mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Serikali ilidhani itafanya "Cheap bargaining" na Lissu huko mbele ya safari kwenye kesi. Mwamba kakaza mpaka mwisho!

    Hii serikali ya Samia ilidhani yatatokea yale ya Mbowe kuwa unaambiwa una kesi ya kujibu kisha unanyoosha mikono na kukimbilia ikulu! Mwamba kasema yupo tayari kufa na hakuna kesi ndogo kwenye kesi ya uhaini. Kasema wazi ni ama una hatia unyongwe au hauna hatia uachiliwe. Hakuna cha mbadala...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ni nini cha zaidi wanacho kipata wamiliki wa ist mpaka wananunua hii gari kwa 20M.

    Kwa miliki wa IST ni kitu gani kinakufanya uipende hiyo gari, tupeni siri jamani 😃
  3. JamiiForums Tanzania Kutoka nembo ya bibi na bwana kuwa nembo ya CCM kuanzia dola mpaka mahakama.

    Hii nembo kwa sasa imekufa sio ya wananchi ni ya CCM. Leo ukitaka kuwa na cheo lazima kuwa CCM
  4. JamiiForums Tanzania Wakenya wameweza vipi kuwa na lipa namba mpaka kwa boda boda na wauza mboga?

    Habarini wakuu? Kuna hili suala la cashless economy ambalo limekuwa likipigiwa chapuo mahala pengi duniani, ila kwa jirani zetu Kenya wameweza kulifanya kwa vitendo! Hawa jamaa ukifika kwao kila mahali kuna lipa namba, kuanzia boda boda, wamachinga barabarani, wauza mboga mpaka daladala! Yaani...
  5. JamiiForums Tanzania Uwezi amini, Bakile siku ya 29/10/2025,alitoka ukonga mpaka ubungo aliona tu ofisi ya mtendaji ikiingia,aliona watu wamelala barabarani akajua wamepum

    Uandishi wa habari, wa nchiii aise aise aise aise Bakile siku ya uchaguzi alitoka barabarani kutoka ukonga banana, mpaka ubungo, alishuhudia ofisi ya mtendaji ikiweka moto tu hakuona kitu kingine. Alipoulizwa hakuona vijana waliouawa, akajibu pengine aliwaona lakini yeye aliona watu wamelala...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kiroho! Roho ni nini? Hakuna aliyejibu mpaka leo!

    Mtaji wa wahubiri wa imani yetu ya Kikristo huo. Ulimwengu wa kiroho, mambo ya kiroho.....blah blah blah. Swali nimeuliza countless times , ROHO NI NINI? An invisible matter? A wave energy? What actually is a spirit? Maana hata hizo atoms,protons, neutrons na subatomic particles hatizioni kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Huyu mtoto ni Full Package. Mpaka naogopa anaweza kuwa jini siyo binadamu

    1. Amefanikiwa kupata makebo ya haja 2. Kiuno yaani laini chepesi 4. Kifuani tanganian zimejaa zimevimba 5. Rangi ya mtume. . Yaani ukimlainisha mpaka unaweza kinga kwenye kibakuli ukaenda kutumia kwa mwingine. Hapa huwezi pata ngoma kabisa. Wa motoooooooooooooo.
  8. JamiiForums Tanzania Tulikaa Kimya kwa POLEPOLE, Tukikaa Kimya kwa NCHIMBI, nawahakikishia, Hii NCHI itaongozwa Kifaulme !! Mpaka Lissu anamuulizia!¡

    Mpaka Lissu anamuulizia, Nchimbi hajaamua kukaa kimyaa kama Machawa wanavyojaribu kutuaminisha. Nilitegemea, Vyama vyote vya Upinzan, viungane, viulize NCHIMBI Yuko wapi??. Dr Nchimbi, alikua ni Makamo wa Rais, kweli Watanganyika tumeshindwa mtafuta Mtanganyika mwenzetu??. Kweli Kanisa...
  9. JamiiForums Tanzania Mpaka Sasa nimezika ndugu zangu mia Moja (100)

    Habari ya asubuhi wakuu! Katika "tembea tembea" nimekutana na jamaa anadai kwamba mpaka Sasa amezika ndugu zake mia Moja. Hivi Kuna Binadamu ambaye Yuko hai na amewahi kushuhudia misiba / mazishi ya ndugu zake kuanzia wa kwanza mpaka idadi inafika 100 na yeye bado Yuko hai?
  10. JamiiForums Tanzania Joseph Glanvill: Majini, Uchawi na mpaka uliopo kati ya Imani na Sayansi

    SEPT 21, 2026: Tanzania Hivi fikiria nyumbani mwako unashuhudia kundi la sisimizi limerindima katika kuta za nyumba na kila baada ya siku kadhaa unawaona tena, je ni hali ya kawaida au sisimizi nao wanahama kama nyumbu? Hapana, sisimizi wakijaa katika nyumba wanaashiria mambo matatu, (1)...
  11. M

