mke wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hapendi kujifunika shuka moja na mimi, nifanyaje?

    Wakuu Hii hali imeanza ina kama week mbili hivi. Nifanyaje?
  2. JamiiForums Tanzania Nimfanyeje mke wangu aipende na kuifurahia harufu ya sigara isimkere, Ndoa bado Changa

    Hii ni Kwa wale wanaolikoka... unaweza kumfanyaje mwenza wako aifurahie harufu ya sigara isimkere?, Tupeane uzoefu wakuu.. Safari ndio kwanza imeanza!, ndoa ina miezi mitatu!... Naiona kazi kubwa! Mbeleni! Na kuacha kulikoka ndio kitu siwezi hata kufikiria kuacha!
  3. JamiiForums Tanzania Mke wangu hana hamu ya kufanya mapenzi na mimi. Nifanyeje?

    Naomba ushauri kuhusu changamoto yangu ya ndoa Ninaishi na mke wangu, lakini kuna jambo ambalo limekuwa likinisumbua kwa muda na sijui nifanye nini. Katika maisha yetu ya ndoa, mara nyingi ni mimi ndiye ninayeanzisha suala la ukaribu wa kimapenzi. Kwa upande wake, mara nyingi haonyeshi hamu au...
  4. JamiiForums Tanzania Mke wangu anawasifu wanaume waliojenga nyumba

    Mimi nimeoa miaka 6 iliyopita tuna mtoto mmoja na tunaishi nyumba ya kupanga lakini mke wangu anawasifu Sana wanaume waliojenga nyumba zao. Wanajukwaa, mliwezaje kujenga kwa biashara ndogo ndogo, kama ninazofanya mimi? Maana kiwanja kipo tatizo lipo kupata pesa ya kuanzisha ujenzi, nyie...
  5. JamiiForums Tanzania Mke wangu anachunguza mno simu yangu

    Jamani nimeongea mpaka nimechoka. Huyu mwanamke anachunguza simu yangu kuliko maelezo. Kila nikibadili password anayo. Ananiangalia kwa makini anamemorize kisha anakuja kufungua simu kuchunguza. Yaani kwa kifupi nipo uchi. Kama mnavyojua sasa hivi simu ndio kila kitu. Yaani ninachochat na...
  6. JamiiForums Tanzania Mimi na mke wangu Seran.

    At Boston terrier ila namuwaza mke wangu Seran Tanzania. Leo nanunua mbwa Nampa jina kwereseran. Karibuni Boston.
  7. JamiiForums Tanzania Seran nakupenda, njoo tuyajenge

    Seran ujue nakuzimia mke !
  8. JamiiForums Tanzania Mke wangu alipata muarabu akaolewa naye, wakaachama akarudi kwangu nikamuoa tena

    Hii story watu imewauma sana aisee, nimeamua nitoe, watu wana sukari na presha… ni chai tu kutoka frijini.. msijar
  9. JamiiForums Tanzania Dalali Anaingia Ndani Kupiga PIcha wakati Mpangaji Nipo-Kamkuta Mke Wangu uchi chumbani na Binti yangu Anaoga!

    Kisanga:- Madalali, siyo wa Sinza tu, wala kijitonyama na Magomeni bali Mwananyamala, Mwenge, Mabibo, Goba , mbezi beach, Mburahati, Mwanantoti, Jet Lumo, Vikunai, Kijichi, Kisewe, Vingunguti, Chekechea, Vikunai, Mabibo , Tabata, Segerea, Kinyerezi, Salasala, Wazo, Madale, Mivumoni, isipokuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Mke wangu aliyeniacha anaomba msamaha anataka turudiane

    Habari ndugu zangu... nimerudi tena... Kama ni wafuatiliaji wa threada zangu zilizopita kuhusu MKE wangu,,mtakuwa mnanielewa Tangu MKE wangu aondoke,,,kwasasa ni Mwezi Mmoja na Nusu,,, niliamua kumpotezea ,,, kufanya shughuli zangu kama mlivyonishauri kwenye nyuzi zilizopita...,,,baada ya...
  11. JamiiForums Tanzania Ndoa yangu matatani baada ya mke wangu kudai nimemdhalilisha

