mke wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Mke wangu hana shida mimi kuongeza Wake wengine wakumsaidia. Ila amenipa vigezo vya mke anayemhitaji kama ifuatavyo;

    Habari za leo! Kabla ya kumuoa mke wangu nilimwambia tangu huko yaani hata kabla hatujajuana kimwili. Nikamwambia kwamba sisi Watibeli kuoa wake wengi ni jambo la kawaida. Hivyo ajue mapema. Kama atakubali kuwa na mimi basi ajue hilo. Kama hatakubali kila mtu apite hivi. Nikampa muda wa...
  2. K

    Mke wangu amegundua meseji za mchepuko wangu, nifanyeje?

    Nimeingia kwenye wakati mgumu sana nyumbani na sijui nianzie wapi. Jana nilikuwa nyumbani, nikaacha simu yangu kwenye meza nikaenda kuoga. Mke wangu, kama ilivyo kawaida yake, akachukua simu na kuanza kukagua. Bahati mbaya akakuta namba fulani ambayo nilikuwa nimechati nayo tukipeana miadi —...
  3. Ntemi_Ntale

    Mke wangu anakesha 'Live' mitandaoni hadi Usiku Mnene nikimwambia namhitaji anasema nisubiri amalize kwanza!

    Mke wangu muda wote yuko busy kwenye mitandao ya kijamii. Nikimwambia kwamba namhitaji, ananiambia nisubiri amalize kufanya Live kwanza! Tabia hii ni ya muda mrefu. Ilifika hatua nikamwambia mama yake (mama mkwe) kuhusu mwenendo wa mke wangu. Lakini licha ya kuonywa, bado ameendelea na hiyo...
  4. B Prosper

    Nimempoteza mke wangu kipenzi

    Siku isiyo sahaulika katika historia ya maisha yangu ni pamoja na hii tarehe 6/11/2026 saa 11 alfajiri nikiwa katika hospitali ya litembo, muda na saa ambayo mke wangu kipenzi alipoteza uhai baada ya kupata upasuaji kwaajili ya kuleta mtoto. Ee Mungu nakusihi Ee Bwana wangu ikikupendeza wewe...
  5. A

    Mke wangu anapenda kuniuliza niko wapi, mimi sipendi swali hilo!

    Habari wakuu, Kuna kitu ambacho huwa kinanitatiza kidogo kwenye ndoa yangu. Mke wangu ana tabia ya kuniuliza mara kwa mara niko wapi, nimefika wapi au nafanya nini. Ukweli ni kwamba sipendi kabisa kuulizwa maswali ya aina hiyo, hata kama sina jambo baya ninalolifanya. Ninajiuliza hivi, hata...
  6. K

    Mke wangu anashindia kanga moko muda wote

    Wadau hii hali mpaka inanikera kabisa huyu mke wangu akiwa ndani muda wote anakuwa mtupu tu. Mtoto akienda kucheza na wenzake anavua na kubakia na pichu tu. Binafsi sipendezwi na hii hali nishamwambia aache hii tabia ila hasikii. Muda mwingine umetoka zako kazini mara anakuja kukukalia daaah...
  7. G

    MKE wangu amesema tuachane sababu na mwaga wazungu wengi mpaka kindoo kina jaaa

    Daaaah napitia changamoto
  8. M

    Mke wangu amenibadilikia, anataka talaka (ushauri)....... (Na ushauri wa mdau)

    Habari hii nimeitoa fb, huyu jamaa anatafuta ushauri, ila ushauri wa "Simon" kama utakavyo usoma hapo chini, haukuwa wa KISTAARABU kwa uelewa wangu na kwa utu wangu mimi! Hebu na wewe naomba soma hiyo stori umshauri mhusika na bila kumsahau na "Simon" pia ashauriwe. Niwe muwazi tu mimi...
  9. C

    Mke wangu, Nimekuchoka!

    Wanasema ndoa ni muunganiko wa mume na mke na kuwa mwili mmoja Lakini Baba ndio kichwa cha familia na Ndiye dereva ambaye anaonyesha uelekeo. Haiwezekani tushauriane mara nyingi lakini husikii ninachokwambia. Nilikwambia toka mwanzo wa uhusiano wetu mimi nahitaji watoto 3 tu kwasababu nitaweza...
  10. Masai wa Town

    Hivi Ndivyo Nilivyofanikiwa Kumuacha Aliyekuwa Mke Wangu

    Nasema Kumuacha ni Mafanikio kwa sababu ulikuwa mtiti, kivumbi na jasho😅 Sababu kubwa ya kumuacha ni 1. Alikuwa Hana Siri kabisa. lolote tunaloshirikiana nitalikuta kwa majirani, Wafanyakazi wenzangu na hata Kanisa 2. Alikuwa Mbinafsi sana. Hawazi collectively. Ana umimi muda wote 3. Ana kelele...
  11. Isenye

    Mke wangu ameanza kuvaa chupi aina ya bikini, nilimuonya kabla ila nashangaa amerudia tena

