mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hawa jamaa haipiti siku sijakutana na tangazo lao la kazi,huwa wana matatizo gani mpaka wafanyakazi wanawakimbia?

    Wanajiita platinum credit Ikipita siku hawajatoa tangazo la kazi ni bahati sana. Sijajua wana tatizo gani!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni surprise gani uliwahi kufanyiwa na mpenzi wako mpaka leo huwezi kusahau

    Kuna binti kakutana na Surprise ambayo naamini hawezi kusahau kamwe, alikuwa na mpenzi wake ambaye walikuwa na miaka 4 anakwenda mpaka kwa kwao na jamaa akiamini kwa hatua waliyofikia yeye ni mke bado kuthibitishwa tu. Kama kawaida siku moja alikwenda kwa mpenzi wake akalala mpaka asubuhi...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi ni mali ya serikali na kisheria kuanzia kikatiba,polisi mpaka mahakamani.

    1.Uhai. 2.Kinyeo. 3.Sehemu za jinsia KE au Me. 4.Viungo vya pilau vya mwanadamu. 5 .Haki 6. Basic needs 7.Rasilimali za nchi na mali.
  4. JamiiForums Tanzania Pumzi imeshakata kutoka kujivisha Umagufuli mpaka kuanza kukejeri

    Alipopewa tu U-waziri mkuu akajua vile viatu vya JPM au kassimu anaviweza. Mwisho wa siku kawa yule yule na tabia zake. Ile siku anajisema yeye ni kama JPM.
  5. JamiiForums Tanzania Nashauri Jeshi la Wananchi Lilinde Uhai wa Wafuatao Mpaka Awamu Ijayo

    1. Ndugu Mafwele 2. Ndugu Muliro 3. Ndugu Abdul Nalionba sana jeshi letu liwalinde hawa raia kwa wivu mkubwa, ili awamu ijayo watusaidie kuwatafuta ndugu zetu waliopotea. Nawasilisha.
  6. X

    JamiiForums Tanzania Kool & The Gang — Cherish. Mpaka leo sijaona wimbo duniani ambao ni timeless classic kuuzidi

    Hili kundi lina hit na classic songs kama celebration, cherish na fresh Lakini ukiusikiliza wimbo wa Cherish utakubaliana nami ni aina ya wimbo ambao unaweza kusikilizwa na mtu wa miaka ya 80, mzazi wa leo, au kijana wa sasa na bado ukahisi uzuri wake Ilikuwa mwaka 1985 Kool & The Gang...
  7. JamiiForums Tanzania watumiaji wa mirungi wapo wengi na bangi ila mbona mnazibiti wakati mpaka ikulu wanatumia.

    Mimi na cheka sana yani hapa mjengoni na idara kubwa wanao jifanya pombe sio ila watumiaji wa hivi vitu. Kuna mmoja idara kubwa na tajiri na mpenzi wa mirungi anatumiwa sana . Mbona sheria kama hipo kwa maskini sio kwa wao wenye sheria.
  8. JamiiForums Tanzania Mpaka kufika 2030 hatutoboi nawaambia

    Hii mafa JF wekeni pin kabisa.Tokea October 29 2025 mpaka sasa kama shuguli za serikali zimeamisha kuwa shuguli za propaganda,matumizi ya ovyo kwenye mamlaka,mda mwengi kujisafisha na kuumbuka. Jinsi siku zinavyozidi kusogea na hali inavyozidi kuwa ukichaa na damu za watu.
  9. JamiiForums Tanzania Hawa wahuni wamenipiga au ni real? Gari iingie Nchini 2013 mpaka leo iwe na km 150,000 tu. Inawezekana?

    Nikicheck Odo sasa hivi ndo nawaza kuwa hawa wahuni huenda kuna mchezo wamenichezea. Wabongo si watu wa kuaminika. Wakongwe na wazoefu nipeni experience katika hili. Ilikuja bongo kwa ajili ya mradi maalumu then ikawa ya mtú na sasa kavuta. Mtoto hawezi kuiendesha /kuigharamia Thanks
  10. JamiiForums Tanzania Peleka moto, Wapelekee moto mpaka milio wameanza kutoa 🤣

    Wamepelekewa moto kidogo tuu Milio mingiiiii 🤣🤣🤣 Na washukuru wamevunja katiba kuzuia mikutano ya siasa kupitia wizara ya mambo ya ndani
  11. JamiiForums Tanzania Umewahi kukutana na mtu anajibu text message>short, mpaka unashindwa kuendelea!?

