mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Messi aendelee kupewa Ballon d'Or mpaka pale atakapoamua kuacha kucheza soka ni aibu kumpa mtu kama Dembele ile tuzo

    Mimi sina mengi sana kwa namna ya uchezaji wake ni dhahiri kwamba hakuna mtu yeyote kwa soka la sasa kumlinganisha naye. The real GOAT
  2. JamiiForums Tanzania Watoto wakinondoni hivi huyu dotto magari anataka tuchafue mpaka kituo cha ostabey polisi leo anajiona mwenye nchi.

    Mnafaili mengi naye ila mnapompeleka kuna siku wana anawauza tena anawauza kwa kupenda sifa. Siku zake zinakaribia sio kwenye kutetea CCM na utawala wake ila hapo hapo mwambie hisa tambuu anaweza kumponza.Huyu dotto magari sijui kama anaelewa kuna mafia na mafia wanamuangalia hapo alipo
  3. JamiiForums Tanzania BAKWATA SAA ZINGINE WANATIA AIBU MPAKA BASI . Inamaana suratul hujurat aya ya 6 hamuijui???

    Kufuatia suala la sheikh Walid km kawaida yao wamekurupuka km wanavyokurupuka kwenye muandamo wa mwezi Huenda ni maelekezo kutoka juu ila suala la siasa life nguvu kwa muda Haya Allah tabaraka wataala anasema katika verse no.6 katika suratul hujurat kama ifuatavyo يَا أَيُّهَا الَّذِينَ...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Sikiliza Chawa huyu, mpaka inatia kinyaa!

    Mpaka inatia kinyaa. Linatafuta uteuzi, lakini ukweli linaujua kuwa hizi hela ni za walipa kodi na si za samia! Nshomile takataka
  5. JamiiForums Tanzania Hivi mpaka sasa, bado kuna Watanzania wanaotegemea kuni na mkaa kwa ajili ya kupikia?

    Hivi mpaka sasa, bado kuna Watanzania wanaotegemea kuni na mkaa kwa ajili ya kupikia? Swali hili linaweza kuonekana rahisi, lakini linaigusa moja kwa moja hali ya nishati ya kaya nyingi nchini Tanzania. Katika kipindi ambacho dunia inaendelea kuzungumzia mpito wa nishati (Energy Transition)...
  6. JamiiForums Tanzania Kipi kitatokea endapo Mh Rais Dkt. Samiah asipofanya maridhiano na mtu yoyote mpaka muda wake uishe?

    Naomba mnieleweshe, kwasababu naona kabakiza miaka minne amalize muda wake, mwaka wake wa kwanza umekaribia kuisha hajaenda ziara yoyote nothing new, licha ya kelele zote za watu miaka inazidi kwenda tu, lipo kundi la watu wachache wanaompenda na kumnyenyekea kufa, kwanini hajishughulishe na...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna mambo ya kujiuliza; mpaka Polepole anatekwa inawezekana washiriki waliochangia wakawa hawa.

    Kwangu mimi na amini asilimia kubwa jinsi walivyo mpata pole pole ni mitandao ya simu ndio ilivujisha root trace ya pole pole. Kwa kipindi chote inaonekana kumtafuta waliangalia namba za simu za ukaribu wake na watu wake. Hapa tunaweza kuweka asilimia nyengine waliomzunguka kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Kijana wa kidato cha pili Kenya apigwa mpaka kufa kwenye ugomvi wa kuongoza maombi.

    Ugomvi wa vijana wawili nani aongoze sala au swala katika shule ya Sekondari ya Thika umepelekea kijana Mohamed wa jamii ya Wasomali kufariki baada ya kupigwa na mwenzake vibaya sana.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Heche Aache Janja Janja . Ajibu Mpaka Sasa Amepokea Kiasi Gani Cha Pesa Kupitia Akaunti yake Binafsi na Zipo Wapi?

    Ndugu zangu Watanzania, Kelele za Tuhuma zimemuibua Heche Kutoka Mafichoni. Heche Sasa baada ya Kupigwa kwa kelele na kumtaka ajibu tuhuma za kupokea pesa kutoka kwa Wadau kupitia akaunti yake binafsi ameamua kubadili Gia Angani. Eti sasa anasema wale ambao wangetaka kumtumia Hela kupitia...
  10. JamiiForums Tanzania Mwanaume, tunza pesa yako itakayokulea wewe mwenyewe mpaka mwisho wa maisha yako, mwanamke sio ndugu yako

    Jana jioni niliweza kuwatembelea wazee kadhaa waliostaafu na wengine wafanyabiashara wakubwa kiasi (mitaji yao bilioni kadhaa). Wengine wametelekeza majengo na biashara zao na kuamia mikoa mingine ili kuepuka fedheha aliyoipata kwenye mahusiano kwa mkewe. Wengine wameamua kuoa mara nyingine...
  11. JamiiForums Tanzania Nina stess kali za kuoa mpaka nakonda mwili

