mkono

Nimrod Elireheema Mkono (born 18 August 1943) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Musoma Rural constituency since 2000.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2020 Samia Suluhu awataka CCM Wilaya ya Kigamboni kuacha nongwa, kuvunja makundi na kuwaunga mkono Wagombea walichaguliwa kwenye Kura za Maoni

    Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan, amewataka wanachama waliojitokeza kuwania nafasi za Ubunge na Udiwani wasikisuse chama baada ya kushindwa katika kura za maoni. Mama Samia amesema hayo leo Septemba 8, 2020 wakati akihutubia wananchi wa Kigamboni...
  2. W

    GE2020 Tundu Lissu amuunga mkono Maalim Seif Urais Zanzibar

    Ndugu zangu, Baada ya kuusoma upepo Zanzibar Lissu abadili gia angani badala ya kumnadi mgombea urais wa CHADEMA amemnadi Maalim Seif. Muda unatoa majibu sasa.
  3. T

    GE2020 Upinzani ni sera mbadala, si 'kuunga mkono juhudi'

    Kumekuwa na wimbi kubwa la watu wanaoelekeza mashambulizi kwa upinzani, hasa mgombea wa CHADEMA, T. A. Lissu. Katika mazingira ya uchaguzi ambapo chama kimoja kinaomba kura kurejea madarakani (chama tawala) na vyama vingine (vya upinzani) vinatafuta kukiondoa madarakani chama tawala, ni udhaifu...
  4. K

    GE2020 Mkono wa beberu Amsterdam, wapinzani kushindwa kuungana umesababisha CCM kukosa upinzani madhubuti

    Ndugu Watanzania wenzangu. Kipekee napenda kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kuiona tena siku ya leo. Baada ya kuangalia na kutathimini mwenendo wa kampeni zinazoendelea kwenye vyama vyote, huku nikirejea kampeni za 2015, ni dhahiri kuwa uchaguzi wa mwaka huu, 2020, Chama Cha Mapinduzi...
  5. R

    GE2020 Ukimya wa Dkt. Slaa na Edward Lowassa wakati huu wa kampeni ni kumuunga mkono Tundu Lissu Kimya kimya?

    Wakuu nimetafakari kwa kina jinsi huyu mgombea wa CCM kwa ngazi ya Urais alivyotengwa na watu makini na wenye mvuto katika siasa za Tanzania hasa aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA na sasa Balozi nchini Sweden Dkt. Slaa na aliyewahi kuwa Luten Kanali Na waziri Mkuu Mstaafu Edward Ngoyai...
  6. Leon Spinks alifungwa mkono wa kushoto ili apambane na Mohammad Ali?

    Kuna story za kitoto mida ya miaka ya nyuma huyo mwamba alikuwa na nguvu mpaka Mohamed Ali aliomba afungwe mkono wa kushoto. Nilisikia alifungwa mkono wa kushoto, alivyo fungua alivunja nondo ya ring. Kuna ukweli hapa?
  7. GE2020 Kulikuwa na ulazima gani kununua ndege za kibiashara kwa cash kuliko kununua matrekta na kuyagawa kila kijiji ili kulitupa jembe la mkono?

    Binafsi nimewahi kupanda ndege mara moja tu ukubwani na utotoni sidhani kama nimewahi kupanda. Nililipa 120k tu kwenda Mbeya na kurudi kwa Fast Jet 2015 kabla midege yetu haijapata sifa hizi. Sasa hizi ndege zimeleta faida kwa kundi lipi kama tangu awali kabla ya ujio wa haya ma bombardier na...
  8. M

    GE2020 Tarime Mjini: Jackson Kangoye ampa masharti kumuunga mkono Kembaki, amtaka amrudishie gharama alizotumia kwenye kura za maoni

    Katika hali ya kushangaa, jana Jackson Kangoye alimuita Michael Kembaki na kumpa masharti ya yeye kumuunga mkono katika uchaguzi mkuu ngazi ya ubunge katika Jimbo la Tarime Mjini. Jackson alimpa masharti Kembaki ya kwenda yeye binafsi bila wapambe wake. Lakini Kembaki alipokwenda akimkuta...
  9. GE2020 NEC imemteua Bernard Membe kugombea Urais na Omary Mohamed Umakamu wa Rais kupitia ACT-Wazalendo

    Benard Membe na Makamu wa Rais (wagombea) wa ACT-Wazalendo wamekidhi vigezo vya kuteuliwa na kugombea. Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Bernard Membe kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Omary Mohamed kuwa mgombea wa...
  10. K

