mke wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Nimeona kitu kwa mke wangu ambacho nilitamani kujua kama ni kweli

    Wakuu wasalaam T.A.M LISSU ndiye mtetezi wa taifa hili na watanganyika kuombewa ni lazima, TUMUOMBEE MBEBA MAONO....T.A.M LISSU. Niliwahi kupata story za watu mbalimbali na pia kuona kwenye porno video kuhusu kusex na mwanamke na aka squirt ( kumwaga maji kama mkojo ) hii siyo orgasm so...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nilivyonusurika kuuawa na aliyekuwa mke wangu kutoka kanda ya ziwa

    Hawa watu kutoka kanda ya ziwa ni wakatili sana hasa hasa wanawake yaani ukitaka kuona dunia chungu au ndoa ni chungu oa mwanamke kutokea kanda ya ziwa aisee mimi niliona cha mtema kuni nusura aniue kisa mali tu ambazo yeye amenikutana nazo aisee kwanza hawa wanawake toka kanda ya ziwa...
  3. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hana bajeti na hajali, anataka tukipata pesa tutumie hadi ziishe

    Mimi na mke wangu tuna miaka minne sasa na tumebahatika kupata Watoto wawili, awali nilikuwa na maisha magumu sana, lakin kwa sasa ipo nafuu siyo kama mwanzo. Changamoto ni kwamba mke wangu yeye yuko bize na pesa tu yaani ku-plan pesa ninayoipata tu-balance tufanye jambo la kutuinua kiuchumi...
  4. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Nilikamata simu ya mke wangu wanachati na mdogo mtu wananisengenya

    Hongereni kwa darasa la sheria kutoka kwa mh. Ndugu T.A.M LISSU. Nipo na mke wangu sasa ni mwaka wa 4 sijwahi mpiga hata kofi maana anajitahidi kwenye utii kwa kweli. Alimleta mdogo wake wa kike huku na alipofika nikaona yupo yupo tu niliamua mtafutia sehemu angalau awe anajifunza ufundi wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anatelekeza chumba chake na kwenda chumba cha mtoto

    Wakuu kwanza kabisa napenda niutangazie umma kuwa bila kulazimishwa wala kushawishiwa nimeamua kwa dhati kutowatetea single mothers kwenye lolote. Acha wapambane na hali zao. Hawa viumbe wana namna nyingi za kukuharibia utulivu. Kuwatetea ni kupoteza muda. Mimi nilivuta single mama mmoja mwenye...
  6. ngara23

    JamiiForums Tanzania Dudu baya amjibu mkewe mkubwa Fela aliyelalamika kuwa mmewe ametengwa na wasanii baada ya kuwa mgonjwa mahututi

    Mapema wiki hii mke wa mkubwa Fela amelalamika kuwa wasanii ambao mkubwa Fela aliwasaidia Sasa hawapokei simu wala kutoa msaada, mkubwa Fela amekosa pesa za matibabu yupo hoi nyumbani kwake hana huduma wala msaada wowote Dudu baya amebainisha kuwa 1. Mkubwa Fela alifanya dhulumu nyingi na...
  7. Wachokonozi

    JamiiForums Tanzania Siku nikimuoa mke wangu

    Nawaza je siku hiyo mke WANGU atajua sijaoa jinsia yake ya kike Wala hajaolewa na umbile langu la kiume? Je atajua umri wangu na wake si kiini chetu, Wala uzuri wake si nguzo yangu ya kudumu? Siku nikimuoa mke wangu sitamvika pete kwanza, nitamvika maswali. Kwasababu ndoa si sherehe ya kupiga...
  8. Grau

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anategemea house girl afanye majukumu yote kisa tu tunamlipa ki 50,000

    Hab
  9. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Guys Neema si mke wangu guys

    Guys Neema hajawahi na si mke wangu guys. Esta luxury tumepoteza mabasi Zaid ya 100 guys. Nampenda Oliver Twiga guys. Analowesha godoro guys.
  10. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anachelewa sana kurudi nyumbani anasema akitoka kazini anaenda kwenye maombi

    Habari za jioni nimekuwa kwenye ndoa yangu yenye miaka 2 lakini miezi ya ivi karibuni mke wangu amekuwa akichelewa sana kurudi nyumbani akidai anaenda kwenye maombi kila siku mara baada ya kazi napata mashaka na hii kauli yake? sijui anachoenda kuomba kila nikimwambia twende wote maombi anasema...
  11. GoLC