    Jambo Tanzania Miezi kama nane huko nyuma mke wangu alianza kuvaa chupi aina ya bikini,nikamuonya akaacha, Sasa juzi kati naona tena kaanza kuzivaa nimemuuliza anasema ndio fashion ya mjini kwa sasa kwani hata mashosti zake wote wanavaa bikini. Sasa wakuu,binafsi nituonavyo huto tuchupi...
  12. A

    KERO Malalamiko kuhusu kukamatwa kwa mama yangu Buza, bila uthibitisho wa makosa aliyoyafanya

    Jana nilipigiwa simu na mke wangu nikapewa taarifa kwamba mama yangu amekamatwa Buza kwa Lulenge na jiji kwenye eneo lisiloruhusiwa kufanya biashara, japo hapakuwa hata na uthibitisho kwamba anauza bidhaa yoyote. Wakawachukua na baadhi, wengine waliokamatwa wamechukuliwa pesa zao na wengine...
  13. Jannatul Firdaus

    Mwijaku: Mke Wangu Alikuwa Akiniomba Hela Namwambia Sina Anivumilie, Leo Tuna Nyumba Mbili Za Ghorofa

    Mwijaku, amefichua siri ya mafanikio ya familia yake hivi karibuni kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, akieleza jinsi uvumilivu wa mke wake ulivyowawezesha kumiliki nyumba mbili za kisasa za ghorofa. Mwijaku alieleza kuwa katika safari ya maisha yao, mke wake alipokuwa akimwomba...
  14. RRONDO

    Pongezi kwenu Single Mothers

    Today I would like to celebrate single mothers. I may not have been raised by one but the burden of single motherhood is not lost on me. One of my ex is a single mother. She has one lovely boy! From what i see her go through, my admiration and respect for her goes higher each day. Single...
  15. K

    Mke wangu anataka nimsaidie kazi za ndani

    Wadau nimekuja kwenu nikiomba msaada wa hali na mali 1.Anataka nimsaidie kupika 2.Anataka nimsaidie kufua 3.Anataka niwahi kurudi home 4.Ananidharau eti kwa vile sijui kufunga kitanda 5.Anasema wanaume wenzangu mbona wanajua vingi ila mi sijui 6.Anadai hata akiumwa au mjamzito sitamjali...
  16. Spliffcharm

    Tetesi: Mkopo wa 10% Halmashauri Kigamboni: Mke wangu alipangiwa 9.6M lakini mwisho anaambiwa atapewa 3M – Je, hii ni kawaida?

    Habari wakuu, Naomba ushauri kutoka kwa wenye experience na mikopo ya 10% inayotolewa na Halmashauri, hasa wale waliowahi kupitia mchakato huu. Wife ni mmoja wa wanakikundi cha watu watano, na aliomba mkopo kupitia Halmashauri ya Kigamboni. Kwa upande wake, aliomba kiasi cha Tsh 9.6 milioni...
  17. monotheist

    Mke wangu anatokwa na uchafu mweupe kwenye uke

    Hamjambo, mke wangu anasumbuliwa na tatizo la kutokwa na uchafu mweupe wenye harufu kwenye uke na anadai akijichungulia anauona umeganda kwenye kuta za uke nilimpeleka hospital walimpima UTI majibu hana wala hana maambukizi Je hii tatizo linaweza kua PID na kama PID tiba yake ni nini ya asili...
  18. Choosen85

    Nimekuta SMS za jirani kwenye simu ya mke wangu

    Ni kheri wakuu.... Huwa sinaga tabia ya kushika simu ya mke wangu sasa juzi usku niliamua kuishika na kucheck check sms eeeeh nikakuta kuna sms 2 upande wa sent namba ikiwa imeseviwa X. Moja ya sms hzo ilikuwa inasema HATA KAMA NIKIKWAMBIA NAKUPENDA ITAKUWA HAINA MAANA MIMI TAYARI NINA MJI WANGU...
  19. othuman dan fodio

    Mke wangu anapanda sana lifti za magari ya wapangaji wenzangu, mimi sina gari

    Ipo hivi tumepanga maeneo ya ushuhani kidogo hapa darisalama, sasa asubuhi tunavyoenda kibaruani wife huwa anawahi kidogo kuliko mimi. Sasa kila anapotoka huwa namchungulia dirishani namuona akipanda gari la mpangaji mwenzangu kama lifti akielekea kazini na mimi nikitoka napiga kwa mguu mpaka...
  20. P

    ANAANDIKA MKE WANGU KWA HABARI YA MAGONJWA YAKE

    Naomba msaada na ushauri kutoka kwa wataalamu wa afya kuhusu historia yangu ya kiafya. Kwa muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na matatizo mbalimbali ya kiafya. Sehemu kubwa ya maisha yangu nimekuwa nikiumwa mara kwa mara; leo tatizo hili, kesho lingine. Mwaka 2018 nilifanyiwa upasuaji na...
Back
Top Bottom