BBC.
1. Uhuru Kenyatta (Kenya)
Uhuru Kenyatta Rais mstaafu wa Kenya. Alifunguliwa mashitaka Machi 2011 kwa makosa matano ya uhalifu dhidi ya ubinadamu.
Kenyatta alidaiwa "kulidhibiti kundi la Mungiki" na kulielekeza kufanya mauaji, uhamisho, ubakaji na aina nyingine za unyanyasaji wa...
Mimi naomba tu nchi wafadhali na mashirika ya fedha duniani, waungane wasitishe mikopo na misaada kwa asilimia 100 kama ambavyo umoja wa ulaya teyari umeonyesha mfano.
Uchumi uvurugike, tushindwe kununua hata kilo ya unga na hata mishahara iiwe shida kulipa, halafu tuone kama hivi vyombo vya...
Tahadhari ni muhimu,
Huenda mambo yakawa tofauti zaidi kuliko ilivyokuwa hapo awali.
Huenda hata hiyo tarehe tajwa isifike watu wakashtukiza ,hivyo kama ulikuwa hujajiandaa kimahitaji kikamilifu utakufa njaa.
Nunua umeme wa kutosha angalau wa miezi miwili,
Jaza jaza mavyakula hayo maana kuna...
Kauli za wahalifu halsi zinasema waandamajai walikuwa raia wa kigeni, walikuwa hawaogei kiswahii na walilipwa. Je, vipi kuhusu ndugu zetu waliochukuliwa wakiwa nyumbani na hawa Polisi, nao walikuwa raia wa nje? basi tunaomba muwarejeshe na kutupa takwimu tujue hatunao tena kisha tukazike...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, akiongea na wahariri pamoja na waandishi wa habari, leo Jijini Dar es Salaam, amesema maandamano ambayo waandamanaji wanaenda na silaha (kuwa ‘full armed’) sio maandamano, huku akibainisha kuwa idadi kubwa ya walishiriki...
Hakuna dalili yoyote ya uwajibikaji wala maridhiano mpaka sasa kwa kauli hizi
1. Wahalifu(Waandamanaji) walitoka nje
2. Waandamanaji walikuwa na silaha na wengine walikuwa hawajui Kiswahili
3. Waandamanaji walilipwa
4. Hii ni vita ya uchumi, tunachonganishwa na kuchachafuliwa na watu wa nje...
Habari wadau
Ninachangamoto zifwatazo kwenye Suzuki swift M13a naomba ushauri tafadhari
1.kuwaka kwa tabu Asubuhi mpaka nikanyage accelerator Kwa muda 2.nikiwasha AC gari inatingishika na kuzima nikiwa nimepaki,
3.Engine inatoa ngurumo mkubwa kama land cruiser
4. Inatembea umbali mrefu bila...
Kwa sasa ikipigwa kura ya vyama vinavyopendwa Tanzania, CCM itashika mkia. Huku mitaani chini kabisa mashinani hata wale waliokuwa CCM vindakindaki hawataki kukisikia kabisa.
Kosa la karne mlilolifanya mwaka huu ni kukubali kuzidiwa akili na CHADEMA. Ni rahisi sana kupambana na chama pinzani...
Madowo; Serikali ya Tanzania imekaa siku 25 kimya huku ikiwa idadi ya vifo 29 oct havijulikani ndio wanakuja leo kuzungumzia baada ya CNN.
Madowo anapiga kwenye mshono huko kuelekea hotuba ya serikali kuhusiana nankilichotokea oct 29 swali je kwa siku zote hizo 25 serikali ilikuwa haijui...
baada
cnn
habari
idadi
kimataifa
kimya
kwanza
mara
mara ya kwanza
mbele
mpaka
ndani
ripoti
serikali
serikali ya tanzania
siku
tanzania
vifo
vyombo
vyombo vya habari
wanakuja
Serikali ILIYOMWAGA DAMU za watanganyika, Serikali iliyoua maelfu ya Watanganyika, ili tu kulazimisha mtu mmoja na chama kimoja kisalie madarakani, LEO wanajitokeza hadharani wakijifanya hawajui chanzo cha ndugu, jamaa zetu na wapendwa wetu kuuawa! hii ni DHARAU KUBWA SANA. Haijawahi kutokea...
Mpaka sasa hivi tangu serikali imejichagua yenyewe na kuapishana hakuna hata mmoja aliyekuja mbele ya umma sasa wanaongoza wakina nani ?
Nilisema hakuna hata mmoja kati yao mwenye huo ubavu, na hali ya uwepo wa maandamano yasiyo ya kikomo ndio wanachizika kabisa
Kitakacho tokea sisi...
Kwa wazoefu wa maeneo ya sirari kwenye mpaka wa Kenya na Tanzania, ni kichekesho cha hali ya juu kuuziwa propaganda eti Mwanajeshi wa Marekani amekamatwa akivuka mpaka rasmi wa Tanzania na Kenya akiwa na mabomu.
Yaaani Mwanajeshi wa Marekani aache kutumia porous border ambayo unaweza kuvusha...
Iwe kwa ajali au sababu nyengine yoyote, miili ya wapendwa wetu inakua inaachwa wazi kabisa, unaweza kukuta maiti yupi na boxer tu au yupo uchi, huu sio utu,
Wizara ya Afya na Wizara ya mambo Ndani hivi mnashindwaje kuagiza body bag ambayo bei yake ni chini ya dola moja kule China
Si kila baada ya dili kutiki watu hukutana na kujipongeza kama bingwa wa ligi anavyosherehekea na ashabiki wake baada ya msimu kuisha,
Sasa inashangaza kuona hali ikiwa kimya hadi sasa.
Baiskeli hazionekani tena mtaani na pikipiki pia zimepotea kabisa au pengine mnazipaka rangi upya.
Nye mwalia mbona bado. Nyie kuna video za kikatili nye. Bado za kuzika maiti na kuchoma zaja. Kaeni kwa kutulia. Wao waua walidhani waficha siye tutafichua. Kuna kubwa lake. Hiyo ni rasharasha. Nye Nye Nye watu wabaya nye. Wachoma maiti nye nye kama ndafu nye. Na bado. Nyumbu mwaka wenyu huu...
Nilichogundua kuna videos nyingi sana, lakini zinatolewa kwa mkakati maalum.
Kila wiki, video itatolewa kulingana na ukubwa wa athari inazoweza kuleta kwa hisia za watazamaji, kufikia December zitaanza kupandishwa videos zisizotazamika mara mbili.
Kuna mda mwengine africa is africa stupidy ,Mimi na shangaa mpaka sasa raisi mwenye kuwa na asilimia kubwa mpaka sasa jeshi lipo naye kuwa kupendwa kwake imefikia asilimia yote anaogopa nini ?.
Kauli za kusema kusamehee,katiba ndani ya mfupa na kuomba upamoja kama alikuwa asilimia 98 mbona...
Sijui mambo ya sheriia za kimataifa yalivyo.
Nilikua naomba kufahamishwa, mbona mpaka sasa hakuna Mtanzania au taasisi yoyote ambayo imefungua kesi ICC dhidi ya Samia Suluhu na genge lake la wauaji?
Au utaratibu wa kufungua kesi huko icc ukoje wakuu?
====
Majibu kutoka kwa wadau
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.