    JamiiForums Tanzania Nimeambiwa nikitaka kuishi muda mrefu nisikilize ushauri wa mke wangu

    Tukiwa tunatazama BBC na yanayoendelea kuhusiana na kifo cha Raila, nilijikuta naanza kuhesabu watu mashuhuri waliokufa na kuacha wake zao hadi leo. Nilianza na Nyerere, Kibaki, Moi, Magufuli, Mkapa, Kijazi, Mfugale, Lowasa, Sitta, Mandela, et al. List ni ndefu sana. Ajabu wote hao bado wake...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ananipa mashaka

    Ninahisi mke wangu ni aina ya wanawake ambao upo nae kwenye ndoa lakini na yeye anajenga nyumba yake kwa Siri Niliwahi kumwambia kwamba tufungue biashara na yeye ndie aisimamie biashara yetu lakini alikataa na kusema kwamba anataka nimfungulie biashara yake mwenyewe na sio ya familia yaani...
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Baada ya ugomvi Mke Wangu kabeba kila kitu ndani, kaondoka na Mwanangu wa Miaka 2.5

    Wadau mi ni mtu mzima wa miaka 29, Kuna binti nilikuwa na mahusiano nae mpaka tukaanza kuishi pamoja. Kabla ya kuishi pamoja nilimpa ujauzito kwao wakaja kujua, binti alifokewa na kwao walimkataa asiende baada ya kumaliza chuo, Nilimhudumia ujauzito Lakini Mungu akasaidia kwao wakarudisha moyo...
  14. Grau

    JamiiForums Tanzania Bibi zake mke wangu wakikosa pesa ya kulipa ada wanaanza kutumia mabavu nilipe mahari

    Habari? Nimeoa tangu 2021 wakaniambia nilipe m 2.7 nikawa nimelipia kama milion moja na sehemu hv, sasa imebaki m 1 lakini hawa bibi zake na wife kila wakikosa ada ya kumlipia mtoto wao au ada ya kulimia wananiijia juu nilipe mahari ambapo na mimi muda huo nakuwa sina hela. Mi ninavyojua...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kaamka alfajiri anaona anatoka maji maji ya njano tatizo ni nini?

    Wakuu habar mke wangu usiku wasaa kumi kaamka imemtokea Hali yakutoka maji maji ya njano hivi ukeni bila kujua anaona nguo ya ndani imelowa tu,hii itakua anashida Gani hasa
  16. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mwanaume ninayeonewa na mke wangu, Dkt. Gwajma nisaidie

    Wasalamu. Nilioa mke wangu 2017 ila kukawa na mwanajeshi anamdanganya mke wangu.Mimi ni mwalimu kipato changu ni duni ikafikia hatua mke wangu kamtoa mtoto shule. Natamani kujiua ila naomba waziri wa ustawi wa jamii Dorothy Gwajma nisaidie. .Ni mwalimu Wilaya ya Babati shule Ngolei. Ni...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anatokwa damu kila tukifanya tendo la ndoa

    habari zenu,,, naombeni ushauri wenu wataramu wa afya,, yapata mwezi sasa tangu nianze kuishi nae rasimi kama wana ndoa. amekua akitokwa na damu ukeni kila ninapo shiriki nae tendo la ndoa mwanzozi nilidhani itakuwa ameingia period pasipo kujua na nilipo muuliza alidai nayeye anawaza kama...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kaja na style mpya ya kukulana

    Wakuu, habari za weekend? Usiku wa kuamkia leo mke wangu kanijia na style mpya ya kudinyana ambayo mimi siijui na sijawahi kumuona akiitumia tangu tujuane huu mwaka wa 7. Kikawaida sisi huwa tunatumia style ya kifo cha mende na mbuzi kagoma kwenda, na mara moja moja huwa tunatumia ile ya popo...
  19. Holoholo

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anapenda sana kuikalia wakati wakati wa kufanya mapenzi

    Wakuu Habari ndio hiyo anapenda sana kuja Kwa juu na kuanza kuikatikia,ni tamu hakuna mfanowe. Utamu utamu hutawala chumbani Ijaribuni leo
  20. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Nahisi mke wangu anajichua

    Wakuu mko salama Polepole mmemskiliza....... Nipo ninaishi na mwanamke wangu sasa ni miaka minne alikuwa ni mfanya kazi wa kazi za ndani hapa dsm kisha boss wake akahamia south africa naye akahamia huko. Sasa changamoto ninayoiona ni kwamba wakati wa kusex mi naendelea ku pump naye yuko busy...
Back
Top Bottom