mimi

  1. Hongereni wanaume mnaoweza kwenda shopping na wake zenu kisha mkarudi wote kwa furaha mimi yamenishinda

    Kipindi sijaoa bana nilikuwa nikiangalia tamthiliya za wakina kanumba natamani sana nami nikioa itakuwa hivyo. Mungu saidia hatimae nikaoa na nilikuwa vizuri kidogo kiuchumi. Ndoa kubwa tulifunga bana zawadi tukapata nyingi sana hasa vyombo na nguo (vitenge/khanga) tulipata zakutosha kiasi...
  2. Nataka Mwanume wa kunihudumia Na Mimi Nimpe Penzi, Amani na Heshima

    Hello, Nahitaji mwanaume mtu mzima wa kunihudumia na mature. Akiwa Arusha itakuwa vizuri zaidi. Nitakupa Amani, heshima na penzi zuri baba. Zingatia neno: Uwe Unajua KUHUDUMIA.
  3. C

    Jana nilikutana na mimi

    Katika pitapita zangu jana kuna mtu nilimuona nikasema mbona yule ni kama mimi, alikua yupo kwa mbali ilibidi nimsogelee ili kumuona vizuri, Lakini nilivomsogelea nikamkuta sijamfananisha alikua mimi kabisa nimekaa pale, nguo alizovaa zinafanana na zangu kasoro viatu ndo tofauti, Ikabidi...
  4. Nataka nimpokonye Mwanamke Mtoto(Ni mtoto wa mdogo wangu)

    Habari Wandugu iko Hivi Kuna binti ni "single mother" amezaa na mdogo wangu (Tayari alikua na mtoto mwingine wa Mwanaume mwingine ana miaka 5), sijui chochote kuhusu huyu mwanaume aliezaa nae ila wanasema yupo, ila ni kama hamuhudumii mtoto kwasababu mtoto yupo na mama yake na walikua wanishi...
  5. A

    Hali hii sijui kama ninayo mimi peke yangu au wengine wanayo ?

    Katika mazingira tofauti na watu tofauti ninakuwa na hali ambayo nikikutana na mtu yeyote ambaye siku zake za kuishi sio nyingi tena duniani hata kama ni mzima wa afya kuna hisia fulani au kuna namna fulani ambayo ubongo wangu unakuwa unatafsiri mtu uyo sijui kama ninaweza kuelezea vipi ila...
  6. PostGE2025 Mimi binafsi riport ya Tume ya Jaji Chande naona kama wamepoteza kodi zetu kuandaa ujinga

    Unaweza kudanganya lakini huwezi kudanganya miaka yote hiyo tume imepoteza kodi zetu na kuja na riport ya kijinga namna ile ? Uliona wapi mtu ambae ndo anatuhumiwa kwa mauaji anaunda Tume ya kujichunguza? Kwenye hiyo Tume...
  7. Unataka kuoa unakuta demu ana sifa nyingi nzuri lakini ni Kiholoholo. Hapo mimi siwezi kabisa

    Demu kiholoholo ni demu kimbaumbau. Nimejarib mara kadhaa kula.... Huwa kwa kweli sivutiwi kabisa. Napenda demu awe na makebo makubwa. Hapo sawa. Lakini akiwa kiholoholo.... Aaargh labda ELI COHEN na Intelligent businessman wanaweza elezea kwa uzoefu wao. Maana hawa jamaa wana exposure kubwa...
  8. M

    Rafiki zangu wengi niliosoma nao primary na O level wapo vizuri kimaisha. Mimi sijatoboa kwa kweli pamoja na kupambana

    Wadau leo niko very stressed. Nimeamua nianze kula konyagi mapema tu maana kazi siipendi tena. Naenda kazini nikiwa sina raha. Mkuu wa shule anafuatilia maisha yangu. Kijibiashara cha kuuza kangala hakilipi zaidi ya kupata hela ya kula. Rafiki zangu wengi wana maisha mazuri na wametoboa...
  9. Hivi ni mimi tu ninayekerwa na hawa polisi wenye mitutu ya bunduki barabarani!??

    Mimi kwa nature yangu ya kazi huwa sitoki kila siku kwenda mjini, sasa ikitokea siku nimeenda nimekuwa nikiona hawa polisi wakiwa na mitutu ya bunduki kwenye mataa achilia mbali vituo vya mwendokasi! Kiukweli mimi hii hali inanisumbua sana, imekuwaje tumefika hapa? Je hii inaleta picha gani kwa...
  10. Mimi nakubali walikufa 500 siku je ni wachache hama wengi? Je waliuwa ili waingie ikulu? Au walikuwa wanazuia watu batili wasiingie ikulu?

