mikopo

  1. M

    Bodi ya mikopo ya juu lipeni refund za wateja wenu,acheni ufisadi ,mnaichafua serikali .

    Kulingana na shida mbalimbali za watumishi wamekua wakiuza madeni yao ta bodi benk tofauti tofauti,miaka ya nyuma bodi iliweka kiwango cha juu na kulipwa na bank mfano NMB, Inapolipwa bodi inakuja na statement ya kiasi unachodai kama ziada iliyolipwa na bank NMB au CRDB,Kisha inakwambia andika...
  2. Zack Abdul

    Mikopo ya 10% kwa Vikundi: Fursa ya Kujenga Uchumi

    Tunapoona vikundi vya wajasiriamali 33,594 vikifikiwa na mikopo ya asilimia 10 inayotolewa kupitia Serikali tunapaswa kutafakari kwa kina Je hii si ishara kwamba Serikali inaendelea kufungua milango ya wananchi kushiriki moja kwa moja katika uchumi wa nchi yao? Pongezi za dhati zimwendee...
  3. Lycaon pictus

    Deni ya US limefika dola trilioni 40, Je maendeleo ya nchi za magharibi yanatokana na mikopo?

    Hizi ni pesa nyingi sana. Nyingi mno. US ina watu kama milioni 350 na inadaiwa dola Trilioni 40. Afrika nzima ya watu 1.4 bilioni inadaiwa kama trilioni 1.5 tu. Nchi inaweza kukopa hela zote hizo na isiendelee kweli? Hayo mahela yanajenga vitu vingi mno. Barabara, bandari, hospitali, shule na...
  4. BIOTOXINS

    SISI BAADHI YA VIJANA TUACHE NGONO NA ULEVI KUPINDUKIA AKINA MAMA MIKOPO INAWAMALIZA

    Kuna tatizo lipo na ni kubwa lifanyiwe kazi Ndugu zangu naanza na SISI vijana Baadhi ya SISI vijana tulio wengi tumekuwa wazinzi ,walevi na wavivu wa kufanya kazi si Wana wake wala wanaume Ulevi- nani kakwambia ulevi unaondoa mawazo ?hyo buku mbili ya dable kiki 2000 mara mwezi ni 60,000...
  5. G

    KERO Nimeomba mkopo Hazina, naanza kupigiwa simu na wanaojitambulisha Wafanyakazi wa Hazina kuwa niwakumbuke nikipata hela

    Mimi ni mmoja wa watumishi chini ya Wizara ya Afya. Niliomba mkopo wa Hazina kupitia portal husika tangu mwaka jana, lakini ombi langu, pamoja na ya watu wengine ninaowafahamu tuliomba pamoja, limekuwa kimya bila kushughulikiwa hadi hivi karibuni. Sasa tumeanza kupigiwa simu na watu...
  6. a sinner saved by Christ

    Mikopo ya watumishi ni kausha damu

    Mikopo ya watumishi wa umma kausha damu. Unakopa benki milioni 15, kinachoingia milioni 13 makato, milioni 32 haijalishi utalipa kwa muda gani, lakini hii ni kausha damu.
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kwanini makampuni ya simu mmeruhusu kusajili line za matapeli kwa jina la Mo Dewji Foundation, ili wawatapeli wananchi?

    Vodacom Tanzania, mmewasajili matapeli kwa jina la Mo Dewji Foundation
  8. O

    Ripoti: Kenya yalipa Takriban Shilingi Bilioni 8 kwa Mikopo isiyotumika, Mdhibiti Mkuu wa Hesabu aibua wasiwasi

    Kenya imelipa takriban Shilingi bilioni 7.7 kama ada za kujitolea (commitment fees) kwa mikopo ya kigeni ambayo haikutumika kati ya mwaka wa fedha 2020/21 na 2024/25, kulingana na ripoti za Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali, Nancy Gathungu, na Mdhibiti wa Bajeti, Margaret Nyakang'o. Ada hizo...
  9. Roving Journalist

    Serikali yazindua mradi wa Mikopo nafuu ujenzi wa Vituo Vidogo vya Mafuta Vijijini, kusaidia wanaohifadhi mafuta ndani ya nyumba

    Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa ushirikiano na Benki ya Azania imezindua rasmi mradi mkubwa wa utoaji wa mikopo nafuu kwa wajasiriamali wadogo, utakaofanikisha ujenzi na uendeshaji wa vituo vidogo vya kuuza mafuta ya petroli na dizeli maeneo ya vijijini. Hatua hiyo...
  10. Last sentinel

    Msaada wa Ajira, Vyuo, Mikopo na Nyaraka Mbalimbali

    MIMI NITAKUSAIDIA KWENYE MAMBO YAFUATAYO MUDA WOWOTE MIMI NI MTAALAMU NINA UZOEFU WA MIAKA MINGI NITAKUSAIDIA KATIKA MAMBO YAFUATAYO UKIWA POPOTE 🔓 𝙺𝚄𝙵𝚄𝙽𝙶𝚄𝙰 𝙰𝙲𝙲𝙾𝚄𝙽𝚃 𝚈𝙰 𝙰𝙹𝙸𝚁𝙰 𝙿𝙾𝚁𝚃𝙰𝙻 & 𝚄𝚂𝙷𝙰𝚄𝚁𝙸 𝙺𝚄𝙷𝚄𝚂𝚄 𝙰𝙹𝙸𝚁𝙰 𝙿𝙾𝚁𝚃𝙰𝙻 💫Maombi ya Vyuo ( Degree,Diploma & certificate) 💫Kuomba Mkopo wa Elimu ya Juu...
  11. V

