mikopo

  1. Serikali tazameni ili kuhusu simu za mikopo zina utapeli mkubwa

    Kuna utapeli nahisi umepewa baraka na hupo tanzania umejificha kwenye mikopo ya simu na vifaa vingine. Embu angalia simu ya laki mbili unalipa laki nane. Hii riba benki kuu wana fahamau
  2. Kwanini Mikopo ya Benki Ina Riba Kubwa (Ksh/Tsh) Ingawa Serikali Inakopa kwa Riba Ndogo?

    Hili ni swali ambalo wengi hujiuliza: Ikiwa Serikali inaweza kukopa benki kwa kuuza Hati Fungani za muda mfupi (Treasury Bills) na kupewa riba ya asilimia 9, kwa nini wewe ukienda kukopa unaambiwa riba ni asilimia 14 hadi 18? Ni wapi zile asilimia 5 hadi 9 za ziada zinapotelea...
  3. Ukweli Mchungu Kuhusu Mikopo ya Mtandaoni (Loan Apps) - Riba ya 10% Inawezaje Kuwa 120% kwa Mwaka?

    Mikopo ya mtandaoni kupitia simu (Loan Apps) imekuwa mkombozi wa haraka nyakati za dharura, lakini pia imekuwa kitanzi kinachonasa wengi kwenye mzunguko wa madeni usioisha. Uchambuzi mpya wa kiuchumi kutoka East Africa Economics umechimba kwa kina jinsi gharama za mikopo hii zinavyofanya kazi...
  4. T

    Mikopo, Nchi ya Mikopo

    Katika mwezi huu wa Novemba, kuna mikopo 3 imeingiwa..mikopo 2 na waziri wa fedha kutoka AfDB na Exim Bank ya uturuki, mkopo mmoja na KM-wizara ya Fedha kutoka Exim Bank-korea.. Nina maswali kwa katibu wa baraza la mawaziri.. 1. Hivi itawezekana kila fani mpya ikitokea ni lazima kuwepo chuo...
  5. M

    Mwanafunzi yatima aliyedahiliwa kusomea Udaktari UDOM kukosa mkopo wa elimu ya juu

    Inakuwaje mwanafunzi yatima anayesoma shahada ya Udaktari katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) akose mkopo wa elimu ya juu licha ya kuwa na uhitaji wa msaada huo? Taarifa zilizotufikia zinaeleza kuwa mwanafunzi huyo amepata nafasi ya kusoma kozi ya Udaktari, hana mzazi hata mmoja, lakini amekosa...
  6. Responded Manispaa ya Lindi: Mikopo ya 10%, Vikundi 42 viliomba, 41 viliidhinishwa, malipo ya vikundi vitano yamepata changamoto

    Halmashauri ya Manispaa ya Lindi inapenda kuutaarifu umma kuwa taarifa zinazosambazwa zikidai kuwa Halmashauri haijakamilisha utoaji wa mikopo ya 10% kwa vikundi vilivyokidhi vigezo si sahihi kwa ujumla wake. Hoja ya Mdau ~ Tumeidhinishwa kupokea mkopo wa vikundi katika Halmashauri ya Lindi...
  7. Responded Manispaa ya Ubungo: Mikopo ya 10% Vikundi 27 viliomba, vikapata 10, dirisha jipya vikundi vilivyoomba ni 327

    TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI KUHUSU UTARATIBU WA UTOAJI WA MIKOPO YA ASILIMIA 10 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo imepokea na kufuatilia kwa kina taarifa iliyochapishwa katika mtandao wa kijamii wa JamiiForums yenye kichwa cha habari kisemacho: "Nini kinaendelea mikopo ya 10% Halmashauri ya...
  8. 1

    Wazir wa mikopo udsm ni changamoto sana

  9. A

    KERO Waziri wa Mikopo UDSM ni changamoto sanaa

    Habari, tunaomba mamlaka husika zifuatilie malalamiko ya wanafunzi wanaokabiliwa na changamoto za mikopo ya elimu ya juu, hususan namna wanavyohudumiwa na maafisa mikopo (Loan Officers) wanapokwenda kuwasilisha matatizo yao. Wanafunzi wanadai kuwa baadhi ya maafisa mikopo hawawasikilizi...
  10. Responded RC wa Tabora, Dkt. Angeline Mabula: Tunafuatilia hoja ya mikopo kutowafikia walengwa Halmashauri ya Nzega Mji

    Novemba 2, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika “Mikopo ya Halmashauri Wilaya ya Nzega Mji haiwafikii baadhi ya walengwa” ambapo alidai kuwa kuna Viongozi wanatumia majina ya wanachama walioomba mkopo kisha kujineemesha wao. Hoja ya Mdau ipo hapa ~ Mikopo ya Halmashauri Wilaya ya Nzega Mji...
  11. Taasisi za mikopo bayport, platnum credit tutawashtaki mseme ni wapi mnatoa taarifa za mtu binafsi, mmezidi kupigia watu simu na kuwashawishi mkopo!.

