mke

The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.

View More On Wikipedia.org
  1. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Mke wangu aliniacha na kwenda kuishi X wake, sasa anataka turudiane

    Mke wangu aliniacha na kwenda Kuishi na X wake sasa anataka turudiane? Mwaka 2017 nilimfumania mke wangu na X wake, mwanzo niliona meseji baada ya kumbana sana alikubali kuwa alikua na mahusiano na X wake na kuniomba msamaha, lakini baada ya kama wiki mbili hivi niliwakuta sehemu tena wamekaa...
  2. Se Busca

    JamiiForums Tanzania Mke mmoja hatoshi

    Nimeikuta mahali hii, soma mpaka chini Kisha tafakari. Francis Chacha Wambura Kazi; Mkulima Umri: 98 Wake: 6 Watoto: 47 Wajukuu: 86 Sababu ya kifo: uzee Lazaro Olemgbe Kazi: Seremala Umri: 115 Wake: 11 Watoto: 56 Wajukuu: 132 Sababu ya kifo: Uzee. Mabura Mabondo Matinde Kazi...
  3. Heci

    JamiiForums Tanzania Nauchukia mwezi February, mwezi wa birthday ya mke wangu, mwezi wa birthday ya CCM, mwezi wa Valentine's Day

    Huu mwezi sipendi kabisa. Nimetoka kulipa ada ya watoto watatu,mwezi uliopita January. Inaingia February inaanza na siku ya CCM, mkosi namba Moja tarehe 05/ Feb. Inafuata birthday ya mama watoto, she is very much demanding, yaani kwake birthday yake ni kama kamungu kake kadogo, utake usitake...
  4. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mwanamke yeyote ambae ni mke wa mtu anapoamua kuchepuka ni Ishara kuwa yuko kwenye hatua za Kufubaa

    Mwanamke makini anaejitambua na mwenye mvuto na vionjo vitamu hawezi kuchepuka. Ila ukiona anachepuka ujue ndio basi tena ashakuwa scraper usimshangae. Pang Fung Mi
  5. B

    JamiiForums Tanzania Anaomba ushauri kila akifanya tendo la ndoa na mke wake, anachoka sana tofauti na "akichepuka"

    Habari wana nzengo, natumaini wote mko vizuri. Ninaye mwanangu mmoja anaomba ushauri kila akikutana na mkewe anachoka kupita kiasi kulinganisha na akikutana kimwili na mwanamke mwingine. Anasema hii changamoto imekuwepo kwa miaka 10 sasa toka waoane. Mwanzoni alikuwa anafikiri labda changamoto...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Hivi unamuitaje mpenzi au mke wako mama?

    Kuna kitu ambacho sitakielewa hapa duniani basi ni hii tabia ya wanaume kuwaita wapenzi wao au wake zao mama! Hivi mpenzi wako anaweza kuwa mama yako kweli? Mtu ambae unalala nae uchi na mnamaliza staili zote za mibinuko unamwita mama? Au mimi mshamba? Hii ni heshima au ndio mapenzi? Na nyie...
  7. Raia mpya

    JamiiForums Tanzania Je, kutafutiwa mke wa kuoa ni vibaya?

    Ndugu zangu najuabsi jambo geni ila kwa dunia ya sasa hivi watu watakuchukuliaje ikiwa unataka kuoa ila wa kumuoa humuoni ukaomba msaada kwa ndugu wakutafutie, je kuna ubaya? Upi mtuzamo wako kwa kijana wa namna hii?
  8. T

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimepata mchumba Mzungu, Namuoa kama mke wa pili na amekubali

    Helooo, Jf, Heloo Tanzania hatimae nimeopoa manzi ya kizungu, yaani ni full mahaba in the house. Sasa namuoa kama mke wa pili na ameridhia kazi kwenu na nyie mtafute kama wanapatikana kirahisi.
  9. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Kaka yangu anatafuta mke wakuoa

    Awe muislam . Awe anajua dini . Apende kusali, Awe anajali na awe ametulia . Awe mrefu wastani. Elimu awe nayo awe anajua lugha ya kingereza kaka yangu anakijua vyema . AWe anajisitiri . AWe anakazi nzuri. Mawasiliano njo Dm nikupe nipo serious . Miaka 27 mpaka 33 asiwe na mtoto . good night...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya kupambana na mke wangu anayeninyanyasa kwa sababu anataka kutumia sheria kunifilisi