    Wadau naombeni ushauri wenu. Niko kwenye hali ngumu sana ya ndoa yangu na sijui nifanye nini tena. Nimemkosea mke wangu kwa namna ambayo imefanya ajisikie kudhalilika mbele ya wafanyakazi wenzake. Maneno yamesambaa sana, jambo ambalo limemuumiza zaidi kuliko nilivyodhani. Nilishaomba msamaha...
  12. JamiiForums Tanzania Mke wangu kanisukuma kitandani kisa nimepanda miguu michafu

    Leo nimeshindwa kabisa kwenda kazini, mbavu yangu changa ya upande wa kulia nahisi imetenguka Usiku wa jana kulikuwa na kijivua kazini ninapotafutia ugali, nikarudi mida ya saa nne usiku nikiwa nimejaa matope hasa hasa miguuni na kwenye foyengo yangu. Nikamuamsha mama watoto na kumuuliza maji...
  13. JamiiForums Tanzania Mwananchi alalamika Mwenyekiti wa Mtaa kumpora Mke wake na Kumuoa bila Talaka Rasmi

    Ila huyu mwenyekiti kiboko! Yani hata mshipa wa aibu hana ======= Mkazi wa Matiju B, Rashidi Bakari, ameeleza masikitiko yake baada ya kurejea kutoka kupanda Mlima Kilimanjaro na kukuta mke wake ameolewa na Mwenyekiti wa mtaa huo anayefahamika kwa jina la Isa, bila yeye kupewa taarifa yoyote...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anakaa siku 5 hapati choo kikubwa

    Wakuu habari zenu naomba kusaidia jambo kama nilivyoeleza apo haja kubwa imekuwa shida kwa mke wangu hii hali inamtesa sana naomba mwenye kujua dawa anisaidie nimehangaika mno
  15. JamiiForums Tanzania Chemsha bongo: Jina langu ni Chai. Mke wangu ni Sukari. kijana wangu ni... ?

    Riddle Time
  16. JamiiForums Tanzania Mrejesho mwingine wa mke wangu, alirudi ila baadae aliondoka tena

    Habari ndugu... Nakumbuka huko Nyuma niliwaletea mirejesho ya MKE wangu kama mnakumbuka.. Sasa MKE wangu baada ya kusikia namtafuta kweli alirudi baada ya kwenda kwa wazazi wangu na baadae kwenda kwa Mama yake maana huko wakayazumgumza yakaisha ,,,baadae akarudi Nyumbani kwangu... Kiufupi...
  17. JamiiForums Tanzania Sitaki kumsaliti mke wangu ila ananilazimisha

    Nikimalza la Kwanza anadai amechoka na anaogopa la pili anasema nachelewa Sana kumwaga. Nishamfatilia Sana hana michepuko wala nini na ni church girl. Nawaza kuwa na plan b Ila ana wivu balaa muda wote anakagua simu yangu. Haya nayapitia mwenyewe nyie watu mliooa?
  18. JamiiForums Tanzania Mke wangu kaolewa

    MKE WANGU KAOLEWA Namuombea laana, yeye na kizazi chake Asipate cha maana, yeye na wazazi wake Naamba kwa maulana, kumhusu mja wake Mke wangu kaolewa Nilifanya kila hali, wao wapate amani Haramu au halali, chakula kiwe tumboni Kupata sio sahali, hakuridhika mwandani Mke wangu kaolewa Bora...
  19. JamiiForums Tanzania Mke wangu kaacha ndoa yake kisa kazi

    Habari ndugu.. Mimi nilikuwa nimeoa mwanamke tulikuwa tuna miaka 5, kwenye ndoa,,,tumejaaliwa mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa miaka 2 na miezi8,,,tuliishi vizuri,,alikuwa ni Mama wa Nyumbani,, Ila ghafla alianza kubadilika ,,akaanza kuwa na vikundi vya wanawake,,,vikimshauri atafute...
  20. JamiiForums Tanzania Alivyonikosa kuniuawa mke wangu kutokea kanda ya ziwa

    JamiiForums Mahusiano, mapenzi, urafiki Nilivyonusurika kuuawa na aliyekuwa mke wangu kutoka kanda ya ziwa Thread startermkunga wa jadi Start date42 minutes ago Tagsaliyekuwa kanda kanda ya ziwa kutoka kuuawa mke mke wangu wangu ziwa Jump to new Unsubscribe ••• mkunga wa jadi Senior Member...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…