mbinu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mbinu Kabambe za kuwa Maarufu kwenye karne ya 21 - 22

    MBINU KABAMBE ZA KUWA MAARUFU KWA KARNE 21 - 23 Na, Robert Heriel Leo Taikon sitakuwa na lumbelele nyingi hapa, kwani watu wengi hawapendi Makala ndefu. Nitajitahidi kuandika kwa kifupi sana ili kutowakwaza baadhi ya wasomaji wangu. Umaarufu ni sehemu ya jambo la heshima katika ulimwengu wa...
  2. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kujenga miundombinu na kuruhusu wamachinga wasibughudhiwe ndio kusema kunafuta madoa ya utawala wa hayati Magufuli?

    Halina ubishi hata kiduchu kwa miaka yote tangu mwaka 1995 hayati JPM amekuwa mstari wa mbele kuhakikisha barabara za Tanzania zinaunganika. Na kweli sasa hivi nchi imepiga hatua kwa kuwa na miundo mbinu mizuri. Pia alipokuwa rais wa JMT aliwakingia kifua wamachinga wasiwekewe kiwingu na kufanya...
  3. Yudatade Edesi Shayo

    JamiiForums Tanzania Kila kiongozi anadai alikuwa anapigwa simu na Hayati Magufuli; Mbona Kama mbinu ya kumfanya Mama Samia awabakishe

    Kila kiongozi amekuwa akieleza kuwa JPM alikuwa anampigia simu,inawezekana kweli Ila isijekuwa mbinu ya kulinda kitumbua kwenye utawala mpya
  4. Melancholic

    JamiiForums Tanzania Nitumie mbinu gani

    Mwezi mmoja uliopita nliachwa na ex wangu for none reson but wiki iliopita nliamua kumtafuta shost yake kupitia simu ili kumuuliza kisa na mkasa mpaka mimi kuachwa na rafiki yake akasema ajui chochote nkamwambia poa. Ila baada ya pale yule binti amekuwa akiendelea kunitafuta ila kila...
  5. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Wakuu nipeni mbinu kupunguza wivu wa mapenzi

    Jamani wakuu nina mpenzi wangu, nimetoka kumpigia simu muda huu nimekuta inatumika, ninahisi wivu umenijaa sana nikatamani kumuambia alikuwa anaongea na nani ila nikapotezea, hebu naombeni mbinu ya kupunguza wivu nilionao maana nahisi unaweza kuja kuniangamiza wakuu. Ni mpenzi wangu, nipo nae...
  6. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Mwizi wangu namjua, nipeni mbinu za kumkamata

    Jana yamenikuta! Nilienda zangu tips kuinjoi weekend baada ya uchovu wa kazi overtime. Nikakutana na msichana mrembo haswa tukasimama meza moja tukaanza kula kilaji huku tukipiga story na kufahamiana. Nilivutiwa na maongezi yake as alionekana ni dada anaejielewa mtu wa biashara anafunga...
  7. mgt software

    JamiiForums Tanzania Mbinu chafu za Matajiri wa viwanda wanavyoturudisha kwenye umaskini baada ya kulindwa Na sera za biashara kukosa ushindani

    Wana jf Wengi mnaweza msilione hili lakini mbinu chafu zinazotumiwa Hawa wafanyabiashara kuhakikisha wanapata faida kubwa huku mdoro wa Kasi ya maendeleo ikikwamishwa makusudi. Umoja wa wafanyabiashara wenye viwanda vinavyozalisha vifaa au vitu vya matumizi ya lazima wamekuwa wakipanga Kwa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Naomben mbinu za kutrack simu using IMEI number

    Habar wakuu Kuna mtu kaibiwa simu naomben mnipe mbinu nimsaidie kuitrack online Thanks
  9. mgt software

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Miundombinu unapigwa hela barabara Mwenge - Tegeta inayofanyiwa marekebisho Lugalo

    Wana jf, Waziri wa miundombinu kakague lami inayojengwa Lugalo jeshini, sehemu iliyomalizika ina mawimbi ya kufa mtu. Watanzania wa sasa tuko macho hatuibiwi kodi, Lami mbovu mno haitamaliza mwaka, waoondoeni au wairudie. Ushahidi nenda mkajionee msijesema hamkuona.
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hapa sasa Wazungu ni wazi Wameishiwa Mbinu. Tanzania tumewaweza Afrika itakombolewa na Sisi

