakapostaafu

    Kuna sheria ya utumishi wa Umma endapo mtumishi akitoka kwenye ajira yake na kuteuliwa kwenye nafasi kisiasa hata kama bado haja staafu hawezi kurudia ajira yake. Miezi kadhaa kuna mabosi wa Chama cha Walimu walikataa katakata kutoka kwenye ajira zao na kwenda kwenye teuzi. Mimi binafsi...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hatutaki Kutangaza Kauzwa mpaka atujazie Uwanja tarehe 22 July, 2023 kwani tukitangaza sasa Watu hawatajitokeza

    Kwa hii Mbinu Jezi #6 FC nawasifu hakika Marketing mnaijua kuifanya vyema. Mlianza kwa Kumvalisha Jezi yenu mpya ya 'Magemu Magemu' ili Kuwaaminisha Mashabiki. Wafuatiliaji wa mambo tunajua kuwa tayari ni DONE DEAL Uarabuni ila mmeuchuna Kutangaza na mkalianzisha la Chama ili Kufunika bado...
  16. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia mpaka sasa hajaongea na waandishi wa habari kuhusiana na sakata la Bandari?

    Ni zaidi ya mwezi sasa hili suala la bandari limeendelea kuwa gumzo, kinyume na matarajio yangu! Mwanzoni nilidhani lilikuwa ni upepo tu upitao kama yalivyo masuala mengine. La hasha. Haijawa hivyo. Kila kunapokucha, gumzo la bandari zetu ndo linatawala vinywa vya wananchi. Hali hii...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi Arumeru wakosoa maji kwa miaka 48 na kupelekea kupata magonjwa ya milipuko

    ADHA ya kukosa maji ya bomba kwa miaka 48 katika Kijiji cha Karangai, Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, imesababisha baadhi ya wakazi wake kuugua na kulazwa hospitalini kutokana na tishio la magonjwa kama vile amoeba, kichocho, typhoid na kuhara.
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Inashangaza mpaka Mkurugenzi wa Bandari anasema tunafanya kwa hasara na bado Mbarawa yuko ofisini

    Mbowe ameyasema katika mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari akieleza juu ya Maazimio ya Kamati Kuu juu ya DP World kwamba, katika watu wanaoamini kuwa anatakiwa kujiuzulu ni Mbarawa. Na kusema inashangaza mpaka Mkurugenzi wa bandari anasema jamani sisi tunafanya hasara sana, na bado Mbarawa...
  19. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Wanaume walalamika kurukishwa kichurachura ili wapewe tendo la ndoa

    WANAUME WALALAMIKA KURUKISHWA KICHURA CHURA ILI WAPEWE TENDO LA NDOA Baadhi ya wanaume wamelalamikia kunyanyaswa na wake zao kwa kupewa unyumba kwa masharti ikiwemo kuwataka kuruka kichura-chura kuzunguka kitanda ili kupewa haki Yao hiyo. Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Mtaa wa Namkuku...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Umepitia/Unapitia changamoto gani tangu umalize chuo mpaka sasa?

    Kama binadaamu kuna wakati mtu unapitia magumu mpaka hujui nani wa kukusaidia hata kimawazo. Leo nimeanzisha thread hii ili tushare mambo au changamoto mbalimbali ambazo tunapitia sisi viumbe wa Mungu. Orodhesha changamoto na jinsi ulivofanikiwa kutatua ili umsaidie mtu mwingine huko aliko...
Back
Top Bottom