mimi

  1. Gunner11

    Naona anayekuja kumrithi diamond kwa kujulikana Tanzania na duniani ni mimi.

    Hii ni affirmation.. Mtake msitake, am the next big thing Wacha nisiongee sana. Ila ndio hivyo.. Know all over the world by 2040. God, is King, he showed me the vision and am gonna make it happen.
  2. U

    Mimi ni mkiristo lakini nimefanya utafiti WANGU na kuhitimisha kuwa Isaka na Yakobo mwane walikuwa Waislamu

    Isaka Mwana wa Ibrahim na Yakobo Mwana wa Isaka wote walikuwa Waislamu Ndugu zangu wakiristo tubadilike
  3. Hismastersvoice

    Mnaotuuzia gesi ya kupikia kwenye mitungi kwanini mnatuuzia na mitungi wakati sisi hatuna matumizi nayo?

    Mimi ninahitaji gesi kwa ajili ya matumizi yangu, wewe unaniuzia gesi na mtungi ambao ni mali yako! Una jina lako na siwezi kuutumia nisipokupata wewe! Na hata nikiacha matumizi ya gesi yako eti mtungi unabaki kuwa wangu kwa jina lako! Hii ni dhuluma hanna tofauti na anayekuuzia leo king'amuzi...
  4. MR BINGO

    Mimi siyo nabii ila natabiri

    Kama nilivyosema hapo Juu ila natoa utabiri Kuwa Moja ya Sababu Kuu itakayomuondoa Kocha aliyechukua Mikoba ya Manqoba Mngqithi Hapo Jangwani Bwana Fadlu Davies ni kuwa Anatumika na Wapinzani wao Simba Sports Club kuwahujumu NB:Hili litatokea bila kutegemea mwendelezo wa ushindi au hata kama...
  5. Moto wa volcano

    Nakukumbusha , Mungu hana matumizi na Pesa ukitoa sadaka wanapokea watu kama mimi na wewe haiendi mbinguni

    https://www.instagram.com/reel/DIT_D7jt4KC/?dlrf=N3ZpMm5xOHN4OXpp
  6. DR HAYA LAND

    Bila kufungamana na siasa ya chama chochote, Mimi binafsi kama msomi na Mtu ninayependa HAKI, AMANI na UTU - nasimama na Lissu

    Bila kufungamana na siasa ya chama chochote Mimi binafsi kama msomi na Mtu ninayependa haki, Amani na utu nasimama na wewe Leo . with no any political affiliation , All the best Hon TAL 🤝
  7. M

    Makonda: Mnaposali, waombeeni watu wawili, Rais Samia na mimi

    Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema kuwa Watanzania wanapopata nafasi ya kuwaombea viongozi wa nchi, wanapaswa kuwaombea watu wawili pekee, ambao ni Rais Samia Suluhu Hassan na yeye mwenyewe. Makonda ametoa kauli hiyo akisisitiza umuhimu wa viongozi hao kuombewa wanapopata...
  8. Kaka yake shetani

    Hivi naona mimi au nirudie tena kuhusu CCM na kashfa za nchi za watu E.Africa.

    Ukifika tinde pale ndio utajua kuwa kwa nini Congo ,rwanda , uganda na sudani yule jamaa alikuwa tajiri na kuwashika maraisi mmoja wapo huyu bi msumi. Yoyote kama ni mtetezi wa huu ushenzi wa CCM kumbuka ukijitoa au kustaafu wanakufa na wewe.
  9. J

    KERO Malalamiko Kuhusu Makosa katika Transcript ya Mhitimu wa Chuo cha Afya

    Mimi ni mmoja wa wahitimu wa chuo cha afya chini ya NACTE mwaka 2019. Kero yangu inahusu transcript yangu ambayo niliipata baada ya kupitia usumbufu mkubwa. Nilipoipokea, sikuikagua kwa makini, lakini baadaye nilipogundua makosa, nilibaini kuwa somo ambalo nilipata alama ya A lilikuwa...
  10. Ponjoro wa Kinondoni