    Nimefuatilia muda mmrefu haya mataasisi ya mikopo na sasa hadi EXIM bank na hao niliotaja wanakutumia messeji na kupiga simu, ili kushawishi watu kukopa, tena kwa msisitizo "Ewe mtumishi wa umma" mmejuaje ni mtumishi wa umma? taarifa hizo na namba za simu za watu mnapewa na nani? ina maana mna...
  12. Katika kupigwa kwa Bilioni 120 za mikopo kwa vijana chanzo ni waziri husika kukurupuka, tulizeni wenge mtapigwa mno

    Waziri wa wizara ya vijana, pole Kaka vijana wa mjini wamekuingiza chaka. Waziri wa kilimo Bashiru wewe umepigwa chenga la mwili linaitwa mwana ukome na utakomeshwa. Ila vijana wa umoja wa vijana ccm Mungu anawaona kwa ili tunawashukuru == "kuna zaidi ya bilioni 120.48 zimetolewa kwa mwaka...
  13. A

    DOKEZO Wanafunzi wa DIT wa darasa la BT23LS hatujapata mkopo mwaka wa mwisho kutokana na HESLB kutambua tunasoma miaka mitatu badala ya minne

    Wanafunzi wa DIT wa darasa la BT23LS tunakabiliwa na changamoto ya kutopangiwa mikopo kwa mwaka wetu wa mwisho wa masomo (2026/2027). Changamoto hiyo inatokana na tofauti ya muda wa masomo unaotambuliwa na HESLB na ule unaotumika chuoni. Mfumo wa HESLB unatutambua kuwa tunasoma programu ya...
  14. A

    KERO Changamoto ya Mikopo na Lugha Chafu ya Wahudumu wa HESLB kwa Wanafunzi wa MUHAS

    Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi za Tiba Muhimbili (MUHAS) ninayesoma Shahada ya Afya ya Mazingira (Environmental Health Sciences). Ninalalamika kukoseshwa mkopo wangu wa elimu ya juu licha ya kukidhi vigezo vyote. Aidha, tunapojaribu kupiga simu kitengo cha huduma kwa...
  15. Bodi ya Mikopo (HESLB): Tumetoa mikopo ya Tsh. Bilioni 535.7 kwa Wanafunzi 165,775 kwa Mwaka wa Masomo 2026/27

    BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU TAARIFA KWA UMMA WANAFUNZI 165,775 WAPANGIWA MIKOPO YA TZS 535.7 BILIONI Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), leo (Jumamosi, Oktoba 10, 2026) imetangaza Awamu ya Kwanza ya upangaji mikopo na ruzuku kwa jumla ya wanafunzi 165,775...
  16. T

    Bora kuchukua mikopo kwenye makampuni au bank kuliko kwa watu wako wa karibu

    Nimejifunza ni bora ukatatua shida zako kimyakimya kwa kuchukua mikopo kwenye makampuni au benki. Vinginevyo utawachukia binadamu bure, mtu ulikuwa unaishi naye vizuri ukiwa na shida hata kidogo utampoteza kwa kwa kuomba mkopo kutatua shida yako. Kwenye circle yako yote unaweza gundua huna...
  17. Serikali Yaongeza Bajeti ya Mikopo na Ruzuku kwa Wanafunzi

    Bajeti ya mikopo na ruzuku kwa wanafunzi wa elimu ya juu imeongezeka hadi Shilingi trilioni 1.06, hatua inayolenga kuongeza fursa kwa wanafunzi wengi zaidi kupata elimu ya juu na kupunguza changamoto za kifedha kwa wanafunzi na familia zao.
  18. Makonda: CRDB na NBC zimeshusha riba ya mikopo kwa wasanii kutoka 9% hadi 7%, baadhi ya masharti yameondolewa

    Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, ametangaza kuwa Serikali kupitia Mfuko wa Waandaji wa Maudhui (Content Creators) imefanikiwa kushirikiana na benki za CRDB na NBC kupunguza kiwango cha riba ya mikopo kwa vijana na wasanii kutoka asilimia 9 hadi asilimia 7. Makonda...
  19. Mikopo ya Magari Showroom (Kausha Damu): Serikali Iingilie Kati, Hii Siyo Fursa Ni Unyonyaji wa Wazi

    Amani kwenu wakuu, Ukiingia Mtandao wa Instagram hivi sasa, kurasa za wauzaji wa magari zimefurika matangazo ya mikopo yenye ushawishi mkubwa. Makampuni maarufu ya kuuza na kuagiza magari Dar es Salaam yote yanatangaza fursa za kutoa magari kwa mkopo. Kijuujuu inaonekana ni msaada kwa vijana...
  20. AFISA MIKOPO ANAITAJIKA:

    Vigezo I.Shahada au Stashahada ya fani zifutazo (A) Biashara (B) Uhasibu (C) Maendeleo ya jamii (D) Ualimu Mshahara 300,000 miezi 6 ya mwanzo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…