Wadau mi ni mtu mzima wa miaka 29,
Kuna binti nilikuwa na mahusiano nae mpaka tukaanza kuishi pamoja.
Kabla ya kuishi pamoja nilimpa ujauzito kwao wakaja kujua, binti alifokewa na kwao walimkataa asiende baada ya kumaliza chuo, Nilimhudumia ujauzito Lakini Mungu akasaidia kwao wakarudisha moyo...
Habari?
Nimeoa tangu 2021 wakaniambia nilipe m 2.7 nikawa nimelipia kama milion moja na sehemu hv, sasa imebaki m 1 lakini hawa bibi zake na wife kila wakikosa ada ya kumlipia mtoto wao au ada ya kulimia wananiijia juu nilipe mahari ambapo na mimi muda huo nakuwa sina hela.
Mi ninavyojua...
Wakuu habar mke wangu usiku wasaa kumi kaamka imemtokea Hali yakutoka maji maji ya njano hivi ukeni bila kujua anaona nguo ya ndani imelowa tu,hii itakua anashida Gani hasa
Wasalamu.
Nilioa mke wangu 2017 ila kukawa na mwanajeshi anamdanganya mke wangu.Mimi ni mwalimu kipato changu ni duni ikafikia hatua mke wangu kamtoa mtoto shule.
Natamani kujiua ila naomba waziri wa ustawi wa jamii Dorothy Gwajma nisaidie.
.Ni mwalimu Wilaya ya Babati shule Ngolei. Ni...
habari zenu,,,
naombeni ushauri wenu wataramu wa afya,, yapata mwezi sasa tangu nianze kuishi nae rasimi kama wana ndoa. amekua akitokwa na damu ukeni kila ninapo shiriki nae tendo la ndoa mwanzozi nilidhani itakuwa ameingia period pasipo kujua na nilipo muuliza alidai nayeye anawaza kama...
Wakuu, habari za weekend?
Usiku wa kuamkia leo mke wangu kanijia na style mpya ya kudinyana ambayo mimi siijui na sijawahi kumuona akiitumia tangu tujuane huu mwaka wa 7. Kikawaida sisi huwa tunatumia style ya kifo cha mende na mbuzi kagoma kwenda, na mara moja moja huwa tunatumia ile ya popo...
Wakuu mko salama
Polepole mmemskiliza.......
Nipo ninaishi na mwanamke wangu sasa ni miaka minne alikuwa ni mfanya kazi wa kazi za ndani hapa dsm kisha boss wake akahamia south africa naye akahamia huko.
Sasa changamoto ninayoiona ni kwamba wakati wa kusex mi naendelea ku pump naye yuko busy...
Habari za masiku wana Jamiiforums
Wanaume tuwe wakali kwa wake zetu yani hizi marathon kila mwezi kuombana ruhusu kisa kwenda Dodoma, Arusha au mwanza kukimbiakimbia bila sababu.
Mambo yanayofanyika uko ni uchafu baada ya marathon kuna kuwa na event sijui party wake za watu wanaliwa mpaka...
Eti wakuu, mimi ni tandiboi wa Malori ya kwenda Congo na Malawi. Sasa baada ya kukaa nje ya Tanzania kwa miezi miwili, juzi nilirudi kusalimia mke wangu na mtoto mmoja.
Kuna jamaa mmoja akatuma meseji katika simu ya mke wangu akamuuliza, "HIVI HUYO MBUZI BADO YUPO?"
Sasa najiuliza, mke wangu...
Mke wangu Mimi nilimkosea kwa kumwambia yeye ni Mfupa na ngozi tu hana nyama kisa ni Mwembamba akaninunia sana mpaka mimi nikaumia nikaona nimefanya Dhambi kwasababu hakujiumba yeye kuwa Mwembamba sana
Tunapendana sana sasahivi hadi ameshasahau lakini tangu juzi ananilazimisha kunyoa ndevu zote...
Mke wangu ni mwembamba sana halafu hata akiniambia nimnunulie chakula gani ili akila anenepe bado hanenepi. Lakini ni msafi sana kuliko mimi
Jana nilimtania tu nikamwambia wewe mwili wako ni mfupa na ngozi tu huna nyama...akanichunia eti halafu akamwambia mamayake. Mama yake akamgombeza...
Wakuu licha ya kumpendea tabia na akili yake ya maisha huyu manzi pia nilimpenda kutokakana na umodo wake yani alikuwa portable mkao wowote anakaa. Sasa naona anavimba kwa kasi ya ajabu kiasi kwamba umbo lake zuri kwangu linapotea na kuwa bonge yaani ananenepeana
Mazoezi ya kutembea anafanya...
Ni miaka minne sasa tangu mimi Zero IQ niamue kuoa ili nitulie kuyajenga maisha,
Miaka hii yote minne nimepitia mengi Of course naweza kusema kwamba nimejitahidi kulea Familia yangu ,
Kwa maana kwamba hakuna Chochote kile ambacho familia yangu imetaka nikashindwa kukileta,
Tatizo kubwa lipo kwa...
Wakubwa, kuna kitu kinaninyima raha sana.
Nikiwa faragha na mke wangu, nikimshika uke ili niuchezee huwa anautoa mkono wangu, kwa kweli hii hali inanisononesha sana.
Nifanyaje wakuu, au nimuache tu?
Ndugu zangu JamiiForums Habari zenu! Nimeona chapisho lenu kuhusu uhamisho, limeniumiza sana ndugu zangu.
Kwa nini nimeumia? Napitia changamoto kama hiyo, mimi pia mke wangu ni muajiriwa (Mwalimu), tangu nifunge naye ndoa Mwaka 2017 mpaka leo (Julai 2025) tunakaa mikoa miwili tofauti.
Hili...
Habari Wana JamiiForums.
Mimi ni kijana mwenye miaka 30 kuna mambo ya kimahusiano yanayonisibu Kwa sasa nadhani yapo nje ya uwezo wangu kama sitapata mshauri mzuri ninaweza nikaenda mlama kama meli.
Twende Kwa mada,kuna binti mmoja miaka mitatu iliyopita tulijikuta kwenye mahusiano ya...
Nilikutana na mke wangu 2018 nilipokuwa kikazi mkoani
Kwa kipindi kile alikuwa na miaka 18, kipindi hicho nina 25, bado alikuwa mdogo hana hata simu, mimi ndie nilimnunulia
meseji anaweza kutuma vizuri lakini mwandiko wake nilipoujua nilipata mashaka kama amewahi kumaliza form 4 lakini hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.