    Msaada kwa wanaoomba vyuo na mikopo

    Kama una changamoto ya kuomba vyuo au mkopo tuwasiliane kwa 0623446608 Kumbuka:Si kwaajili ya fedha ni kwaajili ya kukusaidia IKIWA tofauti screen shot mawasiliano yetu na jina langu halisi (tukiwasiliana utalijua) ulete hapa or whatever.Nafanya ivi kwasababu ni changamoto kubwa inayofanya...
  12. Roving Journalist

    Wanafunzi wa UDSM kulipwa ‘Boom’ mara 2 kisha kuwekwa mahabusu ili walipe, Bodi ya Mikopo yasema waulizwe CRDB

    Julai 3, 2026, Mdau aliandika “Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tuliingiziwa Boom (fedha za mkopo) mara 2 kimakosa, wametumia TAKUKURU kutuweka mahabusu, kwani hayo ni makosa yetu? Hii si sawa”. Ufafanuzi umetolewa kutoka pande husika. Mkurugenzi wa Habari, Elimu na Mawasiliano...
  13. ndunajr

    Mikopo Mabenki na Mifuko ya jamii kwa waajiriwa

    Najaribu kufikiri Mimi mswahili. Hivi kwa Nini Afrika hutuwezi kutumia akili nyingi kuwawezesha watu wetu. Ishu ya mikopo hasa kwa watu walio na ajira, nimeona wengi pamoja na kuajiriwa kwao lakini hawawezi kudhaminika kwenye mabenki. Ofisi nyingi zinashindwa kudhamini wafanyakazi wake kupata...
  14. ndunajr

    Mikopo, kwa nini Afrika tushindwe kutumia akili nyingi zaidi kuwawezesha watu wetu kiuchumi?

    Najaribu kufikiri kama Mswahili. Hivi kwa nini Afrika tushindwe kutumia akili nyingi zaidi kuwawezesha watu wetu kiuchumi? Kwa mfano, suala la mikopo kwa watu wenye ajira. Nimeona wengi, licha ya kuwa wameajiriwa, bado hawawezi kupata mikopo kwa urahisi kwa sababu hawana dhamana zinazokubalika...
  15. A

    KERO Changamoto za mikopo ya asilimia 10 kutoka Halmashauri ya Nyamagana, Mwanza

    Sisi waombaji wa mikopo ya asilimia 10 kutoka Halmashauri ya Nyamagana tunakabiliwa na changamoto mbalimbali katika mchakato wa kupata na kutumia fedha hizo. Baada ya kupitia ukaguzi wa kamati tatu (kamati ya kata, kamati ya halmashauri na kamati ya wilaya) na kikundi kupitishwa, husaini...
  16. K

    Kampuni ya kutoa mikopo ya BRAC

    Kampuni ya kutoa mikopo ya BRAC kwa wajasilimali wadogo hapa Tz Hii kampuni imekuwa ikitanabsisha kutoa ajira kwa vijana wetu wa kitanzania amabo kazi zao ni kusaidia kupata wateja wa kuwapa mikopo na mikopo hiyo Ina ya aina mbili 1.Mikopo ya vikundi 2. Mikopo binafsi Changamoto wanayopitia...
  17. A

    KERO Jinsi kampuni ya mikopo inavyotunyanyasa wafanyakazi wake

    Naandika waraka huu kwa masikitiko makubwa nikiwakilisha sauti za vijana wengi ambao wanapitia mateso na unyanyasaji ndani ya kampuni ya utoaji mikopo iitwayo Orbit Microfinance Services inayofanya shughuli zake Zanzibar. Kampuni hii imekuwa ikiendesha utaratibu wa kuajiri vijana unaoambatana...
  18. DogoWaNjombe

    Hajjat Messos: Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama ilitoa mikopo ya 10% yenye thamani ya Sh 500,598,000

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama, Hajjat Asia Juma Messos TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: MWAKA MMOJA WA MAFANIKIO YA SERIKALI WILAYANI MKALAMA (2025/26) Ndugu waandishi wa habari, wageni waalikwa, mabibi na mabwana, Awali ya yote namshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema...
  19. A

    KERO Wastaafu Rorya Wanamizwa na Mikopo Umiza ya Mtu Anayeitwa 'Adriano', Serikali Ingilieni Kati!

    Kuna unyanyasaji mkubwa na wa kutisha unaoendelea katika Wilaya ya Rorya dhidi ya wazee wetu wastaafu, hususan walimu waliolitumikia taifa hili kwa uaminifu. Kuna mtu mmoja anaitwa Adriano, amekuwa akitumia mwanya wa kutoa mikopo isiyo rasmi (mikopo umiza) ili kupora mafao ya wastaafu kwa nguvu...
  20. A

    KERO Wanafunzi Chuo kikuu cha Waislamu Morogoro (MUM) tumesaini ada bodi ya mikopo mpaka sasa Leo 1-07-2026 hazijawekwa kwenye mfumo wa matokeo

Back
Top Bottom