Starehe ya ubongo wangu na kilevi Cha kwanza ni kusoma.cha pili ni kulakula
Cha tatu movie na mziki.vingine vitafuatia.
Mie Niko addicted na kusoma tangu Niko mdogo hata kabla sijaanza shule.hata kabla sijaanza chekechea tayari najua kusoma na kumultiply,kujumlisha.kuna muda nlikuwa nasoma...
mimi ni mkristo nishaamuaga sifanyi maombi yoyote sijui kuombea taifa sijui kuombea mambo mbalimbali mara kulia sijui kunena kwa lugha sijui kusali rozali mimi huwa nasali sala moja tu..ya baba yetu uliye mbinguni na huwa nasubiri ifike saa fulani kamili..07;00,08;00 n.k kwa hiyo kwa siku...
Mgombea Ubunge Jimbo la Ismani kupitia Chama Cha Wananchi CUF Nassim Yahaya Upete ameendelea na Kampeni za kuomba ridhaa kwa wananchi kwenye Uchaguzi Mdogo Jimbo la Ismani katika Kata ya Kising’a ambapo anewaahidi wananchi wa Kata hiyo kumaliza yale yote yaliyoachwa na Hayati William Lukuvi...
Unaweza kukutana na mtu mkasalimiana, mkapiga story dakika 20, mkacheka kabisa… lakini hakuna anayesema jina lake. Mpaka mnaombana namba ndipo mchezo unaanza:
“Ni-save nani?”
Kuna ile culture ya kuzunguka sana kabla ya kuingia kwenye personal details. Watu wanaogopa kuonekana too direct au...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa akifanya mahojiano na Bongo FM leo Mei 15, 2026 ameeleza namna alivyopambana wakati anafanya kazi na Radio Tanzania Mkoa wa Songea
Wakati nawaambia kuhusu watu kuwa ni akina annabelle mkasema Chizi Maarifa wewe ni mkorofi unawachukia tu rainbow kiasi kila mtu unamwona ni papaya.
Sasa someni. Ame advance kwa sasa ameamua kuwa verified kabisa na ameweka na Tangazo hapo. Aliye na macho na aone. Hii ndo Jamiiforums. Jamaa...
Mwaka huu nilirudi Tz kikazi mara moja. Nikakutana na mdada ambaye miaka ya 2000 mwishoni kazini nliwahi mtokea. Demu alikuwa ana nyodo kinyama.
Alikuwa anatoka na Mkurugenzi halafu anaendesha Rav 4 ndo zimetoka toka hatari sana. Mimi baxo napanda dala dala. Sasa sikuwa najua ndo nmehamishiwa...
Mimi kusema kweli sina roho ya kitajiri. Halafu sikopeshi kabisa ni mambo taslimu. Huyu binti alikuja toka mkoani kusoma chuo. Tukapendana. Basi nikawa sababu mimi mzazi alikuwa anauwezo nikawa nachukua mkwanja home.
Huku na serikali inanilipia. Mzee anajua ananisomesha. Basi najibana...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiapisha viongozi aliowateua leo Mei 6, 2026, Ikulu ya Chamwino Dodoma, ametoa onyo kali kwa viongozi wa umma dhidi ya tabia ya ujeuri na majivuno mara baada ya kupata madaraka. Akizungumza katika hafla iliyofanyika Ikulu, Rais Samia...
mtu ameamka na stress za chuki dhidi ya israel, so ili kuituliza nafsi yake ngoja atunge stori ambayo haina accuracy yoyote na picha za AI kuonesha operation kabambe za uongo😁
Point yangu kubwa kuna matango pori mengi sana humu JF na watu wanaishia kuwa mis-informed.
Itengenezwe community...
Sawa nina njaa kali.
Ila jana nimejitafakari sana, Kati ya kuendekeza njaa au kulinda dignity.
Kwanza tumeenda Mnazi Mmoja saa 1 kamili tupo pale, mgeni rasmi RC wa Jiji akafika saa 3 Asubuhi. Tukaanza kupita na mabango yenye jumbe mbalimbali mbele yake.
Saa 8 HR akatuita kwenye gari...
Ninatumua account ya bank moja ya kiduanzi initwa EXIM. Pembeni ya hiyo nimekuwa nikitumia NBC. Jana nmepata salary na nikaamua kutuma pesa akaunt ya NBC ili nitoe maana sina ATM Card ya EXIM.
Huwezi amini tsh 700,000 mpaka leo inaonekana imekatwa Exim lakini haijafika NBC. Lakini nikiangalia...
Kipindi sijaoa bana nilikuwa nikiangalia tamthiliya za wakina kanumba natamani sana nami nikioa itakuwa hivyo.
Mungu saidia hatimae nikaoa na nilikuwa vizuri kidogo kiuchumi.
Ndoa kubwa tulifunga bana zawadi tukapata nyingi sana hasa vyombo na nguo (vitenge/khanga) tulipata zakutosha kiasi...
Hello,
Nahitaji mwanaume mtu mzima wa kunihudumia na mature. Akiwa Arusha itakuwa vizuri zaidi.
Nitakupa Amani, heshima na penzi zuri baba.
Zingatia neno: Uwe Unajua KUHUDUMIA.
Katika pitapita zangu jana kuna mtu nilimuona nikasema mbona yule ni kama mimi, alikua yupo kwa mbali ilibidi nimsogelee ili kumuona vizuri,
Lakini nilivomsogelea nikamkuta sijamfananisha alikua mimi kabisa nimekaa pale, nguo alizovaa zinafanana na zangu kasoro viatu ndo tofauti,
Ikabidi...
Habari Wandugu
iko Hivi
Kuna binti ni "single mother" amezaa na mdogo wangu (Tayari alikua na mtoto mwingine wa Mwanaume mwingine ana miaka 5), sijui chochote kuhusu huyu mwanaume aliezaa nae ila wanasema yupo, ila ni kama hamuhudumii mtoto kwasababu mtoto yupo na mama yake na walikua wanishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.