    Naomba msaada wa tatizo la maumivu makali ya mkono

    Natumai wazima humu ndani, Naomba ushauri, mama ana maumivu makali hasa usiku ya mkono mmoja wa kulia mpaka begani. Tulienda hospitali kupiga xray hakuna tatizo, tulipewa dawa za kuchuwa tu, ila naona hali haibadiliki, tumuone mtaalam wa nini?
  11. B

    Ni ukomavu wa kisiasa m-CCM kuwatia shime upinzani

    Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. Inavutia Colin Powell a staunch republican 'kum' endorse Joe Biden a staunch Democrat kwenye uchaguzi ujao: Colin Powell: 'Biden will be a president we will all be proud to salute' Jamani eeh upinzani si ugomvi. Hata huko CCM kutoa...
  12. Kilimanjaro: Madiwani waliounga mkono juhudi na kuangushwa na wajumbe warudishwa kwa wingi. Wapo walioshika mkia lakini jina limerudi

    Hatimaye sasa imejulikana kwanini CCM walichelewesha kutangaza majina. Waliounga juhudi na kuangushwa vibaya na wajumbe wa CCM wamerudishwa kwa wingi ili wakawe wagombea. Mfano zipo kata unakuta muunga mkono juhudi alipata kura 12 na akawa wa mwisho na mshindi ana kura za wajumbe 50 lakini...
  13. Video: Maelfu ya watu wajitokeza Mikumi kumpungia mkono Tundu Lissu akielekea Iringa, msafara ulichelewa kufika Iringa kutokana na kusimamishwa njiani

    Lissu ni kipenzi cha kweli cha watanzania. Usisingizie kuwa umejenga miundombinu huku unakandamiza uhuru! Ni kosa kubwa mno!
  14. J

    GE2020 Mkutano wa Viongozi wa Dini wa kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli kuelekea Uchaguzi Mkuu!

    Karibu. Mkutano uko mubashara kupitia Channel ten kutoka ukumbi wa JNICC na mgeni rasmi ni waziri mkuu mh Majaliwa. Up dates; Kwa sasa mh Majaliwa anahutubia na anajaribu kuelezea kwa kirefu mafanikio ya serikali ya awamu ya 5 Waziri mkuu anawashukuru viongozi wa dini kwa dua zao zilipelekea...
  15. CCM nilikuunga mkono lakini kwa upuuzi huu sasa basi

    Siku chache zilizopita nilitoa maoni yangu kutathmini awamu hii ta tano. Niliandika kuwa pamoja na kuchukizwa na na baadhi ya mambo lakini namuunga mkono Magufuli. Niliandika pia siamini kama Rais anaweza kuyajua mambo yote ya moja kwa moja pale anapoingia madarakani, mambo mengine hujifunza...
  16. Magufuli nakuunga mkono lakini kuwa makini kwenye kipindi chako cha pili

    Wana jamiiforum leo nimeona nitoe tathmini yangu ya Rais Magufuli na kipindi chake cha kwanza cha uongozi. Najua wengine mtachukizwa na haya ninayoyaandika lakini nimeona ni muhimu kutoa maoni yangu. Mpaka sasa kwa watu waliosoma maoni yangu watagundua kwamba nilikuwa nikimsifia Rais wetu pale...
  17. T

    GE2020 Umoja wa wanafunzi TAHLISO wamuunga mkono Magufuli

    Kuna member mmoja alidai wanafunzi wote wanamuunga mkono Lissu, lakini ukweli wenyewe ni huu hapa.- Wanafunzi wametoa msimamo kuelekea uchaguzi Mkuu 2020, Msimamo wao ni kuwa wanaungana na watanzania wote wenye mapenzi mema kumuunga mkono Rais John Pombe Joseph Magufuli
  18. J

    GE2020 Zitto usijidanganye, Membe kaja ACT-Wazalendo kutafuta Urais siyo kumuunga mkono Tundu Lissu

    Dhambi nyingine ni za kujitakia tu, KC Zitto unaamini kabisa BKM amekuja ACT wazalendo ili amuunge mkono mgombea wa CHADEMA? Hiyo unaweza kuwadanganya watoto wadogo lakini sisi tulioshiriki uchaguzi mkuu wa mwaka 1985 kamwe huwezi kutulaghai, tunakumbuka mzee ruksa alivyokomaa na kutinga...
  19. Kwa hili naomba mniunge mkono ndugu zangu

    Jana ilikuwa nikamle msichana mmoja ambaye nimemfuatilia muda mrefu sana. Basi tukapanga kila kitu na kukubaliana kuonana lodge moja hivi kijitonyama. Imefika mida nikatoka mapema job saa 7 nikale mzigo. Njiani nikawaza, bajeti ilikuwaTsh. 100,000 room 50,000 matumizi 50,000. Nikiwa njiani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…