    Kwenye hizo bilioni 730 za ElNino mimi naombeni bilioni 30 tu

    Wakuu kuna kipengele hapa natakiwa kupata bilioni kadhaa chap. Sasa kwakuwa mvua za El Nino ni kama zimekaidi, naomba Samia aniwekee bilioni 30 kwenye account yangu ili nivuke hiki kikwazo. Bilioni 700 zitakazobaki mtaamua kama taifa mzifanyie nini mimi msinijumuishe huko kabisa. Kama kuweka...
  11. A

    KERO Naomba kufahamishwa iwapo HESLB wamebadili viwango vya boom kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo

    Habari, wana-JamiiForums. Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu ninayetarajia kuingia mwaka wa tatu hivi karibuni. Nimebaini kuwa HESLB imeweka kiasi cha TSh 2,310,000 kama jumla ya malipo ya MA (boom) kwa mwaka, badala ya TSh 2,400,000 kama ilivyoelezwa kwenye mkataba wangu. Aidha, kiasi...
  12. R

    Dr. Rugemeleza Nshala: Sitamuogopa mti aliyezsliwa kama mimi: Nitaifia nchi yangu Tanzania, Kwaherini tutaonana Paradiso

    Nitàifia nchi yangu
  13. Idugunde

    Maoni ya Idu:Kama Pambalu ni mhaini basi hata mimi ni mhaini.

    Hii Tanganyika imepotea njia👇
  14. T

    Mimi nimesema kuna mtu atakufa tu, hata kama anajifanya yuko imara

    Narudia tena kuna mtu atakufa haraka sana kuliko anavyodhania na kujiona. Time will tell
  15. haszu

    Ngozi wanayoihangaikia kinadada kwa vipodozi, mimi Mungu kanipa bure

    Mwanaume kua na ngozi nzuri sio kosa hata kidgo, infact, mwanaume kua na ngozi laini inasaidia hata ukimshika mwenza wako, sio unamshika kama vile anakwanguliwa na msasa. Am so proud of my skin kwakweli, situmii vipodozi ila nime glow. Vijana, tunzeni ngozi, Kuwa na ngozi nzuri hakuondo...
  16. polokwane

    Haya yanayoendelea Nchini ya mauaji,utekaji,wizi, ubadhirifu pamoja ujinga wot uliopo sasa, hata mimi ningekuwa DR.NCHIMBI lazima ningeshukia njiani.

    Ukikusanya maujinga ujinga yote yaliopo ndani ya serikali hii ya huyu mama kwa sasa ukajumlisha na ujinga wa hawa wakina makonda na machawa wenzao wanao pita pita huko kujisafisha kwa wananchi wajinga wenye uelewa mdogo, ilikuwa ngumu sana kwa mtu smart kama Dr.Nchimbi kuendelea kufanya kazi...
  17. O

    WATAALAMU WA BEAT MBONA MIMI NAHISI NYIMBO NYINGI ZA SOUTH HASA AMAPOANO NA KWAITO HAZINA SAUTI NZURI YA WAIMBAJI KATIKA USIKIVU KAMA BONGOFLEVA

    je hii ni shida au ndo maamuzi yao wazalishaji wa nyimbo hizo maana unakuta jitu linacheza club ukiliuliza ni kinaimba. Nlasambaa, nakasolembwaa x2 kah yaani sauti iko chini biti kuliko bongofleva atleast inakuwa juu ya biti au ni style sio kwamba wanakosea
  18. makpridash

    Mitandao ya kijamii ni ajabu sana. Mtu mmoja anadai wazazi wanalingana kwa umuhimu. Kwangu Mimi Nooo

    Hapana Kwa kifupi wapo waliotendewa wema na Mama zao na wapo waliotendewa ubaya na haohao mama zao. Lakini asilimia kubwa baba wengi tumewatendea ubaya wake zetu, kitendo kilichotengeza chukizo kwa watoto. Kwa watoto kivipi. Wengi tunasingizia mama kuwalisha watoto machukizo. Lkn tunasahau...
  19. idiomer

    Mimi nimewaza nimeona shetani ni scam

    Shetani hayupo wala hakuna kitu kama hicho watu walitafuta sehemu ya kujifichiaa. Ooh ni shetani tuu hakuna kitu
Back
Top Bottom