Katika mwezi huu wa Novemba, kuna mikopo 3 imeingiwa..mikopo 2 na waziri wa fedha kutoka AfDB na Exim Bank ya uturuki, mkopo mmoja na KM-wizara ya Fedha kutoka Exim Bank-korea..
Nina maswali kwa katibu wa baraza la mawaziri..
1. Hivi itawezekana kila fani mpya ikitokea ni lazima kuwepo chuo...
Inakuwaje mwanafunzi yatima anayesoma shahada ya Udaktari katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) akose mkopo wa elimu ya juu licha ya kuwa na uhitaji wa msaada huo?
Taarifa zilizotufikia zinaeleza kuwa mwanafunzi huyo amepata nafasi ya kusoma kozi ya Udaktari, hana mzazi hata mmoja, lakini amekosa...
Halmashauri ya Manispaa ya Lindi inapenda kuutaarifu umma kuwa taarifa zinazosambazwa zikidai kuwa Halmashauri haijakamilisha utoaji wa mikopo ya 10% kwa vikundi vilivyokidhi vigezo si sahihi kwa ujumla wake.
Hoja ya Mdau ~ Tumeidhinishwa kupokea mkopo wa vikundi katika Halmashauri ya Lindi...
TAARIFA KWA UMMA
UFAFANUZI KUHUSU UTARATIBU WA UTOAJI WA MIKOPO YA ASILIMIA 10
Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo imepokea na kufuatilia kwa kina taarifa iliyochapishwa katika mtandao wa kijamii wa JamiiForums yenye kichwa cha habari kisemacho: "Nini kinaendelea mikopo ya 10% Halmashauri ya...
Habari, tunaomba mamlaka husika zifuatilie malalamiko ya wanafunzi wanaokabiliwa na changamoto za mikopo ya elimu ya juu, hususan namna wanavyohudumiwa na maafisa mikopo (Loan Officers) wanapokwenda kuwasilisha matatizo yao.
Wanafunzi wanadai kuwa baadhi ya maafisa mikopo hawawasikilizi...
Anonymous (f160)
Thread
changamoto
daruso
kuomba
kuomba rushwa
loan
loan officer
mikopo
rushwa
serikali
udsm
viongozi
wanafunzi
waziri
wizara
zao
Novemba 2, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika “Mikopo ya Halmashauri Wilaya ya Nzega Mji haiwafikii baadhi ya walengwa” ambapo alidai kuwa kuna Viongozi wanatumia majina ya wanachama walioomba mkopo kisha kujineemesha wao.
Hoja ya Mdau ipo hapa ~ Mikopo ya Halmashauri Wilaya ya Nzega Mji...
Nimefuatilia muda mmrefu haya mataasisi ya mikopo na sasa hadi EXIM bank na hao niliotaja wanakutumia messeji na kupiga simu, ili kushawishi watu kukopa, tena kwa msisitizo "Ewe mtumishi wa umma" mmejuaje ni mtumishi wa umma? taarifa hizo na namba za simu za watu mnapewa na nani? ina maana mna...
Waziri wa wizara ya vijana, pole Kaka vijana wa mjini wamekuingiza chaka.
Waziri wa kilimo Bashiru wewe umepigwa chenga la mwili linaitwa mwana ukome na utakomeshwa.
Ila vijana wa umoja wa vijana ccm Mungu anawaona kwa ili tunawashukuru
==
"kuna zaidi ya bilioni 120.48 zimetolewa kwa mwaka...
Wanafunzi wa DIT wa darasa la BT23LS tunakabiliwa na changamoto ya kutopangiwa mikopo kwa mwaka wetu wa mwisho wa masomo (2026/2027).
Changamoto hiyo inatokana na tofauti ya muda wa masomo unaotambuliwa na HESLB na ule unaotumika chuoni. Mfumo wa HESLB unatutambua kuwa tunasoma programu ya...
Anonymous
Thread
changamoto
course
heslb
kupokea
kutoka
mfululizo
miaka
mikopo
wanafunzi
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi za Tiba Muhimbili (MUHAS) ninayesoma Shahada ya Afya ya Mazingira (Environmental Health Sciences).
Ninalalamika kukoseshwa mkopo wangu wa elimu ya juu licha ya kukidhi vigezo vyote. Aidha, tunapojaribu kupiga simu kitengo cha huduma kwa...
BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU
TAARIFA KWA UMMA
WANAFUNZI 165,775 WAPANGIWA MIKOPO YA TZS 535.7 BILIONI
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), leo (Jumamosi, Oktoba 10, 2026) imetangaza Awamu ya Kwanza ya upangaji mikopo na ruzuku kwa jumla ya wanafunzi 165,775...
Nimejifunza ni bora ukatatua shida zako kimyakimya kwa kuchukua mikopo kwenye makampuni au benki.
Vinginevyo utawachukia binadamu bure, mtu ulikuwa unaishi naye vizuri ukiwa na shida hata kidogo utampoteza kwa kwa kuomba mkopo kutatua shida yako.
Kwenye circle yako yote unaweza gundua huna...
Bajeti ya mikopo na ruzuku kwa wanafunzi wa elimu ya juu imeongezeka hadi Shilingi trilioni 1.06, hatua inayolenga kuongeza fursa kwa wanafunzi wengi zaidi kupata elimu ya juu na kupunguza changamoto za kifedha kwa wanafunzi na familia zao.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, ametangaza kuwa Serikali kupitia Mfuko wa Waandaji wa Maudhui (Content Creators) imefanikiwa kushirikiana na benki za CRDB na NBC kupunguza kiwango cha riba ya mikopo kwa vijana na wasanii kutoka asilimia 9 hadi asilimia 7.
Makonda...
Amani kwenu wakuu,
Ukiingia Mtandao wa Instagram hivi sasa, kurasa za wauzaji wa magari zimefurika matangazo ya mikopo yenye ushawishi mkubwa. Makampuni maarufu ya kuuza na kuagiza magari Dar es Salaam yote yanatangaza fursa za kutoa magari kwa mkopo.
Kijuujuu inaonekana ni msaada kwa vijana...
Mjasiriamali kijana Ifra Ahmed, anayejishughulisha na uendeshaji wa saluni za kike na za kiume, ameeleza namna wageni kutoka mataifa mbalimbali wanaohudhuria mikutano ya kimataifa wanavyochangia kukuza biashara yake.
Ifra, ambaye amepata mikopo isiyo na riba kutoka Halmashauri ya Jiji la...
Kuna mambo yakitokea duniani basi moja kwa moja fahamu kuwa upo ndani ya bara la Afrika na kuna upuuzi ukitokea Afrika basi fahamu tu upo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nadhani mahakama za kwetu Tanzania ndio zinaongoza kwa kutoa maamuzi kichwa kichwa sana, vitivo vya sheria ndani ya chuo...
Ndugu yangu ameomba mkopo bank moja hapa nchi, kwakuwa ni mfanyakazi mshahara unapita bank hiyo na ni kwa muda wa miezi 72. Mkopo anaopewa ni mil 35 na atakatwa zaidi ya laki 7 na nusu kwa mwezi, ukipiga hesabu kwa haraka haraka hadi amalize mkopo atakuwa amelipa zaidi ya milion 54. Je, hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.