    Hahahahahhhhhh hicho ni kilio sio kicheko, je walikufa ni wachache au wengi? Nauliza je walikuwa wanawapinga wakina naninwasiingie ikulu?je uliepinga uliua 500 watu wajiskiaje?
  11. M

    Niko njia panda, Mzazi mwenzangu hataki kuwahudumia watoto kisa naishi nao mimi

    Miaka mitano ya ndoa ilitosha kutufanya tuwe wazazi wa watoto wawili wa kike na kiume, wa kwanza kike na wa pili wa kiume, aliye mkubwa kabisa kwa sasa ana umri wa miaka 6 na mdogo ana umri wa miaka 3 na nusu japo baada ya watoto hawa, ukurasa wa ndoa ulifungwa kwa kuwa tulishindwa kuendelea...
  12. Vibaka wana ajenda yao, niliwaambia mkacheka; mwingine aporwa milioni tano, kama nilivyovamiwa mimi

    Kijana mmoja mtumishi wa serikalini, avamiwa na vibaka, maeneo ya kijangwani na kumpandikizia eti kamshika mtu bega kumbe ni mkakati wa kumpora, kapewa kichapo, na pesa milioni tano wamesepa nazo wahuni. Ni wiki kadhaa tu tangu tukio la mimi kutolewa visu mchana kweupe na kunipora pesa na...
  13. D

    Nachoka Mimi; ujinga wa kishirikina umeenea lakini wasomi wa 'piechi di' wapo na serikali ya Samia tu.

    Na kale kambaumbau kao kule duniani kako bize na 'vimbavu' vyake eti "hizo ni drama tu kupotezea kupanda mafuta". Hivi wapi hakujapanda mafuta?!!!! Nyambaaaf
  14. Sal Davis na Mimi 2006 -2016 (4)

    SAL DAVIS NA MIMI 2006 - 2026 Katika urafiki wangu na Sal Davis nimeweza kumsikiliza akizungumza maisha yake kuanzia kitongoji cha Makadara, Mombasa (Sasa Prof. Ali Mazrui) alikokulia hadi anapelekwa Manchester akiwa kijana mdogo kusoma shule ya msingi hadi anakuwa mwanamuziki wa sifa wa...
  15. Mimi na Sal Davis (2)

    https://youtu.be/S5dZheEpOh8
  16. Mimi na Sal Davis 2006 - 2016 (1)

    https://youtu.be/qZ8uN6xusgM?list=RDqZ8uN6xusgM
  17. Al Jazeera Walipokuja Kufanya Mazungumzo Tanzania na Mimi 2007 (Dar es Salaam) na 2008 (Tanga)

    AL JAZEERA WALIPOKUJA KUNIHOJI TANGA NA DAR ES SALAAM Mahojiano na Al Jazeera nyumbani kwangu Masaki, Dar es Salaam 2007 Mohamed Val Mtangazaji wa Al Jazeera akinihoji nyumbani kwangu Bombo, Tanga (2008) Huyu kijana kutoka Al Jazeera sikumbuki jina lake alinifahamisha kuwa alipata kuishi...
  18. A

    DOKEZO Arusha DC kuna jambo linastahili kufuatiliwa katika Sekta ya Elimu

    Mimi ni mwalimu wa Shule ya Sekondari katika Halmashauri ya Arusha DC. Hivi karibuni wanafunzi wa kidato cha nne walifanya mitihani ya pre-mock, ambapo kila mwanafunzi alitozwa shilingi 12,000 kwa madai ya kugharamia usahihishaji wa mitihani hiyo. Cha kushangaza na kusikitisha ni kwamba...
  19. A

    KERO Kero ya Uchafu Zanzibar, mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Mjini Jang'ombe - Shehia ya Kidongo Chekundu

    Kwa shehia ya Jang'ombe, Kidongo Chekundu na Baraza la Manispaa mjini ishughulikie takataka zinazozagaa na kutelekezwa katika jalala la Jang'ombe, Kidongo Chekundu. Hii hali imekuwepo muda mrefu bila uchafu kuja kuchukuliwa, ukizingatia jalala lipo kwenye makaazi ya watu na karibu na skuli...
  20. Mimi ni mgeni Dar, je kukaa baadhi ya sehemu kunaweza kushape maendeleo yako?

    Kukaa sinza, Kinondoni, Mbweni na Goba Au kukaa Buza, Mbagala, Mbande, Kongowe, Manzese, Tandika nk Ipi Bora?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…