Mzuka wana j.f Miaka 2 iliyopita nilianza mahusiano na dada ambaye tunafanya naye kazi sehemu moja, ilikuwa kama utani lakini nilijikuta nampenda. Mke wangu naye ni mfanyakazi, tunaenda kazini pamioja ila nilikua nampitia huyu dada.
Baada ya kuanza naye mahusiano, alianza kumuonyesha mke wangu...