    Kwa jinsi ambavyo nmemsikiliza mh rais naona amewakaba vibaya mabeberu.hawa mabeberu wameshindwa kutuua,kutunyong'onyesha kwa njia zote sasa wanataka kutumia barakoa. TFDA na TBS nadhani watakuwa wamewabana sana hawa waingiza barakoa fake zenye vijidudu,sumu,bakteria,virus,fungae n.k tena...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Corona: Mbinu zetu za mapambano, dunia ina cha kujifunza

    Mabibi na mabwana hapa pana waraka toka kwa wenye udau katika dhamana ya ulinzi wa afya za watu duniani tunamojumuika sisi kama taifa. Wadau hawa wamekuwa na malalamiko na hata maonyo kufuatana na jinsi tunavyopambana na ugonjwa huu. Wamekuwa wakiulizia mbinu zetu za mapambano: Kwa vile...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Tupeane mbinu za kuwapiga madingi "Mizinga "

    Habar wadau nilikuwa nasoma ule uzi wa jinsi ya kupangua mizinga nikajifunza kitu kumbe kuna jamaa hataki kunipa pesa yngu ananikwepa tu sasa nikaona nike na hii thread hasa kwa sisi ambao bado 2 years tumalize chuo tunahitaj msaada zaid maana ndio tunapna life la kujitegemea lile. Sasa basi...
  13. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Mbinu Binafsi dhidi ya Corona

    Mbinu Binafsi Dhidi ya Korona NARUKA!: Haya ni maoni binafsi. Mimi si daktari tabibu wa binadamu (MD). Ukiyafuata yaliyoandikwa humu ni kwa hasara na hatari yako mwenyewe. Yaliyoandikwa humu siyo ushauri wa afya. Pata huduma kwa watoa huduma za afya wanaotambulika na mamlaka husika kwa masuala...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Maaskofu wa KKKT waitaka Kenya kuiga mbinu za Tanzania katika kuikabili Corona na kuitokomeza!

    Maaskofu wa KKKT waliokutana jijini Arusha wamewaomba maaskofu kutoka Kenya kuishauri serikali yao iige mbinu za Tanzania ili iweze kudhibiti Corona na hatimaye kuitokomeza. Source ITV habari Maendeleo hayana vyama!
  15. Magnificient

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya kujiwekea uwezekano mkubwa wa kupata unachokitaka

    Chochote unachokitaka kwenye hii dunia unaweza kukipata kutoka kwa watu. Kiwe kikubwa, kiwe kidogo; iwe watu wengi, au watu wachache. Cha muhimu ni kujenga mazingira yatakayofanya wakupe “wewe” na/au waendelee kukupa tena na tena. Kwa miaka yote niliyofanya kazi katika taasisi kubwa za serikali...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Tujuzane Mbinu za wafalme na Marais wanazotumia kuomba gemu kwa Pisikali

    Haya mambo hayana ukubwa! Kichwa kidogo kikisimama, cha juu kinasanda! Wadau, naomba kujuzwa! Ni namna gani marais na wafalme huomba gemu? Ikumbukwe raha ya hizo mambo huwa tamu kwa wahusika ikiwa zinafanyika faragha na kwa siri baina ya muombaji na muombwaji! Sasa kwa mazingira ya mitutu na...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Katika msimu huu wa mvua naombeni tujuzane mbinu za kukausha nguo

    Sehemu nyingi sahizi kuna mvua hapa nchini. Ni neema na baraka kwavile tutapata vyakula. Ila sasa kuna hii ishu ya nguo wakuu, Wewe unadili nayo vipi?
  18. Ryzen

    JamiiForums Tanzania Site Engineers tupeane mbinu

    Kama kawaida sekta za ujenzi haisimami. Kazi ni kila siku yaani 24/7. Kwa site engineers hasa barabarani tupeane mbinu za kuminimize cost za ku-run site activities. Pia na jinsi ambavyo tunaweza kunufaika na shughuli hizi.
  19. Babu Kijiwe

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Baadhi ya mahitaji ya wadau: Naombeni kupewa orodha ya maduka ya suti za kiume (za kisasa) yaliyopo Kariakoo. Nahitaji kuyazungukia. Kwasababu ya muda siwezi ku-design kwa fundi ndo maana nataka kuitungua dukani. Shukrani. Kariakoo au Dar ni wapi tutapata pochi, vitenge na viatu vya kike bei za...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Wana JF, Kwa yeyote anejua dawa au mbinu ya kumfanya mlevi kuacha pombe. Nina ndugu yangu yeye bila kilevi cha pombe siku haiendi kabisaa na hii imekuwa inarudisha maendekleo yake nyuma. Wanaoijua tiba mnijuze niokoe maisha yake na familia yake. Ushauri na Maoni yaliyotolewa na wadau ---
Back
Top Bottom