The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.
MKE WANGU AMEJIFUNGUA MTOTO WA KICHINA NA SISI WOTE NI WA AFRIKA TENA WEUSI.
Kaka habari yako ndugu yangu, mimi umenikuta msala tena mzitoo, msala wa aibuuu kaka nimevuliwa nguo!!!! Mimi na mke wangu tumekuwa kwenye mahusiano kwa mda wa mwaka sasa, yani ndoa yetu ina mwaka mmoja...... sasa...
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 35. Nina mtoto mmoja na nimfanya biashara wa mitumba.
Napatikana Mwanza Ilemela, natafuta mke wakuoa kwa ambae yupo tayari tafadhari tuwasiliane DM ipo wazi. Umri wowote unaruhusiwa mradi uweserious
Kila nikitoka home nikirudi,huyu mke wa mpangaji mwenzangu ananiomba zawadi.
Nikasema ngoja nimtege kidogo,jioni hii nimepita duka flani la nguo za kike nikanunua chupi za kike kama 3 hivi ,nimefika tu home naingia getini nashangaa mtu ananiulizia zawadi zake,nimetoa mfuko nikampa
Nikamwambia...
Habari
Jina - Brighton
Umri - 39
Urefu - 5.5ft
Dini - Mkristo
Damu - group o
Pombe- sinywi
Rangi- maji ya kunde
Kazi- Nimejiajiri
Naishi- Nyanda za juu kusini
Maono/ndoto - nikukua kimaisha
Sofa za mwanamke naye mtaka.
Umri- 35nakuendelea
Kabila - lolote
Dini - mkristu
Kazi - yeyote...
Mtangazaji wa Clouds FM, Samuel Nathaniel Sasali akielezea sababu za kwa nini huwa haposti sherehe anazosherehesha.
Pia soma
~ Ma-MC wanaosambaza picha za Watu bila ridhaa waonywa
~ Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi: Ukitumia taarifa bInafsi za mtu bila idhini yake Faini Tsh. Milioni 100
~ Ijue...
Mke / girlfriend wako kakwambia huwezi kumridhisha sababu ya matatizo uliyonayo kiafya aidha, jogoo hapandi mtungi, kisukari, kuwahi kumaliza, kutoweza kurudia tendo, uume ulioingia ndani, n.k.
Siku ukigundua kachepuka, una nguvu za kumwambia "WHY ?"
Mimi ni mwanaume mpole, mnyenyekevu, nipo kwenye umri wa miaka 40 ya awali (early 40s). Natafuta mwenza(mwanamke) wa maisha kwa ajili ya uhusiano wa kudumu unaoelekea kwenye ndoa. Ninathamini upendo wa kweli, uaminifu, na ukuaji wa pamoja.
Kuhusu Mimi:
Ni mwanaume ninayejiheshimu na pia ni mtu...
Kuliwa mke ni sawa sawa na kuingia kwa dharau katika banda la ng'ombe la mkurya au maasai na kuchukua mifugo yake alafu unajitapa kijijini kuwa ulimuweza na hajakufanya lolote
Ishu ni kuwa mke anauma, sio kwa sababu eti mwanaume anampenda sana bali ni "dharau kuu juu ya himaya yake, ni kama...
wanaomendea wake / madem wa wanaume wenzao hawajawahi kukosekana kwenye mji wowote lakini mikoa hii angalau kuna kuheshimiana,
MARA
MWANZA
RUKWA
KIGOMA
IRINGA
Habari zenu wakuu, nisiwachoshe sana ngoja niende Moja kwa Moja kwenye maada.
Mimi na mke wangu tangu tuoane hatujawahi kuwa na dada wa kazi nyumbani zaidi ya miaka 6 sasa.
Mwishoni mwa mwaka 2024 mke wangu aliomba atafute dada wa kazi ili awe anasaidia kazi za nyumbani kwasababu yeye anatingwa...
Wakuu
Kama mnakumbuka niliwahi kuleta Uzi unaohusu kuwa nilienda kuchumbia, binti akanikubali ila wazazi hawakukubaliana mahali so zoezi halikufanikiwa
Baada ya muda kidogo binti akawa ananipigia simu anadai kuwa licha ya wazazi kua hawakuelewana anataka aje kwetu kuolewa no matter what...
Maisha yana mitihani na mikasa yake kila kukicha na leo imekuwa zamu ya Kijana Philemon ambaye mwaka 2019 aliamua kuondoka nyumbani Kigoma na kuja Dar es salaam kujitafutia maisha ambako siku moja akiwa kwenye Stendi ya Mabasi ya Makumbusho alikutana na Mwanamke aliyempenda na kufunga nae ndoa...
Huenda jamaa kamuua mke wake.
Na hii story ametengeneza kama Alibi.
Ushauri: Ahojiwe vizuri, anaweza akawa anajua mke wake yupo wapi.
Thank me later 🙏🙏🙏🙏
Hell
Hivi unaweza vumilia hili suala ni mke wako kisheria umetoa mahali bado ndoa ya kanisani tu ila kisheria ni mkeo mna mtoto mmoja baada ya miaka miwili mkeo anapata mimba na wewe unajua maana amekufahamisha then gafla tu anaumwa kumpeleka hospital Dr anakwmbia alikunywa dawa za kutoa mimba...
SEHEMU YA KWANZA:NAREJEA TZ KUTOKEA MASOMONI.
Paa,natua Dar kutoka nje ya nchi nilipokuwa nasoma shahada ya kwanza.Nilifikia nyumbani kwa kaka yangu ambae alikuwa mtu mzima sana yaani umri ulikuwa mkubwa sana tu.
Yeye na mkewe walinipokea kwa furaha kubwa sana.Akaniuliza kuhusu mipango...
Maisha yana mitihani na mikasa yake kila kukicha na leo imekuwa zamu ya Kijana Philemon ambaye mwaka 2019 aliamua kuondoka nyumbani Kigoma na kuja Dar es salaam kujitafutia maisha ambako siku moja akiwa kwenye Stendi ya Mabasi ya Makumbusho alikutana na Mwanamke aliyempenda na kufunga nae ndoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.