    Basi, Haaland ni mmoja wao😆🤣.
  12. JamiiForums Tanzania Kuanzia miaka ya 27 mpaka 31 sijawahi hata kuumwa homa. Hivi kinga ya mwili nayo huwa inaingia "prime" halafu baadaye inaanza kushuka?

    Sio kwamba naiombea homa irudi, Mungu aniepushe nayo mbali. Ila kuna jambo nimeligundua kuhusu maisha ya binadamu, sijui na kwenu ipo hivyo. Nikiwa mtoto wa shule ya msingi nilikuwa mtu wa kuumwa mara kwa mara. Kuna zile siku unaishiwa nguvu kabisa, mwili unalegea, macho yanakuwa mazito...
  13. JamiiForums Tanzania Amroga aliyeshare naye biashara mpaka kuwa chizi

    Kwema-story ya kweli ambayo imenihusu moja Kwa moja na inaniumiza akili mpaka leo 2026 nikimuona jamaa akiwa chizi, cha ajabu akiniona ananifurahia na kutaka tukae tupige story Moderata-kichwa cha habari kiache hivyo hivyo, tafadhali 2014, miezi ya mwanzoni asubuhi nimeamka Kwa kuchelewa...
  14. JamiiForums Tanzania Mwaka 2024 nilipata bahati ya kwenda Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Sikujua kwamba safari ile ingeniachia simulizi ambalo mpaka leo silisahau

    Part 01 Nilipofika Congo, kila kitu kilikuwa kipya machoni mwangu. Ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kufika huko, hivyo kila nilichokiona kilinifanya nishangae. Kadiri siku zilivyokwenda, nilianza kuzoeana na watu wa huko na kuishi nao kama nilivyozoea kuishi na watu Tanzania. Ukaribu wangu na...
  15. JamiiForums Tanzania Tulipofikia ni kama aibu. Tunaweza kununua V8 ila inakuwaje mpaka mnapewa vifaa vya tehema tena laptop?

    Hii nchi sijui tunaelekea wapi.Vifaa vya tehama mpaka mnasaidiwa au maigizo. ---------------- Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepokea vifaa vya kisasa vya Chumba cha Kanzi Data, vifaa vya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), pamoja na miundombinu iliyoboreshwa ya...
  16. X

    JamiiForums Tanzania Marekani imechapika hapo M.E mpaka Maafisa wa Marekani wanashuku kuwa China au Urusi huenda wanasaidia Iran

    Iran yazidi kuimarisha uwezo wa makombora, ikiweka changamoto mpya kwa mifumo ya ulinzi ya Marekani. Iran imeboresha makombora yake ya ballastic missiles kwa kuongeza uwezo wa mambo mawili muhimu: Kasi kubwa (High Speed) Makombora yanapokaribia shabaha yanaweza kufikia kasi kubwa sana...
  17. JamiiForums Tanzania Masoko ya utabiri/betting yamekuwa na faida ya mabilioni ya dola, yemefikia mpaka kutabiri majanga ya asili kama moto wa nyika

    Yanafanyaje kazi? Watu wanaweka pesa/beti kwenye matokeo ya matukio ya baadaye. Mfano: Matokeo ya mechi za mpira Matokeo ya uchaguzi Idadi ya tweets Elon Musk atatoa kwa wiki Shida ilipo sasa: Mabadiliko ya Tabianchi Baadhi ya masoko haya sasa yanaruhusu watu kubeti pia kwenye: Moto wa...
  18. JamiiForums Tanzania Ingekuwa Tanzania mpaka na fiesta ingeanza .Jifunzeni hapa kwa Argentina

    Hii nchi tunaweka nuksi na bado tuna nuski kama Lucas Mwashambwa Tlaatlaah ChoiceVariable Samia atosha tukutane2030
  19. JamiiForums Tanzania Fetty nisamehe sana huko uliko. Kweli naapa sikukusudia kukutendea vile. Mpaka leo roho inaniuma.

    Naumia maana yeye aliamini kabisa kuwa nlimfanyia kusudi. Sikumfanyia kusudi wallah wabillah... Ilitokea tu bahati mbaya. Sikupanga kumkomoa kikatili namna ile. Ni kweli kwa miaka kadhaa alinisumbua hakutaka kabisa kunipa mbusii yake. Miaka 8 kama sikosei. Na alikuwa ananiambia tu Chidy siku...
  20. JamiiForums Tanzania Messi aendelee kupewa Ballon d'Or mpaka pale atakapoamua kuacha kucheza soka ni aibu kumpa mtu kama Dembele ile tuzo

    Mimi sina mengi sana kwa namna ya uchezaji wake ni dhahiri kwamba hakuna mtu yeyote kwa soka la sasa kumlinganisha naye. The real GOAT
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…