    Wadau, nina mke niliyeanza naue mapenzi mwaka 2010 baadaye akaenda kusoma certificate na akamaliza Diploma mwaka 2015. Wakati huo aliniomba nimusaidie karo na matumizi shuleni na wakati walikizo alikjwa anakuja kwako anakaa kiasi na kuondoka. Mnamo mwaka 2016 alipata mtoto akaka kwa shemeji...
  11. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Huko Arusha kuna ndoa imevunjika kisa mke kachora tattoo yenye jina la nabii GeorDavie

    Ule msemo wa mwanamke mjinga huvunja ndoa yake mwenyewe unaendelea kujidhihirisha. Mkoani Arusha kuna mama mmoja mrwmbo kajilipua kuchora jina lanabii GeorDavie begani. Mama huyo mrembo kweli kweli baada ya kuchora tatoo hiyo, mumewe alimkomalia aifute ila akagomaa Baada ya kugoma mume aliamua...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kutafuta mke

    Mimi ni kijana wa kiislamu nina miaka 35 nahitaji mke pia mimi ni mweusi nafanya kazi serikali . Mke ninayemuhitaji awe muislamu kazi sio muhimu awe mweupe na asiwe na mtoto miaka isizidi 30 pia aipende dini na kupenda kuswali. Karibu sasa aliyeko tayari aje tujenge maisha yenye kumpendeza Mungu
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mie nalala chini, mke wangu kitandani

    Nilikua na mpenzi nani asiyemjua mtoto kaumbika utadhani malaika Baada ya miezi kadhaa kupita mtoto wa kwanza kazaa! Mtoto katoka mwarabu akasema kafanana na babu Nikaamua kuuchuna Mtoto wa pili kazaliwa Kafanana na mchina mzee akasema wee hujui tu kafata kwa bibi naibiwa mzee naibiwa Mwenzenu...
  14. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Ana miaka 32 Hana mke Hana mtoto Hana maisha anasema nisioe, kama kuoa ni kutoafanikiwa mbona yeye bado fukara😃

    Unakuta mtu anakushauri oya usioe mpaka ufike 30's yeye wakati ana Zaidi ya 30 hajaoa na maisha magumu vibaya Wakuu hakuna uhusiano wowte wa mafanikio na ndoa kama utapata mtu Sahihi
  15. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ni mpambanaji anafanya biashara mara nyingi anasafiri mikoani kufuata mzigo.

    Kama mwanaume inabidi ujisikie aibu kutoa statement ya namna hiyo sisi graduate wa Cuba tunakuchora na kukuonea huruma jinsi mali yako inavyotafuna bila huruma na wafuatao. 1. Supplier 2. Dalali anayetafuta mzigo 3. Transporter 4. Dalali anayetafuta wateja 5. Mteja Kila trip ambayo mkeo...
  16. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Shinyanga kutafuta mke

    Wakuu, nimekuwa na wazo la kwenda Shinyanga kutafuta pisi moja ambayo nitatulia nayo tuanzishe familia. Unaweza kuniuliza why Shinyanga? Kipindi kile Haji Manara alipomuibua Rushayna, baada ya kugombana naye nakumbuka alisema alimuibua huko Shinyanga. Rushayna ni pisi kwa kweli, naikubali sana...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Pasu kwa Pasu: Shilingi bilioni 318 za Pep Guardiola kugawanywa baada ya mke kudai talaka, Mke ataja sababu ni Pep kuwa busy sana

    Ukose Hela akukatae haupo bize, utafute ela akukatae uko bize Kocha mkuu wa Manchester City ya Uingereza Pep Guardiola ameachana rasmi na mke wake Cristina Serra baada ya kudumu kwenye ndoa miaka 30. Katika talaka waliyopeana mahakamani mke huyo wa Guardiola atatwaa nusu ya utajiri wa Guardiola...
  18. osu2014

    JamiiForums Tanzania Jinsi Mark Zuckerberg alivyopagawa na vazi la Mke wa Jeff Bezos jana.

    Wakati wa sherehe ya kuapishwa kwa Rais Donald Trump tarehe 20 Januari 2025, tukio lililomhusisha Mark Zuckerberg, Mkurugenzi Mtendaji wa Meta (zamani Facebook), lilivutia sana. Video moja ilimuonyesha Zuckerberg akitazama kifua cha Lauren Sánchez, mchumba wa mwanzilishi wa Amazon, Jeff Bezos...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Picha bora kabisa ya mwaka huu mke wa Makamu rais us na wanae wawili

    Tazameni walivyopendeza
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Yakumbuke haya kabla ya kumsamehe mke/mpenzi aliyekusaliti

Back
Top Bottom