    Wakuu habari ya uzima wenu na majukumu ya maendeleo yenu naamini MUNGU anazidi kuwapigania usiku na mchana. Basi twende moja kwa moja kwenye maada,kiukweli wakuu nakabiliwa na stress mpaka kuna wakati nashindwa kutimiza majukumu yangu ya kazi kisa kuwaza itakuaje kuhusu ndoa?,,lini ntaoa kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Tuliomaliza shule ya Chekechea ya Step UP Nursery School ya Sinza miaka ya 90s nadhan mpaka miaka ya 20's. Mpo wapi Tujuane Wadau

    Leo nlikuwa napitia baadhi ya mitihani yangu ya shule ya Chekechea nimekumbuka sana wadau au classmates zangu wa Chekechea katika kindergarten ya Step Up Nursery School, tulikuwa tunavaa shati za pink na kaptura au sketi za light bluu, dah kitambo sana. Binafsi nlimaliza 1997, nlisoma Nursery...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hawa madogo wanao endesha Sinoray kwa sifa mpaka mwaka huu unaisha tutakua tumefukia wengi sana

    Na huna cha kuwaambia wanajiona wameyapata maisha , hizo sinoray zilizoundwa kwa matembezi ya kawaida wao wanaziona kama XL za mashindano na michezo. Iwe foleni, mlimani, kivukoni, wao ni mwendo mdundo wakijisifu kwa kupangua gia Tukisema tufanya maisha yetu tuachane nao bado sio sawa, kuna...
  14. JamiiForums Tanzania Gari za umeme mtupu ni nzuri ila kwa africa zitusubiri kwanza mpaka tutakapo zikifikia gari za mafuta za mwaka 2026 zikawa kitonga.

    Gari za umeme ni nzuri na hazitumii mafuta ni kuchaji tu. Kwa africa sio za kuzipokea haraka maana hatuna uwakika wa umeme,miundo mbinu ya vituo vya kuchaji,mifumo ya mazingira ya gari . Hizi barabara zetu nikama unachezea pesa.
  15. JamiiForums Tanzania Kwa wema Gani ulio nao mpaka ukatae kutumia uchawi

    Mijitu mingine hovyo kabisa "utalisikia Mimi siamini katika uchawi". Wakati huohuo linachuki dhidi ya wenzake, lisengenyaji, kahaba lakiume/ lakike, tapeli , jizi , linafiki na lioga likubwa. Ndio manaa binafsi sinaga huruma na ngozi nyeusi wenzangu, hususani wabongo , yaani ukijaa kwenye mfumo...
  16. JamiiForums Tanzania Maskini Ufaransa. Game imeshamalizwa hii. Morocco kapita mpaka sasa tumemaliza mazishi

    Hali iliyopo Kambini ni ya furaha sana maana utabiri unaonesha kuwa Morocco imefanikiwa kumwondoa France katika hatua hii ya Robo Final. Kwa kweli haikuwa kazi rahisi. Mizimu yote ya Kiarabu imeshirikishwa kwa ukaribu sana. Majini rafiki yamekubali kushiriki na kucheza pia. France...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded TANROADS ilipima makazi yetu kupitisha Barabara ya Njia Nne (Kibaha - Morogoro) mpaka sasa kimya, kama mradi haupo watuambie

    Wananchi tunaoishi kando ya barabara kuu kuanzia Kibaha, Mlandizi hadi Morogoro, tumekuwa tukiendelea kuishi kwa hofu kuhusu makazi yetu, kwani mradi wa upanuzi wa barabara hiyo kuwa njia nne unaohusisha ushirikiano kati ya Sekta Binafsi na Serikali (PPP) haujulikani umekwama wapi! Ni miaka...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Wameigeuza 7/7 kutoka kuwa Siku ya Maonesho ya Biashara Mpaka Kuwa ya Maonesho ya Silaha. 8/8 Nayo Wataigeuza?

    Tanzagiza inabadilika kwa speed ya ajabu kupindukia! Watanzagiza walizoea kuiona siku ya 7/7 kuwa siku ya maonesho ya biashara, ghafla imebadilishwa na kuwa siku ya maonesho ya silaha, huku wahusika wakuu wakiwa ni wauaji wanaotumika kudhulumu haki za watanzagiza. Bila shaka wanaowatumia...
  19. JamiiForums Tanzania Mpaka Kenya nako polisi wametanda wakiogopa maandamano

    Leo hapa Nairobi nako maduka yamefungwa na polisi wametanda. Ina maana lugha moja inaanza kutawala kwa wananchi.
  20. JamiiForums Tanzania Usisubiri mpaka brake zi fail kabisa tumia brake fuel tester

    🛑 USISUBIRI MPAKA BRAKE ZI FAIL! 🛑 Linda maisha yako na ya abiria kwa kupima ubora wa mafuta ya breki kwa haraka na usahihi. ✅ Hupima kiwango cha unyevu kwenye Brake Fluid ndani ya sekunde chache. ✅ Rahisi kutumia. ✅ Inafaa kwa magari mengi yanayotumia DOT 3, DOT 4 na DOT 5.1. ✅ Chombo muhimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…