    JamiiForums Tanzania DC Shaka awataka Wanakilosa usafi uwe utamaduni wao kuanzia majumbani, maeneo ya kazi, biashara mpaka maeneo ya Umma

    DC SHAKA AONGOZA ZOEZI LA USAFI STENDI KUU YA MABASI KILOSA ~ Wananchi Wajitokeza kwa Wingi, Wampongeza kwa Uongozi wa Vitendo Macho ya abiria na wafanyabiashara katika Stendi Kuu ya Mabasi Kilosa leo asubuhi yaligeuka ghafla kuona jambo ambalo hawakulitarajia. Sio basi jipya lililowasili...
  12. JamiiForums Tanzania HIVI SOKA ALIFANYA NINI MPAKA AKAPOTEZWA?

    Huyu kijana anayeitwa SOKA ALIFANYA jambo gani baya mpaka akauwawa au kupotezwa na wenye mamlaka? Aliwakosea nini? Naomba kufahamu maana binafsi nimemjua baada ya kutekwa na SI kabla ya hapo. Ahsanteni.
  13. JamiiForums Tanzania Je Ni kweli kiredio ka palalaizi miguu, hawezi tembea mpaka abebwe, je chanzo ni yule demu kumuacha au?

    Video inayo sambaza MTANDAONI ina muonesha kiredio akibebwa kukalishwa Kwa wheel chair, tetesi ni kuwa kapalalaizi, sijui ni kiki sijui kweli ila wanadai kweli mana alialikwa juzi Kwa mondi hakwenda. Inasemekana chanzoni either demu kumuacha au either alitapeliwa 60 millions china, Tusbiri...
  14. JamiiForums Tanzania Hakuna maandalizi yoyote; tunasubiri Elnino itikise tuanze kumsifu Mama!

    Hii nchi ya Wagagagigikoko na kusadikika ina mambo ya ovyo sana. Tahadhari ya Elnino imeishatolewa na wataalamu lakini mpaka sasa hakuna mpangomkakati wowote wa kitaifa ulioweka na serikali kudhibiti au kupunguza maafa yatakayotokea. Wahusika wanaendelea tu na ratiba zao kana kwamba hakuna...
  15. JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Meru (Meru DC) haijawalipa pesa ya kujikimu Walimu ajira mpya wa mwaka wa fedha 2025/2026

    Halmashauri ya Meru (Meru DC), Mkoani Arusha, inachelewesha malipo ya pesa za kujikimu kwa walimu walioajiriwa katika Mwaka wa Fedha 2025/2026. Walimu tumekuwa tukifuatilia malipo tangu Januari hadi sasa, lakini tumekuwa tukizungushwa bila kupewa maelezo ya kueleweka. Tunaambiwa kuwa fedha hizo...
  16. R

    JamiiForums Tanzania By any stretch of imagination, hakuna cross examination ambayo mpaka sasa imefanikiwa to implicate Lisu with treason accusations facing him!

    Sana sana alichokifanya jana Katuga ni kutoa siri za Heche za mambo yake ya fedha na biashara. lakini cross examination yake haijagusia lolote kumuingiza Lisu kwenye hatia ya Uhaini. Lengo lake na CCM ni kumfanya Heche achukiwe na wana chadema kuwa anaiba hela za chadema. Ikumbuke kuwa Hche...
  17. JamiiForums Tanzania Labour Care Guide (LCG) ina mapungufu , sijui kwa nini mpaka leo hata WHO wamekalia kimya

    Wataalamu wa afya wamehama kutoka kwenye Partography na kuhamia kwenye Labour Care Guide kama maboresho ya ku monitor Labour process mpaka pale mama anapojifungua ili tu kuhakikisha mama na mtoto wote wanakuwa salama . Lakini cha kusikitisha ni kwamba hii LCG binafsi nimeshaona mapungufu...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Nchimbi mpaka leo hajaenda kizimkazi kutoa pole

    Machawa wanadandia kiki za kuuliza Chadema. Je makamu mstaafu Dr Mchimbi ambaye aliwahi kuwa katibu mkuu mbona mpaka leo hajaenda kutoa pole. Hilo ndilo swali la kujiuliza mwezi mmoja tu alikuwa msaidizi wa Raisi yuko wapi? Tunajua hayuko busy na kazi
  19. JamiiForums Tanzania Ded-Kilindi Tanga amnyanyasa mwalimu mpaka aache kazi?Mh.Waziri mkuu ingilia kati suala hili.

    Habari za jioni wana jamiiforum. Kwa mwenye ushauri na njia za kumfanya mwalimu huyu aondokane na KERO inayomtesa atoe ushauri hapa. Kuna mwalimu mmoja pale Kilindi Tanga alikwenda kumripoti mwajiri wake Dodoma tamisemi mwaka 2024 kutokana na mwajiri kutomlipa haki zake mbalimbali.Kuna pesa za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…